Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,119
- 4,779
Ni wapi huko mkuu?
Kwenye official website yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wapi huko mkuu?
Kubadirisha colour. Right click cursor ikiwa ndani ya chart kisha chagua properties utaona default colours kwa kila category kisha badili kadili utakavyo.Kwa kutumia MT4 ya XM naona candlestic inakosa maana, kwani colouring siioni vizuri, na pia. Na hiyo M15 niliiweka coz nilikuwa nataka angalia behaviour ya GBP/USD toka siku ya jana jioni.
H4 ya candlestic patterns ni kama unavyoiona hapa. Je kuna settings gani za kufanya candles zionekana na rangi zake.?
View attachment 521279
Ni wazo zuri mkuu...ila binafsi naona si lazima saaaana! Na kutengeneza app si mchezo interms of gharama! Ila may be a website au tunaweza tumia tu watsapp na telegram! Kuteneza app inaweza kuwa long term plan, na itengenezwe only pakiwa na uhitaji!!Wazo langu la haraka haraka, wewe unafikiriaje?
Good day traders!!
Nimefikiria kitu kimoja cha faida sana... cha faida kwetu sote, mimi na wewe - ili lengo letu liwe more than positive.
Kwajili ya kuhakikisha kuna 99% interaction kati ya mentors/coaches na wanafunzi, nimefikiria kuanzisha App. Hii App itatusaidia ktk:-
●Kubadilishana mawazo among ourselves, kuweza kuchat na kudiscuss kuhusu global financial economy. Forex, stocks, metals, commodities nk.
●Kuweza kupost picha hasa za charts za analysis, pamoja na video kama kutakuwa na umuhimu. Both technical na fundamental analysis!!
●Kufanya live webinars hasa siku za Jumapili, mentors watakua wanafanya analysis ya currencies ili kutoa mwanga wa wiki nzima.
●Students wataweza kushare experience zao, results zao kama wakipenda, inform of pictures nk.
●Tutakua tunakumbushana kuhusu upcoming economic and political news ambazo zinaweza kua na effect sokoni...
Kiufupi hii App itakua kwaajili ya kudumisha ukaribu baina yetu sote...
Wewe unanishauri nini?! Developer, Programmers, Coders... karibuni wazee!!
Kubadirisha colour. Right click cursor ikiwa ndani ya chart kisha chagua properties utaona default colours kwa kila category kisha badili kadili utakavyo.
Kuhusu kuona hizo candlesticks vzr zoom in au out (tumia tab yenye alama - au + juu kwenye tabs bar kwa kuclick tu.)
Super Mkuu.
Hii website inaitwaje?Kwenye official website yao.
samahan mkuu unatumia analysis ipi kati ya technical na fundamental?UPDATE
Mambo matamu. Ingawa bado ni virtual but the progress so mbaya.
Kitu kimepanda mpaka 124. Ngoja ni open positions nyingine
View attachment 521216
Hii website inaitwaje?
Aisee link haifunguki.. Jaribu kutuma tenaUdemy.com kuna video link nimeweka kitika moja ya post hapo juu.
Nimezoea kutumia simu mkuu!! Hii ya pc nk mt4 au?? Ni broker gani huyu??
Tumia PC kudownload folder yote kwa ku_click haya maandishi. Then extract hiyo folder na utapata video zote.Mkuu video ni unsupported. Tuma tena vzr....
Thanks for care..
Aisee link haifunguki.. Jaribu kutuma tena
Nimezoea kutumia simu mkuu!! Hii ya pc nk mt4 au?? Ni broker gani huyu??
Baada root kupendekeza kucheki video za UDEMY, binafsi Katika kuzururazurua mitandaoni nimekutana na hizi video tutorial. Inavyoonekana ni tutorial nzuri kwa jinsi nilivoangalia content zake. Mimi binafsi bado sijazicheki, ila nimeshaziweka katika download list, na ipo inaendelea kudownload. Ni MB kama 700 hivi. Hope ndo hizi root alizokuwa akizizungumzia.
Sharing is caring.
CC : root
Shukran mkuu!!Tumia PC kudownload folder yote kwa ku_click haya maandishi. Then extract hiyo folder na utapata video zote.
View attachment 521287
Uko sahihi mkuu! Tafuta sim yenye battery nzuri kukaa na chaji! Atleast iwe na 4000mAh itafaa sana!Hiyo ni XM, ni katika PC. Simu mimi nimetengwa sina app yangu kwa maana natumia windows phone. Hapa nio najifikiria nitafute android based phone kwa ajili ya hii bussines.
Haifunguki mkuu
Wazo langu la haraka haraka, wewe unafikiriaje?
Good day traders!!
Nimefikiria kitu kimoja cha faida sana... cha faida kwetu sote, mimi na wewe - ili lengo letu liwe more than positive.
Kwajili ya kuhakikisha kuna 99% interaction kati ya mentors/coaches na wanafunzi, nimefikiria kuanzisha App. Hii App itatusaidia ktk:-
●Kubadilishana mawazo among ourselves, kuweza kuchat na kudiscuss kuhusu global financial economy. Forex, stocks, metals, commodities nk.
●Kuweza kupost picha hasa za charts za analysis, pamoja na video kama kutakuwa na umuhimu. Both technical na fundamental analysis!!
●Kufanya live webinars hasa siku za Jumapili, mentors watakua wanafanya analysis ya currencies ili kutoa mwanga wa wiki nzima.
●Students wataweza kushare experience zao, results zao kama wakipenda, inform of pictures nk.
●Tutakua tunakumbushana kuhusu upcoming economic and political news ambazo zinaweza kua na effect sokoni...
Kiufupi hii App itakua kwaajili ya kudumisha ukaribu baina yetu sote...
Wewe unanishauri nini?! Developer, Programmers, Coders... karibuni wazee!!
Uko sahihi mkuu! Tafuta sim yenye battery nzuri kukaa na chaji! Atleast iwe na 4000mAh itafaa sana!
Mimi kwa sasa natumia technical analysis. Sijafanya mazoezi ya kutosha ya fundamental analysis ingawa theoretically ninaaidia ila nafuatilia trend ya pound vs USD kwa siku ya Leo kuona itavyokuwa kutegemea na matokeo ya uchaguzi wa uingereza kama sehemu ya kujifunza zaidi juu ya fundamental analysis.samahan mkuu unatumia analysis ipi kati ya technical na fundamental?