Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kubadirisha colour. Right click cursor ikiwa ndani ya chart kisha chagua properties utaona default colours kwa kila category kisha badili kadili utakavyo.

Kuhusu kuona hizo candlesticks vzr zoom in au out (tumia tab yenye alama - au + juu kwenye tabs bar kwa kuclick tu.)
 
Ni wazo zuri mkuu...ila binafsi naona si lazima saaaana! Na kutengeneza app si mchezo interms of gharama! Ila may be a website au tunaweza tumia tu watsapp na telegram! Kuteneza app inaweza kuwa long term plan, na itengenezwe only pakiwa na uhitaji!!
 

Thanks dude, here i am.

 
Nimezoea kutumia simu mkuu!! Hii ya pc nk mt4 au?? Ni broker gani huyu??

Hiyo ni XM, ni katika PC. Simu mimi nimetengwa sina app yangu kwa maana natumia windows phone. Hapa nio najifikiria nitafute android based phone kwa ajili ya hii bussines.
 

Haifunguki mkuu
 
Hiyo ni XM, ni katika PC. Simu mimi nimetengwa sina app yangu kwa maana natumia windows phone. Hapa nio najifikiria nitafute android based phone kwa ajili ya hii bussines.
Uko sahihi mkuu! Tafuta sim yenye battery nzuri kukaa na chaji! Atleast iwe na 4000mAh itafaa sana!
 

Genius idea our master.
 
Uko sahihi mkuu! Tafuta sim yenye battery nzuri kukaa na chaji! Atleast iwe na 4000mAh itafaa sana!

Yah, nipo katika harakati za uchaguzi kati ya XIAOMI redmi note 4 na NOKIA 6. Hope mojawapo itanifaa, nipo nasubiri official release ya NOKiA 6 ndo niamue.
 
samahan mkuu unatumia analysis ipi kati ya technical na fundamental?
Mimi kwa sasa natumia technical analysis. Sijafanya mazoezi ya kutosha ya fundamental analysis ingawa theoretically ninaaidia ila nafuatilia trend ya pound vs USD kwa siku ya Leo kuona itavyokuwa kutegemea na matokeo ya uchaguzi wa uingereza kama sehemu ya kujifunza zaidi juu ya fundamental analysis.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…