Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Nimejaribu kujiunga katika hiyo forex as a demo account nimeona kuna usumbufu ,nasema hvyo kwasababu ukiandika nchi kama TANZANIA Wanasema use English letter inakaaje hapo mkuu kuna support agent anasema ukiwa Tanzania huwez kujiunga na Huduma ya forex
 

Kabla ya kunikaripia na kutamani kunipiga konzi naomba ungerudia kusoma nilichoandika; I'm quoting myself again: "AlichosemaONTARIO si kipya na kadadvua vizuri, ila mimi nikasema kwa sasa hapa Tz hakiwezekani labda kizazi kijacho."
 
Ndo kwanzaaa naanza chapter 3... hivi ni mimi tu ndo nina speed ya kobe?, doh
 
Kuna mtu mmoja aliwahi kuulizwa ukipewa hii nchi kipaumbele chako cha kwanza, cha pili na cha tatu ni kipi?

Majibu yake yalikuwa yakufurahisha lakini yanayohitaji tafakari ya kina;
1. ELIMU
2. ELIMU
3. ELIMU

Have you ever seen a cat trying to catch its own tail??
 

Kama hujawahi kabisa kufanya forex na hii ndo mara yako ya kwanza, basi ujue upo kwenye right track.
You are catching up very fast. I give you my word kwa hii speed yako, mwezi wa 8 unaweza kuanza live na kupata dola za bia. Watu kama nyie mnatia moyo sana, hata mentor wako anafurahi unavyopiga hatua kwa kasi hivi.
Good student.
 

Likely, price might go up after breaking the resistance.
 
Good morning traders

Napambana, tunapambana na mwisho lengo litimie... Naona mwanga, kwangu na kwenu pia - kuna baadhi ya wanafunzi wangu humu, kamwe siwezi kuwaacha, wanachokifanya so far kinanipa matumaini sana kua tunaweza kuwa na traders makini watakaoweza kubamiza market na kubadili maisha yao na ya wale wanaowazunguka. Progress ambayo baadhi yenu mnafanya inanipa nguvu sana, tuendelee kusoma na kusoma na kuelewa mambo... Tukija darasani tunafundishana kudownload pesa tu.

Kwa upande wangu naona mambo yanaiva... Pesa inanipukutika kama vapour, lkn kwakua najua nikitulia week 1 tu narudisha gharama zote, basi nakua sina presha. Ofisi iko sawa, hata kesho tunaeza kuanza, lkn bado nashughulikia papers... tufanye vitu ambavyo kihalali na kisheria, tulipe kodi, tulipe blah blah, yani tusiwe na shida na watawala. Mwanga nauona, obstruction zipo lkn tunapambana mpk kieleweke.

Tuvute subira, wakati huo tunajifua zaidi... sisi wote ni winners, when you win I also win. When you lose I also lose - but we are all destined for greatness.

Yani naamka asubui najikuta sina pesa ya kunipush kumalizia hii week, so nnachofanya ni kuingia kwa forex account yangu na kuvuta pound kadhaa - mshahara wa daktari mwenye degree ya miaka 6 (no disrespect). Ndio raha ya FX lkn bado kuna watakaosema ni betting, hahaha!! Acha tuendelee kubet
 

Together we can. Tupo nyuma yako tunafuata unapopita. Ukifika mwisho naamini nasi tutakuwa tumefika mwisho.
 
Kama hujawahi kabisa kufanya forex na hii ndo mara yako ya kwanza, basi ujue upo kwenye right track.
You are catching up very fast. I give you my word kwa hii speed yako, mwezi wa 8 unaweza kuanza live na kupata dola 50 za bia.
Good student.

Shukrani boss. Day one najua hii kitu ni siku ontario anapost hii kitu, siku ya kwanza naanza kutafuta mwanga juu ya hii kitu ni siku boss ontario anatoa recomendation ya kitabu cha kuanza kusoma.

Hope tutafika pamoja.
 
Shukrani boss. Day one najua hii kitu ni siku ontario anapost hii kitu, siku ya kwanza naanza kutafuta mwanga juu ya hii kitu ni siku boss ontario anatoa recomendation ya kitabu cha kuanza kusoma.

Hope tutafika pamoja.
Safi sana.
Mi sikuwa na speed kali kama yako. Niliifahamu forex 2012 ila nilianza kutrade 2015. Nikachoma account kadhaa, nikasimama 2016 nimekuja kuanza tena 2017.
Ila i give you my word, hata kama ukishaanza kula hela za forex. Endelea kusoma na kujifunza zaidi.
Forex ni msitu ambao hata hao maguru hawajaujua vizuri huo msitu.
Usibweteke.
 
Kaka ONTARIO ninamunkali na hii kitu usipime. Napiga mdogo mdogo na lot size za sisimizi kama ulivyofanya juzi kati. Nimesoma vitabu mpaka kichwa kinachemka yaani. I am so determined, masaa ya kulala kwangu yamepungua tangu niliposoma thread hii. No msuli kisha napiga demo kuona vp.

I salute you[emoji120] [emoji120] [emoji120]

Check hiyo hapa
 

Yani nafsi zote hizi za watu zilizo nyuma yako zikiomba usiku na mchana ufanikishe lazima utafanikiwa tu.

Naona ile ahadi yako ya June inatimia.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…