Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Nahisi GBP/USD kesho asubuhi itaanza kushuka. Kwa nilivyostudy, trend inaonesha hivyo, Ukizingatia uchaguzi wa uingereza una power ya kuinfluence GBP kuliko hearing ya James Comey kuinfluence USD. Maana Kutokana na charts zinavyokwenda mpaka muda huu, naona chart inatafuta new resistance/ceiling level.

View attachment 520831

CC Ontario, Bavaria
GBP haiwezi kuwa influenced kushuka baada ya hearing ya Comney.
Kuna pairs nyingi zinazohusiana na GBP. Mfano. GBPJPY, GBPNZD, AUDGBP, GBPCHF etc.
GBP itashuka au kupanda zaidi baada ya matokeo ya uchaguzi wa UK.
 
Tafuta usome sera za T. May na mpinzani wake zikoje. Yupi akishinda ataifanya GBP kuwa na nguvu na yupi ataidhohofisha..
 
"Money without finsnciak intelligence is money soon gone" Leo ilikuwa siku ya kusoma ile kitabu yao vizuri sasa ivi nataka nifungue ukulasaa wao kwenye ile mtandao yao vipi ipi ni best kwa kutjmia kwa mlio kwisha tangulia hapa nimejaa ile maelezo yao sasaa.I want to learn from mistakes moreee.Mr ontario jamani vipi ile utaratibu wa awali tu u ecpect lini jamani i want to learn from you much the day it will be conducted foregner the don.
 
GBP haiwezi kuwa influenced kushuka baada ya hearing ya Comney.
Kuna pairs nyingi zinazohusiana na GBP. Mfano. GBPJPY, GBPNZD, AUDGBP, GBPCHF etc.
GBP itashuka au kupanda zaidi baada ya matokeo ya uchaguzi wa UK.

Siyo kwamba hata kabla ya matkeo ya uchaguzi, GBP itashuka wakati watu wakielekea kwenye uchaguzi. Kwa maana watakuwa wanasikilizia.?

Key policies za Theresa May ni hizo.

wp_ss_20170607_0002.png

hapo kwenye migration policies kuna mushkeri. Na Theresa may anaonekana kuongoza polls, ingawaje mpaka sasa mvutano ni mkubwa.
 
Jamani bandugu yamenipita mengi lakini naomba chonde nami mniunge na group la whatsapp namba yangu 0715430708
 
Labda tunaosoma tu bila kukoment ndo tutaachwa. ONTARIO usinisahau
 
Ontario you inspired me a one more million times,
Its 7th Wednesday, 2 days before my birthday but for the happiness I have, I guess bday naahirisha,this is all I wanna,.

Bro How can I win that free chance of 300 guys,pls I know you value all people,nijib kwa hill cos I'm in insomnia bro.
Tell:0625697394
0762840389
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom