Ni hivi, nikishafungua demo account kwny MT4 nitapaswa kuwatafuta brokers?, je nikifungua tu demo account, account inakuwa na salio?, tuanze na hayo kwanza.Uliza tu ndugu japo namimi bado nazidi kuielewa kadri muda unavyokwenda,wadau wengine wanaotumia MT4 hapa jukwaani watachangia, nadhani hata boss ONTARIO anatumia hii ukitazama vizuri pale juu.
Natamani siku moja Forex isambae mitaani kama betting ilivyo.Bavaria shukrani sana kwa kutoa muda wako mwingi kuwatia moyo watu humu.
Nimejifunza mengi mno nitaleta mrejesho najifua na (joseph nemeth..youtube) mwalimu mzuri ajabu
Mkuu uko sahihi, kitakacho washinda wengine ni KUBUKUANatamani siku moja Forex isambae mitaani kama betting ilivyo.
Vijana wanajitengenezea legit cash through forex.
Yale mambo ya kuwaza ajira, allowance za safari sijui per diem hazipo tena.
Utakuwa unawaza ujenge nyumba nzuri wapi, au ununue gari la aina gani..
Hela ya mafuta huwazi, trade ya masaa mawili unapata hela ya mafuta ya mwezi mzima..
You've got a point bro......Natamani siku moja Forex isambae mitaani kama betting ilivyo.
Vijana wanajitengenezea legit cash through forex.
Yale mambo ya kuwaza ajira, allowance za safari sijui per diem hazipo tena.
Utakuwa unawaza ujenge nyumba nzuri wapi, au ununue gari la aina gani..
Hela ya mafuta huwazi, trade ya masaa mawili unapata hela ya mafuta ya mwezi mzima..
Tenga masaa mawili ya kusoma chats na jinsi ya kufanya analysis kila siku.Mkuu uko sahihi, kitakacho washinda wengine ni KUBUKUA
nimejifunza jambo la msingi sana kwa Joseph Nemeth, kujua kuitumia ZONE RECOVERY AREA.
jinsi unavyobukua unapata mbinu mpya na hatimaye una yake over...
Asante kwa shauku yako...nimeku pm
OK ni rahisi namna hii, nenda kushoto chini sehemu iliyoandikwa accounts, right click pale na uchague open an account, itatokea window/tab hapo itakwambia uscan brokers utascan utaanza kuona zinakuja servers nyinginyingi,chagua ya broker unayemtaka na hakikisha imeandikwa DEMO na sio REAL. baada ya hapo bonyeza next utachagua new demo account, bonyeza next jaza taarifa zako, malizia kama picha zinavoelekeza hapo chini ukiangalia picha mbili za mwisho utaona huko ndo mtaji unachagua pamoja na laverage.Fuatisha hizo picha zitakusaidia ila usisahau kusave password na login ID japo ukisha maliza unakuwa umelogin automaticaly. Sorry for very long explanation.Picha hizo zitakusaidia nimezipanga step 1 to last step.Ni hivi, nikishafungua demo account kwny MT4 nitapaswa kuwatafuta brokers?, je nikifungua tu demo account, account inakuwa na salio?, tuanze na hayo kwanza.
Vp wewe umezikosa hizo mkuu, nilikuwa naendelea kupractise ghafla nikashangaa bear candle inavodrop kwa kasi nikatamani ningekuwa real.Did anyone bet on Pound? Massive rally south side.
Election results..
Ndio maana nipoVp wewe umezikosa hizo mkuu, nilikuwa naendelea kupractise ghafla nikashangaa bear candle inavodrop kwa kasi nikatamani ningekuwa real.
Ndio maana nipo macho hadi sahivi..Vp wewe umezikosa hizo mkuu, nilikuwa naendelea kupractise ghafla nikashangaa bear candle inavodrop kwa kasi nikatamani ningekuwa real.
Sawasawa mkuu,vijana tunakuja mtupe support. Fortunately ndo napitia kitu hicho wakati huu LIMIT ORDERS AND STOP ORDERS. A little bit confusingNdio maana nipo
Ndio maana nipo macho hadi sahivi..
Niliweka pending order..
Piga shule mkuu.Sawasawa mkuu,vijana tunakuja mtupe support. Fortunately ndo napitia kitu hicho wakati huu LIMIT ORDERS AND STOP ORDERS. A little bit confusing
Thanks for advice mkuu, nice trading.Piga shule mkuu.
Kama huelewi ingia youtube ujifunze zaidi..
Aisee thanks a lot, yaan ww unafaa kuwa kwenye dawati la huduma kwa wateja kule metetrader, co yule mama nimezozana nae weeee mwisho hakunisaidia chcht zaidi ya kuulizana maswali amayo ni nje ya mada. Hii nikitulia nitaifanyia kazi en kama kuna maswali mengine nitakutafuta mkuu. ONTARIO hawezi kukuacha kwny batch ya kwanza asee. Ucku mwema trader.Uliza tu ndugu japo namimi bado nazidi kuielewa kadri muda unavyokwenda,wadau wengine wanaotumia MT4 hapa jukwaani watachangia, nadhani hata boss ONTARIO anatumia hii ukitazama vizuri pale juu.
Pamoja mkuu, umenipa matumaini zaidi kuniita trader πππ. Im just a baby trader in fact.Aisee thanks a lot, yaan ww unafaa kuwa kwenye dawati la huduma kwa wateja kule metetrader, co yule mama nimezozana nae weeee mwisho hakunisaidia chcht zaidi ya kuulizana maswali amayo ni nje ya mada. Hii nikitulia nitaifanyia kazi en kama kuna maswali mengine nitakutafuta mkuu. ONTARIO hawezi kukuacha kwny batch ya kwanza asee. Ucku mwema trader.
Aisee hii nimeishuhudia live mkuu nikatamani ningekuwa nimeweka order (getting short) hata kama ni demo ningepata nguvu mara mia....ila nashukuru nimeshaelewa namna ya kucheza na SL & TP sasa hakuna trade nitakayoweka bila hizo orderππ..ngoja nirudi chimbo mkuuDuu hii breakout iliyotokea kwenye GBP/USD right after 23;00 GMT2+ ukiwa nakamtaji kwenye acc ungekusanya pips za kutoshaView attachment 521446
Graph, graph yake kiroho ipo chini ndo maana hawezi kuwaelewa hao had anawaita scammers, I pray that his days should not be numbered.