Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Ziko poa sana na ofcourse hata hao mentors watakuwa wanadukua kule kidogo
Ila unalipia 21000 kwa course nzima na video ziko poa
Pia mnafanya live trading
21??? Please mkuu ebu dadavua vzr tujue tunaanzaje na tunawezaje fanikisha coz cost ni affordable mkuu
 
Broo unatumia Demo account gan mi hii ya FXCM ina nipa shida kidogo kuna some feuters nadhan sizioni au sijui ni mm mwenyewe bado sijaikalia chin vizuri coz kule FXCM proggram sioni hii SL na TP, instead huku kuna stop na limit, any comment BENNICK
 
ziko nyingine mkuu, angalia XM forex, MT5 , MT4 wote wana demo tena rahisi tu
 
Nalo neno
Ila sema hatua zako mkuu naziona mbali saana
mimi bado napiga mihatua ya kutamanika mkuu....naendelea na vitabu huku nikipractice kwa demo account..nimebahatika kupatana na jamaa fulani ana uzoefu wa kutosha hivyo anazidi kunielekeza..leo nmekuwa nikijaribu kutumia different orders na matokeo yake ni safi kabisa..nina imani tutafika tu...
 
Jamani nimeuliza maswali mengi lakini sipewi ushirikiano. Kuna watu wana accounts tayari lakini sielwi kwann wanashindwa kunisaidia
 
Nilikua naupita huu uzi ss nimeanza kuupitia tangia saa 4 UsiKu mpaka now hata sijui where the hell have been all this time am wondering if I could be among the chosen one.

But where there is hope there is life you can count on me
 
mimi bado napiga mihatua ya kutamanika mkuu....naendelea na vitabu huku nikipractice kwa demo account..nimebahatika kupatana na jamaa fulani ana uzoefu wa kutosha hivyo anazidi kunielekeza..leo nmekuwa nikijaribu kutumia different orders na matokeo yake ni safi kabisa..nina imani tutafika tu...
Base currency unatumia USD or GBP?
 
Mbona iko stable... iko poa kuliko MT4
Yes, its is stable, lakini bado haijakubalika sana kwenye ulimwengu huu wa sasa...unajua mazoea hujenga tabia. Ni kama ilivyokuwa kwenye transition ya windows XP na Windows 7, watu wengi waligoma kwenda kwenye windows 7, lakini mbona sasa hivi ni wachache sana ambao bado wako rigid na window XP...
 
fa009eb698ac5be3027318715b3977e4.jpg
 
Hii kitu sio rahisi wadau msikimbilie sana mtapoteza pesa bure kuna mdau kashauri vema huko juu.
Mfano unaweza kudhamilia kupata Dora 6 tu ambayo dhamani take inazidishwa inakuwa sio Dora sita tena ni 600 sasa ikitokea usiipate hiyo inamaana umepoteza Dora 600 kwa muda mfupi sana.Inahitaji umakini wa juu sana so sio kila RAIA anaweza fa ya forex.
Umakini hapo uko sahih

U spoke truth.....but pple they have to struggle no matter what
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom