Good morning traders
Napambana, tunapambana na mwisho lengo litimie... Naona mwanga, kwangu na kwenu pia - kuna baadhi ya wanafunzi wangu humu, kamwe siwezi kuwaacha, wanachokifanya so far kinanipa matumaini sana kua tunaweza kuwa na traders makini watakaoweza kubamiza market na kubadili maisha yao na ya wale wanaowazunguka. Progress ambayo baadhi yenu mnafanya inanipa nguvu sana, tuendelee kusoma na kusoma na kuelewa mambo... Tukija darasani tunafundishana kudownload pesa tu.
Kwa upande wangu naona mambo yanaiva... Pesa inanipukutika kama vapour, lkn kwakua najua nikitulia week 1 tu narudisha gharama zote, basi nakua sina presha. Ofisi iko sawa, hata kesho tunaeza kuanza, lkn bado nashughulikia papers... tufanye vitu ambavyo kihalali na kisheria, tulipe kodi, tulipe blah blah, yani tusiwe na shida na watawala. Mwanga nauona, obstruction zipo lkn tunapambana mpk kieleweke.
Tuvute subira, wakati huo tunajifua zaidi... sisi wote ni winners, when you win I also win. When you lose I also lose - but we are all destined for greatness.
Yani naamka asubui najikuta sina pesa ya kunipush kumalizia hii week, so nnachofanya ni kuingia kwa forex account yangu na kuvuta pound kadhaa - mshahara wa daktari mwenye degree ya miaka 6 (no disrespect). Ndio raha ya FX lkn bado kuna watakaosema ni betting, hahaha!! Acha tuendelee kubet
Bro jana nimekuuliza swali naona kimya mpk dk hzKinacho matter ni platform unayotumia rather than a broker, mimi natumia MT4 kwenye PC na nina Demo account tatu kutoka kwa brokers tofauti FXopen,FXCM na WForex na njia ya kuweka SL/TP ni ileile.Naenda sehemu ya new order,juu kushoto kisha hiyo TAB hapo juu itafunguka ndio utajaza parameters zako.
View attachment 521110
Wazo langu la haraka haraka, wewe unafikiriaje?
Good day traders!!
Nimefikiria kitu kimoja cha faida sana... cha faida kwetu sote, mimi na wewe - ili lengo letu liwe more than positive.
Kwajili ya kuhakikisha kuna 99% interaction kati ya mentors/coaches na wanafunzi, nimefikiria kuanzisha App. Hii App itatusaidia ktk:-
●Kubadilishana mawazo among ourselves, kuweza kuchat na kudiscuss kuhusu global financial economy. Forex, stocks, metals, commodities nk.
●Kuweza kupost picha hasa za charts za analysis, pamoja na video kama kutakuwa na umuhimu. Both technical na fundamental analysis!!
●Kufanya live webinars hasa siku za Jumapili, mentors watakua wanafanya analysis ya currencies ili kutoa mwanga wa wiki nzima.
●Students wataweza kushare experience zao, results zao kama wakipenda, inform of pictures nk.
●Tutakua tunakumbushana kuhusu upcoming economic and political news ambazo zinaweza kua na effect sokoni...
Kiufupi hii App itakua kwaajili ya kudumisha ukaribu baina yetu sote...
Wewe unanishauri nini?! Developer, Programmers, Coders... karibuni wazee!!
Nilikujibu jana ileile brother,unless kuna swali sijaliona.Angalia quote notification au nenda page 119 post number 2377 na page 122 post#2440 Natumia FXCM DEMO kwenye MT4..Bro jana nimekuuliza swali naona kimya mpk dk hz
Mkuu hata mie natumia FXCM na nliulizaa sikupata jibu....
binafsi situmii platform ya mt4 ila nahisi huzingatii jinsi unavyoweka SL TP zako..Me hii MT4 mpk leo naona inanisumbua cjui nakwama wapi, kila nkijaribu inaleta invld S/L or T/P, unahisi nipo wrong sehemu gn mkuu?, halafu nkiangalia A/C history naona kila kitu kipo zero pale. Msaada pliz.
oscar pistoriussio huyo Sandile mkuu....au unafikiri ni Sandile tu alietajirika kwa FOREX TRADE? South Africa wapo wengi tu wametajirika kwa hii biashara.....nimemsahau jina dogo yuko jela sasa hivi kwa kumuua mpenzi wake
Mkuu shukrani sana, but nahisi niki fail pale kwenye buy limit ndipo nikipopigigia hz calculation za orders, ngoja nkitulia ntajaribu maelekezo nione kama itanikubalia, karibu futari muungwana.binafsi situmii platform ya mt4 ila nahisi huzingatii jinsi unavyoweka SL TP zako..
ni hivi,unapoingia position:long USD/JPY @1.2050,TP hapa inakusaidia kutengeneza faida bila kuingiza hasara..TP yako katika hii pair itakuwa kuuza hiyo pair kwa pesa nyingi kuliko current market price ambayo kwa huu mfano ni 1.2050..hivyo,Take Profit yako itakuwa juu:tuchukulie (1.2070)=(+20pips)
kama position yako ulikuwa short,TP bado ni kwa ajili ya kufungia faida..mfano USD/JPY @50.70. hii inamaanisha unakusudia kununua kwa pesa kidogo kuliko current market price..hivyo,TP yako itakuwa chini ya 50.70 mfano (50.50)=(-20pips)
kwa maneno mengine,TP inakusaidia kufungia faida uliyotengeneza tayari kama soko litakugeuka na mambo yakaenda upogo..
kwa upande mwingine,SL ni order inayokusaidia kuepuka hasara kwa kufunga positions zinazopoteza hela wakati soko likikugeuka..mfano,uko in a position ambayo ni long kwa pair kama GBP/USD@1.4580.
SL yako hapa itakuwa kuuza hiyo pair lakini kwa bei iliyo chini ya kiwango cha muda huo(current price)mfano,(1.4560)=(-20pips)
kama position yako ilikuwa short,SL yako itakuwa kununua hiyo pair lakini kwa kiwango cha juu kuliko current market price.mfano(1.4600)=(+20pips)
kifupi,SL inakusaidia kupunguza hasara lakini lazima utapata hasara kiasi fulani...
cc:yetote
Knowledge kubwa nimeipata kwenye kitabu cha naked forex. Natumia hasa price action na kuangalia trend ya currency kwa masaa kadhaa nyuma to make any decisions. Kitabu hiki kimo kwenye threads humu sijui ipi ila ngoja niweke hapaSamahan unaweza kunisaidia material ya technical analysis yaliyokusaidia kupata mwanga..ukinipa link nitashukuru
binafsi situmii platform ya mt4 ila nahisi huzingatii jinsi unavyoweka SL TP zako..
ni hivi,unapoingia position:long USD/JPY @1.2050,TP hapa inakusaidia kutengeneza faida bila kuingiza hasara..TP yako katika hii pair itakuwa kuuza hiyo pair kwa pesa nyingi kuliko current market price ambayo kwa huu mfano ni 1.2050..hivyo,Take Profit yako itakuwa juu:tuchukulie (1.2070)=(+20pips)
kama position yako ulikuwa short,TP bado ni kwa ajili ya kufungia faida..mfano USD/JPY @50.70. hii inamaanisha unakusudia kununua kwa pesa kidogo kuliko current market price..hivyo,TP yako itakuwa chini ya 50.70 mfano (50.50)=(-20pips)
kwa maneno mengine,TP inakusaidia kufungia faida uliyotengeneza tayari kama soko litakugeuka na mambo yakaenda upogo..
kwa upande mwingine,SL ni order inayokusaidia kuepuka hasara kwa kufunga positions zinazopoteza hela wakati soko likikugeuka..mfano,uko in a position ambayo ni long kwa pair kama GBP/USD@1.4580.
SL yako hapa itakuwa kuuza hiyo pair lakini kwa bei iliyo chini ya kiwango cha muda huo(current price)mfano,(1.4560)=(-20pips)
kama position yako ilikuwa short,SL yako itakuwa kununua hiyo pair lakini kwa kiwango cha juu kuliko current market price.mfano(1.4600)=(+20pips)
kifupi,SL inakusaidia kupunguza hasara lakini lazima utapata hasara kiasi fulani...
cc:yetote
Hii ndo syllabuss nimekiadd kwenye ratiba zangu....1hours per dayKnowledge kubwa nimeipata kwenye kitabu cha naked forex. Natumia hasa price action na kuangalia trend ya currency kwa masaa kadhaa nyuma to make any decisions. Kitabu hiki kimo kwenye threads humu sijui ipi ila ngoja niweke hapa