Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Mbona umempa like mtukanajiDuh, pls msituharibie huu uzi wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona umempa like mtukanajiDuh, pls msituharibie huu uzi wakuu
Tiyari nime withdrawl, it happened accidentallyMbona umempa like mtukanaji
Mkuu hii kitu imekaaje maana wewe sio mkurupukaji!
Boss you are still in the game. Nani kasema umetupwa?! Nani kasema umri unajali?! Wapi kuna hiyo sheria. Wewe kuweza kununua smartphone, kua na account JF na kusoma hii thread automatically unakua kijana dakika 0.Nina wasiwasi umri umeshanitupa sana kuanza kujaribu mambo mapya; ila kwakua kujifunza hakuna mwisho ni bora nijifunze nione. Nipe nafasi katika hao mia3 wa kwanza kijana wangu. Hata kama nikulipa nitalipa nijifunze. Hata kama moyo ukikataa kufanya hiyo forex bado naziona fursa kupitia kwako...naweza geuka mkopesha mitaji kwa vijana wanao-thubutu.
Hivi mkuu kwa ambao wapo nje ya Tz utawashirikisha kwenye hiyo offer ya wanajf maana nimeona target yako ni TZ.??Boss kama wewe ni mstaarabu kama mimi naomba ufute hiyo kitu boss wangu kabla jamaa hajaiona. Huwezi kua huyo mama'ke yupo wapi dakika hii unamtukana, huwezi jua ana hali gani huko alipo. Mamake ni mamako, ni sawa unamtukana mamako mzazi hilo tusi, na ukute sababu ni kua jamaa kaQuote thread. Be a gentleman my big boss.
Mkuu nimsaidie ONTARIO kukujibu, Forex hawatrade TSHS VS USD/EUR/JPY bali wanatrade major currencies. i.e EUR/USD , GBP/USD, USD/JPY ETC. Kwahiyo uchumi wetu wa madafu TSHS hauusiki hapo. Fundamental analysis itaangalia uchumi wa USA/UK/JAPAN/USWIS/CANADA/AUSTRALIA/NEWZEALAND na sio TZ.
Hahaaaa boss tangu wanipige ban sionekani kabisa. What's happening bruh?!
Sio bureau de change bali forex
Heri ukose mali kuliko akili, ubarikiwe kwa kumshauri vyemaBoss kama wewe ni mstaarabu kama mimi naomba ufute hiyo kitu boss wangu kabla jamaa hajaiona. Huwezi jua huyo mama'ke yupo wapi dakika hii unamtukana, huwezi jua ana hali gani huko alipo. Mamake ni mamako, ni sawa unamtukana mamako mzazi hilo tusi, na ukute sababu ni kua jamaa kaQuote thread. Be a gentleman my big boss.
Hao wezi tu hamna kitu hapoMnaonaje na nyie mnefunguka iyo kitu mloyokua mnafanya