Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.

Hhaha.. Upo fast mkuu..

Hizo lot size zinatisha mkuu..

Tengeneza strategy ya kumanage hizo lot size..

Stop Loss na Take Profit ziwe sala yako ya asubuhi unapo open position zako..
 
Hhaha.. Upo fast mkuu..

Hizo lot size zinatisha mkuu..

Tengeneza strategy ya kumanage hizo lot size..

Stop Loss na Take Profit ziwe sala yako ya asubuhi unapo open position zako..

Aisee huyu jamaa sijaona sababu na sijaelewa kwa nini same currency pair ameifungulia more than 10 trades within short span of time.
 
Unaposema YANKEES una maana ya NEWYORK ama.? Wanatumia techniques gani ili kuirudishia nguvu USD.? Au ni ile routine ya daily bussines za kila siku ya buy and sell.?

Yankees ni wamarekani.

Mara nyingi inakuwa refereed muda wa New York.
 
vitu vingine kama hujawahi kuviona vitakuwa vipya kwako. anavyovifanya havijachanganyika na imani iliyoko ndani yako nennda south ili ukaone live anachokifanya uje uprove kuwa ni scammer na hao akina Tb Joshua unaosema ni scammer kwa kweli nina uhakika huwajui vizuri kiundani. hebu jaribu kubalance unavyowafikiria hawa watu halafu uandike tena mkuu
 
Hiyo ni strategy mkuu.

Usimshangae hata kidogo..

Unaweza kufungua position hata 50 kwa lot ya 0.10.

Mbeleni utaelewa kwanini hivyo..

Aisee, unafungua position at very same level and very same time. Kwa nini hivi.? Any technicality katika kufanya hivi.? Kwa nini trader anafanya hivi.?
 
Aisee, unafungua position at very same level and very same time. Kwa nini hivi.? Any technicality katika kufanya hivi.? Kwa nini trader anafanya hivi.?

Kama una mtaji mdogo huwezi kufungua position zenye lot kubwa mfano lot ya 5. Ila ukiwa na lot ya 0.1 unaweza fungua position 50.

Kwingine, broker anaweza akawa anatoa maximum lot ya 10 kwa aina ya account yako. Ila unaweza ukafungua hata trade 20 za lot ya 1. Ukawa na lot zaidi ya 20 badala ya kusubiri hizo 10 za broker.
 
Graph, graph yake kiroho ipo chini ndo maana hawezi kuwaelewa hao had anawaita scammers, I pray that his days should not be numbered.
 

Ngoja hapa sijakusoma kabisa. Let me do my homework nipate kukuelewa kwanza. Then nitarudi tuongee lugha moja.

Aisee halafu nimecheki broker niliyejisajili, kumbe kila siku asubuhi na mchana wanatoa technical reviews kwa baadhi ya pair za currency wanavyotarajia how they will trend katika market.
 
Pamoja na hayo fanya analysis yako.
Ukimtegemea broker anaweza kukudumaza na pia anaweza kukuingiza chaka..
 
PONT OF CORRECTION MKUU HUYU JAMAA SII ENGINEER AMESOMA PETROLEUM CHEMISTRY BATCH YA KWANZA UDSM INAYOTOA PETROLEUM ENGINEER NDO WATAMALIZA MWAKA HUU. KULE UDOM NDO ZISHATOKA KAMA BATCH TATU HIVI ZA MA ENGINEER WA PETROLEUM MKUU
Poa mkuu
 
Mkuu ukipata muda naomba nikuulize maswali kidogo ili niielewe vzr hii MT4.
 
Bavaria shukrani sana kwa kutoa muda wako mwingi kuwatia moyo watu humu.
Nimejifunza mengi mno nitaleta mrejesho najifua na (joseph nemeth..youtube) mwalimu mzuri ajabu
 
Mkuu ukipata muda naomba nikuulize maswali kidogo ili niielewe vzr hii MT4.
Uliza tu ndugu japo namimi bado nazidi kuielewa kadri muda unavyokwenda,wadau wengine wanaotumia MT4 hapa jukwaani watachangia, nadhani hata boss ONTARIO anatumia hii ukitazama vizuri pale juu.
 
Hello wakuu please Add me also on both whatsap and telegram 0686524840
 
Duu hii breakout iliyotokea kwenye GBP/USD right after 23;00 GMT2+ ukiwa nakamtaji kwenye acc ungekusanya pips za kutosha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…