Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Right click kwenye screen hapo, then shuka hadi kwenye properties.Kwa kutumia MT4 ya XM naona candlestic inakosa maana, kwani colouring siioni vizuri, na pia. Na hiyo M15 niliiweka coz nilikuwa nataka angalia behaviour ya GBP/USD toka siku ya jana jioni.
H4 ya candlestic patterns ni kama unavyoiona hapa. Je kuna settings gani za kufanya candles zionekana na rangi zake.?
View attachment 521279
Then kuna jinsi ya kuset rangi ya candles, backgroud ya hiyo platform na kwenye grids toa hiyo colour weka black.
Fanya hivyo unipe mrejesho.