Pancho panchilo
Senior Member
- May 18, 2017
- 121
- 95
Mkuu ONTARIO usijenisahau naweza kufa kwa presha, kwenye ile class ya 300 students
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Office ikoapi?Amesema nenda ofisini kwake hajibu pm
ImenigusaWazo la kwanza
Protocol yangu hua haibadiliki milele. Hahaa! Wanaonifahamu wananifahamu vizuri, hua sijibu PM ya mtu yoyote, no matter who you are. Kama ulishawahi kunitext PM kuhusu mada ninazopost na nikakujibu positively basi jua wewe ni malaika. Binafsi Naamini katika kufanya kazi in transparency, clearness and clarity. Hakuna kitu cha kuficha, kama kuna chochote weka hapa jukwaani kila mtu aone, ajifunze, aelimike na akosoe pia.
nimekuwa nafuatilia huu uzi na comment za wana jamvi.... ila nilichojifunza kwa bwana ONTARIO ni mfuatiliaji sana na kama umeona hili la huyu mtu basi sina shaka hata hii fursa umeiona kwa usahihi.You are good boss. At least unafahamu major pair hata kwa kuziandiaka (GBP/USD) basi uko vzr. Meet you at class boss. Unafahamu hata fundamental analysis nk, naomba usikose kuja class nikimake a call kua tupo try.
Kina patikana wapi?Naomba kila mtu ambae yupo interested kwa kujinoa noa na kuondoa tongo tongo asome kitabu kinaitwa Currency trading for dummies kimeandikwa na Brian Dolan. Kitakupush sana sana.
Uzi mrefu kama huu mtu ana quote ili agundue nini? Na mleta uzi ameshatoa tahadhari?Duh, pls msituharibie huu uzi wakuu
Mkuu hii kitu imekaaje maana wewe sio mkurupukaji!Nyani Ngabu umetisha kaka!!!
I wish ungeelewa unachokizungumza boss wangu. I WISH!!Mkuu umeeleweka sana, mara mia kuliko jamaa zetu wa BITCOIN ambao nao japokuwa ni virtual money na vitu kama hivyo ila yao ni so complex na inaboa sana kwa mtu ukimuambia hata kabla hajakubali kuanza kujiunga, hii forex kwa hakika imekaa vizuri ucomplex wake unaleta logic fulani, its more real kama hivyo unapoongelea kuwa na ofisi na benki husika na atm card fulani, ni rahisi virtual business kuwa real hapo, yaani mtu anaweza pata pesa yake mkononi, ila watu wa bitcoin yaani wanaboa, huku kwetu bado naona japo wenzetu wananunua tayari mitandaoni kwa hiyo bitcoin!
SO MKUU I WISH KUWA HUMO DARASANI, TUPO PAMOJA, ENDELEA KUKEEP IT REAL ILI TUTUSUE!