Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu Ontario thank so muh Bro. Mi nimefanikiwa kusoma Uchumi na nilipofika mwaka wa 3 nilikutana na hili subject ya FX MARKET sikudanganyi mkuu, nilivutiwa sana na hii topic na nilianza kufwatilia kuona nawezaje kujiendeleza zaidi na ikiwezekana niisomee Masters kabisa lkb sikufanikiwa.... Mkuu nimefurahi sana kuona kuwa bado ile knowledge naweza nikaitumia...
Please Mkuu hii ndio namba yangu 0713 088017 niunge kwa WhatsApp group
Na kwenye list ya 300 please mkuu nitafurahi nikiwa mmoja wao.....Thank you so Much
 
Good morning traders

Napambana, tunapambana na mwisho lengo litimie... Naona mwanga, kwangu na kwenu pia - kuna baadhi ya wanafunzi wangu humu, kamwe siwezi kuwaacha, wanachokifanya so far kinanipa matumaini sana kua tunaweza kuwa na traders makini watakaoweza kubamiza market na kubadili maisha yao na ya wale wanaowazunguka. Progress ambayo baadhi yenu mnafanya inanipa nguvu sana, tuendelee kusoma na kusoma na kuelewa mambo... Tukija darasani tunafundishana kudownload pesa tu.

Kwa upande wangu naona mambo yanaiva... Pesa inanipukutika kama vapour, lkn kwakua najua nikitulia week 1 tu narudisha gharama zote, basi nakua sina presha. Ofisi iko sawa, hata kesho tunaeza kuanza, lkn bado nashughulikia papers... tufanye vitu ambavyo kihalali na kisheria, tulipe kodi, tulipe blah blah, yani tusiwe na shida na watawala. Mwanga nauona, obstruction zipo lkn tunapambana mpk kieleweke.

Tuvute subira, wakati huo tunajifua zaidi... sisi wote ni winners, when you win I also win. When you lose I also lose - but we are all destined for greatness.

Yani naamka asubui najikuta sina pesa ya kunipush kumalizia hii week, so nnachofanya ni kuingia kwa forex account yangu na kuvuta pound kadhaa - mshahara wa daktari mwenye degree ya miaka 6 (no disrespect). Ndio raha ya FX lkn bado kuna watakaosema ni betting, hahaha!! Acha tuendelee kubet
fabf04972b857bd4f6febb6bda00748b.jpg

Asante kwa taarifa Njema Na pole kwa kupungukiwa kwa muda Mkuu.

Kwa maendeleo uliyo fikia sasa unaturuhusu kupita ofisini Na kufahamiana zaidi?
 
Kinacho matter ni platform unayotumia rather than a broker, mimi natumia MT4 kwenye PC na nina Demo account tatu kutoka kwa brokers tofauti FXopen,FXCM na WForex na njia ya kuweka SL/TP ni ileile.Naenda sehemu ya new order,juu kushoto kisha hiyo TAB hapo juu itafunguka ndio utajaza parameters zako.
View attachment 521110
Bro jana nimekuuliza swali naona kimya mpk dk hz
 
Wazo langu la haraka haraka, wewe unafikiriaje?

Good day traders!!

Nimefikiria kitu kimoja cha faida sana... cha faida kwetu sote, mimi na wewe - ili lengo letu liwe more than positive.

Kwajili ya kuhakikisha kuna 99% interaction kati ya mentors/coaches na wanafunzi, nimefikiria kuanzisha App. Hii App itatusaidia ktk:-

●Kubadilishana mawazo among ourselves, kuweza kuchat na kudiscuss kuhusu global financial economy. Forex, stocks, metals, commodities nk.

●Kuweza kupost picha hasa za charts za analysis, pamoja na video kama kutakuwa na umuhimu. Both technical na fundamental analysis!!

●Kufanya live webinars hasa siku za Jumapili, mentors watakua wanafanya analysis ya currencies ili kutoa mwanga wa wiki nzima.

●Students wataweza kushare experience zao, results zao kama wakipenda, inform of pictures nk.

●Tutakua tunakumbushana kuhusu upcoming economic and political news ambazo zinaweza kua na effect sokoni...

Kiufupi hii App itakua kwaajili ya kudumisha ukaribu baina yetu sote...

Wewe unanishauri nini?! Developer, Programmers, Coders... karibuni wazee!!

Ontario, naamini umeona njia nzuri Na bora zaidi ya kuweza kutuleta sote karibu. Hata walioko nje ya Dar Na Tanzania kwa ujumla. Muhimu hapo itakuwa Ni bidii ya mtu mmoja mmoja kufuatilia Na kushiriki kwa maswali Na aliyo yapitia. Hivyo Ni matumaini yangu kuwa wazo lako litafanya kazi kubwa hata kwa wale ambao hawata kuwa darasani ktk awamu Za kwanza bila kujiona wameachwa nyuma. Binafsi nakuunga mkono Na kukuombea dhamira yako itimie.
 
Bro jana nimekuuliza swali naona kimya mpk dk hz
Nilikujibu jana ileile brother,unless kuna swali sijaliona.Angalia quote notification au nenda page 119 post number 2377 na page 122 post#2440 Natumia FXCM DEMO kwenye MT4..
 
Mkuu hata mie natumia FXCM na nliulizaa sikupata jibu....

Nilimjibu hii kitu mkuu bahati mbaya hakuiona, angalia post#2377 page 119 na page 122 post#2440 inaweza kukusaidia kama bado hujapata solution.Natumia FXCM DEMO kwenye MT4.
 
Na mimi naomba darasa likianza niwemo. Asante kwa kutushirikisha. ubarikiwe
 
Me hii MT4 mpk leo naona inanisumbua cjui nakwama wapi, kila nkijaribu inaleta invld S/L or T/P, unahisi nipo wrong sehemu gn mkuu?, halafu nkiangalia A/C history naona kila kitu kipo zero pale. Msaada pliz.
binafsi situmii platform ya mt4 ila nahisi huzingatii jinsi unavyoweka SL TP zako..

ni hivi,unapoingia position:long USD/JPY @1.2050,TP hapa inakusaidia kutengeneza faida bila kuingiza hasara..TP yako katika hii pair itakuwa kuuza hiyo pair kwa pesa nyingi kuliko current market price ambayo kwa huu mfano ni 1.2050..hivyo,Take Profit yako itakuwa juu:tuchukulie (1.2070)=(+20pips)

kama position yako ulikuwa short,TP bado ni kwa ajili ya kufungia faida..mfano USD/JPY @50.70. hii inamaanisha unakusudia kununua kwa pesa kidogo kuliko current market price..hivyo,TP yako itakuwa chini ya 50.70 mfano (50.50)=(-20pips)

kwa maneno mengine,TP inakusaidia kufungia faida uliyotengeneza tayari kama soko litakugeuka na mambo yakaenda upogo..

kwa upande mwingine,SL ni order inayokusaidia kuepuka hasara kwa kufunga positions zinazopoteza hela wakati soko likikugeuka..mfano,uko in a position ambayo ni long kwa pair kama GBP/USD@1.4580.
SL yako hapa itakuwa kuuza hiyo pair lakini kwa bei iliyo chini ya kiwango cha muda huo(current price)mfano,(1.4560)=(-20pips)

kama position yako ilikuwa short,SL yako itakuwa kununua hiyo pair lakini kwa kiwango cha juu kuliko current market price.mfano(1.4600)=(+20pips)

kifupi,SL inakusaidia kupunguza hasara lakini lazima utapata hasara kiasi fulani...

cc:yetote
 
Mkuu shukrani sana, but nahisi niki fail pale kwenye buy limit ndipo nikipopigigia hz calculation za orders, ngoja nkitulia ntajaribu maelekezo nione kama itanikubalia, karibu futari muungwana.
 
tupo pamoj mkuuu
itakuw vzuli zaid kam ukntag n mm katka upadate
 
Wakuu, kuna web based platform pia (nadhani ni discretion ya brokers). So kama unataka kufanya zako ma-fibonacci kwa kompyuta si lazima uwe/au ubebe laptop. Na kama pia mwajiri wako ni mnokou (au huwezi kuinstall programs) all you have to do is just minimizing a window 🙂
 
Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    1.4 MB · Views: 89
Samahan unaweza kunisaidia material ya technical analysis yaliyokusaidia kupata mwanga..ukinipa link nitashukuru
Knowledge kubwa nimeipata kwenye kitabu cha naked forex. Natumia hasa price action na kuangalia trend ya currency kwa masaa kadhaa nyuma to make any decisions. Kitabu hiki kimo kwenye threads humu sijui ipi ila ngoja niweke hapa
 
Attachments

binafsi situmii platform ya mt4 ila nahisi huzingatii jinsi unavyoweka SL TP zako..

ni hivi,unapoingia position:long USD/JPY @1.2050,TP hapa inakusaidia kutengeneza faida bila kuingiza hasara..TP yako katika hii pair itakuwa kuuza hiyo pair kwa pesa nyingi kuliko current market price ambayo kwa huu mfano ni 1.2050..hivyo,Take Profit yako itakuwa juu:tuchukulie (1.2070)=(+20pips)

kama position yako ulikuwa short,TP bado ni kwa ajili ya kufungia faida..mfano USD/JPY @50.70. hii inamaanisha unakusudia kununua kwa pesa kidogo kuliko current market price..hivyo,TP yako itakuwa chini ya 50.70 mfano (50.50)=(-20pips)

kwa maneno mengine,TP inakusaidia kufungia faida uliyotengeneza tayari kama soko litakugeuka na mambo yakaenda upogo..

kwa upande mwingine,SL ni order inayokusaidia kuepuka hasara kwa kufunga positions zinazopoteza hela wakati soko likikugeuka..mfano,uko in a position ambayo ni long kwa pair kama GBP/USD@1.4580.
SL yako hapa itakuwa kuuza hiyo pair lakini kwa bei iliyo chini ya kiwango cha muda huo(current price)mfano,(1.4560)=(-20pips)

kama position yako ilikuwa short,SL yako itakuwa kununua hiyo pair lakini kwa kiwango cha juu kuliko current market price.mfano(1.4600)=(+20pips)

kifupi,SL inakusaidia kupunguza hasara lakini lazima utapata hasara kiasi fulani...

cc:yetote

Mkuu nnachanganya sana hapao kwenye long and short
 
Knowledge kubwa nimeipata kwenye kitabu cha naked forex. Natumia hasa price action na kuangalia trend ya currency kwa masaa kadhaa nyuma to make any decisions. Kitabu hiki kimo kwenye threads humu sijui ipi ila ngoja niweke hapa
Hii ndo syllabuss nimekiadd kwenye ratiba zangu....1hours per day
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom