baada ya kupitia page ya 1 hadi ya 115 usiku huu haya ndio maoni yangu yanafanana na mdau mmoja humu.
mkuu ontario baada ya kushusha idadi ya watu kutoka 300 hadi 150,
kwa kuzingatia pia hamasa ya watu wengi, changamoto ni nani atakuwa kwenye hao 150.
kama watu watakuwa wengi kuliko kiwango kinachohitajika.
Unaweza kuandaa mtihani mwepesi based on kitabu ulichokipendekeza...
watakao fanya vizuri unawapa kipaumbele huku ambao watabaki nyuma watakuwa batch ya pili japo sijui utatumia methodology gani.
all in all big up wakuu wote humu
Bavaria etc mnafanya kazi kubwa kutuondoa ujinga na kutujengea ujasiri wa kutafuta fursa za duniani.
Wadau taadhari zinazotolewa pia zizingatiwe