Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani nimejikuta najicheka! Yaani asubuhi nilikua na profit karibu 2000EUR ila sasa ivi nna negative 77!! Actually uzembe wangu mwenyewe! Na nnajua nlipokosea...nilichemsha kiweka stop loss and profit! Ilipofikia limits nlizoweka ikaji execute yenyewe!! Ndio nikagonga loss!! Duuuh...navuta picha ingekua ni real account!!
Angalia hiyo picha ya pili...kuna negative kama 3000 hivi!
![]()
![]()
Mkuu mbona nikitaka ku register kwenye mt4 wanazingua?? Yaani nikiweka ID yangu nikiweka na email inasema "registration failed"!! Nakosea nini??
Bavaria
Please add me to the group. 0754542940Hivi kuna group mmeanzisha my number please 0655391911
Hhaha.. Upo fast mkuu..
Hizo lot size zinatisha mkuu..
Tengeneza strategy ya kumanage hizo lot size..
Stop Loss na Take Profit ziwe sala yako ya asubuhi unapo open position zako..
Unaposema YANKEES una maana ya NEWYORK ama.? Wanatumia techniques gani ili kuirudishia nguvu USD.? Au ni ile routine ya daily bussines za kila siku ya buy and sell.?
Aisee huyu jamaa sijaona sababu na sijaelewa kwa nini same currency pair ameifungulia more than 10 trades within short span of time.
vitu vingine kama hujawahi kuviona vitakuwa vipya kwako. anavyovifanya havijachanganyika na imani iliyoko ndani yako nennda south ili ukaone live anachokifanya uje uprove kuwa ni scammer na hao akina Tb Joshua unaosema ni scammer kwa kweli nina uhakika huwajui vizuri kiundani. hebu jaribu kubalance unavyowafikiria hawa watu halafu uandike tena mkuuHuyo jamaa ni pastor, level za tb joshua vile, anatoka Zimbabwe, ana followers kibao, yeye ni mzee wa kufanya chochote ili mradi apige hela, ni scammer kwa kua anafanya upuuzi live na kuwadanganya watu, mfano alifanya editing akapachika malaika kwenye video akasema ati malaika walitokea kanisani kwake live, hehehe! unaweza amini mpuuzi kama huyu anayesema mungu kampa uwezo wa kupaa, anajirekodi miguu iko juu huku mikono imeshika sehemu alafu anasema ni uwezo wa mungu. Mtu kama huyu akiandika kitabu chochote kile unaweza kisoma kweli?
Hiyo ni strategy mkuu.
Usimshangae hata kidogo..
Unaweza kufungua position hata 50 kwa lot ya 0.10.
Mbeleni utaelewa kwanini hivyo..
Aisee, unafungua position at very same level and very same time. Kwa nini hivi.? Any technicality katika kufanya hivi.? Kwa nini trader anafanya hivi.?
Graph, graph yake kiroho ipo chini ndo maana hawezi kuwaelewa hao had anawaita scammers, I pray that his days should not be numbered.vitu vingine kama hujawahi kuviona vitakuwa vipya kwako. anavyovifanya havijachanganyika na imani iliyoko ndani yako nennda south ili ukaone live anachokifanya uje uprove kuwa ni scammer na hao akina Tb Joshua unaosema ni scammer kwa kweli nina uhakika huwajui vizuri kiundani. hebu jaribu kubalance unavyowafikiria hawa watu halafu uandike tena mkuu
Kama una mtaji mdogo huwezi kufungua position zenye lot kubwa mfano lot ya 5. Ila ukiwa na lot ya 0.1 unaweza fungua position 50.
Kwingine, broker anaweza akawa anatoa maximum lot ya 10 kwa aina ya account yako. Ila unaweza ukafungua hata trade 20 za lot ya 1. Ukawa na lot zaidi ya 20 badala ya kusubiri hizo 10 za broker.
Pamoja na hayo fanya analysis yako.Ngoja hapa sijakusoma kabisa. Let me do my homework nipate kukuelewa kwanza. Then nitarudi tuongee lugha moja.
Aisee halafu nimecheki broker niliyejisajili, kumbe kila siku asubuhi na mchana wanatoa technical reviews kwa baadhi ya pair za currency wanavyotarajia how they will trend katika market.
Poa mkuuPONT OF CORRECTION MKUU HUYU JAMAA SII ENGINEER AMESOMA PETROLEUM CHEMISTRY BATCH YA KWANZA UDSM INAYOTOA PETROLEUM ENGINEER NDO WATAMALIZA MWAKA HUU. KULE UDOM NDO ZISHATOKA KAMA BATCH TATU HIVI ZA MA ENGINEER WA PETROLEUM MKUU
Mkuu ukipata muda naomba nikuulize maswali kidogo ili niielewe vzr hii MT4.Jaribu kutupia picha tuone shida iko wapi,hata mimi ilinikuta ninavoanza nikagundua nilikuwa nakosea vitu viwili
1.SL na TP nilikuwa naweka vise versa, ukiiwa unaingia long(una buy mfano EUR/USD 1.2500 ndio market price at the moment) stop loss inatakiwa iwe below price hiyo mfano 1.2480 (-20pips) na take profit iwe above curreng market price mfano 1.2520(20pips).And viceversa for short trade TP inakuwa below market price na SL above.
2.Kiasi cha pips katika TP/SL yako inabidi kizidi spread iliyopo(tofauti kati ya bid na offer price simply zile price zinazochezacheza pale juu kushoto zilizoandikwa sell na buy).
Check hivo vitu viwili kwanza
Bavaria shukrani sana kwa kutoa muda wako mwingi kuwatia moyo watu humu.Safi sana.
Mi sikuwa na speed kali kama yako. Niliifahamu forex 2012 ila nilianza kutrade 2015. Nikachoma account kadhaa, nikasimama 2016 nimekuja kuanza tena 2017.
Ila i give you my word, hata kama ukishaanza kula hela za forex. Endelea kusoma na kujifunza zaidi.
Forex ni msitu ambao hata hao maguru hawajaujua vizuri huo msitu.
Usibweteke.
Uliza tu ndugu japo namimi bado nazidi kuielewa kadri muda unavyokwenda,wadau wengine wanaotumia MT4 hapa jukwaani watachangia, nadhani hata boss ONTARIO anatumia hii ukitazama vizuri pale juu.Mkuu ukipata muda naomba nikuulize maswali kidogo ili niielewe vzr hii MT4.