Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Nina wasiwasi umri umeshanitupa sana kuanza kujaribu mambo mapya; ila kwakua kujifunza hakuna mwisho ni bora nijifunze nione. Nipe nafasi katika hao mia3 wa kwanza kijana wangu. Hata kama nikulipa nitalipa nijifunze. Hata kama moyo ukikataa kufanya hiyo forex bado naziona fursa kupitia kwako...naweza geuka mkopesha mitaji kwa vijana wanao-thubutu.
Boss you are still in the game. Nani kasema umetupwa?! Nani kasema umri unajali?! Wapi kuna hiyo sheria. Wewe kuweza kununua smartphone, kua na account JF na kusoma hii thread automatically unakua kijana dakika 0.

Unamfahamu mzee mwenzako anaitwa Warren Buffet?? Ni mdingi haswaa ana miaka ya kutosha yawezekana kakuzidi mbali, lkn yy ni 1 ya traders nguli na successful zaidi duniani. Miaka yote yeye ni tajiri namba 3 dunia nzima. Pia kuna mzee mwenzako huyu ndie kichaaa katika hii game anaitwa George Soros, huyu ni mbwaaa. Ipo siku nitaweka thread jukwaa la Intelligence kumhusu huyu kiumbe aliyewahi kutikisa uchumi wa nchi za Uingereza ndani ya siku 1 akagonga $ 1 bil ndani ya masaa machache mwaka 1990 mpk viongozi wakamuomba awe mpole. Hebu pata picha thamani ya $ mwaka huo.

Boss! Bado damu inachemka.
 
Naomba darasa litakapo anza, nij umuishwe niwe kati ya hao 300.
 
Boss kama wewe ni mstaarabu kama mimi naomba ufute hiyo kitu boss wangu kabla jamaa hajaiona. Huwezi kua huyo mama'ke yupo wapi dakika hii unamtukana, huwezi jua ana hali gani huko alipo. Mamake ni mamako, ni sawa unamtukana mamako mzazi hilo tusi, na ukute sababu ni kua jamaa kaQuote thread. Be a gentleman my big boss.
Hivi mkuu kwa ambao wapo nje ya Tz utawashirikisha kwenye hiyo offer ya wanajf maana nimeona target yako ni TZ.??
 
Mkuu nimsaidie ONTARIO kukujibu, Forex hawatrade TSHS VS USD/EUR/JPY bali wanatrade major currencies. i.e EUR/USD , GBP/USD, USD/JPY ETC. Kwahiyo uchumi wetu wa madafu TSHS hauusiki hapo. Fundamental analysis itaangalia uchumi wa USA/UK/JAPAN/USWIS/CANADA/AUSTRALIA/NEWZEALAND na sio TZ.

Thanks
 
Boss kama wewe ni mstaarabu kama mimi naomba ufute hiyo kitu boss wangu kabla jamaa hajaiona. Huwezi jua huyo mama'ke yupo wapi dakika hii unamtukana, huwezi jua ana hali gani huko alipo. Mamake ni mamako, ni sawa unamtukana mamako mzazi hilo tusi, na ukute sababu ni kua jamaa kaQuote thread. Be a gentleman my big boss.
Heri ukose mali kuliko akili, ubarikiwe kwa kumshauri vyema
 
mkuu Ontario na mimi nifunze..nifanye mwanafunzi wako..natamani kuchapa dili za mkwanja mrefu kama huo..mtaji tayari ninao...
 
Mkuu kwanini usitoe hayo material tu? Kwani ni lazima ufundishe mwenyewe, sisi wengine tushazoea kukomaa wenyewe si sekondari si chuo....
Bado siamini eti hizo ni nondo ngumu sana kuzielewa, labda kama una agenda nyingine tofauti na hii!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom