Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Njua boss ONTARIO utakuwa umesha collect hizo pipiz 🙄🙄
 
Uliza tu ndugu japo namimi bado nazidi kuielewa kadri muda unavyokwenda,wadau wengine wanaotumia MT4 hapa jukwaani watachangia, nadhani hata boss ONTARIO anatumia hii ukitazama vizuri pale juu.
Ni hivi, nikishafungua demo account kwny MT4 nitapaswa kuwatafuta brokers?, je nikifungua tu demo account, account inakuwa na salio?, tuanze na hayo kwanza.
 
b95940dde74f555992ddc7475a667894.jpg
 
Bavaria shukrani sana kwa kutoa muda wako mwingi kuwatia moyo watu humu.
Nimejifunza mengi mno nitaleta mrejesho najifua na (joseph nemeth..youtube) mwalimu mzuri ajabu
Natamani siku moja Forex isambae mitaani kama betting ilivyo.
Vijana wanajitengenezea legit cash through forex.
Yale mambo ya kuwaza ajira, allowance za safari sijui per diem hazipo tena.
Utakuwa unawaza ujenge nyumba nzuri wapi, au ununue gari la aina gani..
Hela ya mafuta huwazi, trade ya masaa mawili unapata hela ya mafuta ya mwezi mzima..
 
Mkuu uko sahihi, kitakacho washinda wengine ni KUBUKUA
nimejifunza jambo la msingi sana kwa Joseph Nemeth, kujua kuitumia ZONE RECOVERY AREA.
jinsi unavyobukua unapata mbinu mpya na hatimaye una yake over...
Asante kwa shauku yako...nimeku pm
 
You've got a point bro......
 
Mkuu uko sahihi, kitakacho washinda wengine ni KUBUKUA
nimejifunza jambo la msingi sana kwa Joseph Nemeth, kujua kuitumia ZONE RECOVERY AREA.
jinsi unavyobukua unapata mbinu mpya na hatimaye una yake over...
Asante kwa shauku yako...nimeku pm
Tenga masaa mawili ya kusoma chats na jinsi ya kufanya analysis kila siku.

Utapiga hatua vibaya mno..
 
Ni hivi, nikishafungua demo account kwny MT4 nitapaswa kuwatafuta brokers?, je nikifungua tu demo account, account inakuwa na salio?, tuanze na hayo kwanza.
OK ni rahisi namna hii, nenda kushoto chini sehemu iliyoandikwa accounts, right click pale na uchague open an account, itatokea window/tab hapo itakwambia uscan brokers utascan utaanza kuona zinakuja servers nyinginyingi,chagua ya broker unayemtaka na hakikisha imeandikwa DEMO na sio REAL. baada ya hapo bonyeza next utachagua new demo account, bonyeza next jaza taarifa zako, malizia kama picha zinavoelekeza hapo chini ukiangalia picha mbili za mwisho utaona huko ndo mtaji unachagua pamoja na laverage.Fuatisha hizo picha zitakusaidia ila usisahau kusave password na login ID japo ukisha maliza unakuwa umelogin automaticaly. Sorry for very long explanation.Picha hizo zitakusaidia nimezipanga step 1 to last step.
picture 1.jpg
picture 2.jpg
picture 3.jpg
picture 4.jpg
picture 5.png
picture 6.jpg
 
Vp wewe umezikosa hizo mkuu, nilikuwa naendelea kupractise ghafla nikashangaa bear candle inavodrop kwa kasi nikatamani ningekuwa real.
Ndio maana nipo

Ndio maana nipo macho hadi sahivi..
Niliweka pending order..
 
Ndio maana nipo
Ndio maana nipo macho hadi sahivi..
Niliweka pending order..
Sawasawa mkuu,vijana tunakuja mtupe support. Fortunately ndo napitia kitu hicho wakati huu LIMIT ORDERS AND STOP ORDERS. A little bit confusing
 
Piga shule mkuu.

Kama huelewi ingia youtube ujifunze zaidi..
 
Uliza tu ndugu japo namimi bado nazidi kuielewa kadri muda unavyokwenda,wadau wengine wanaotumia MT4 hapa jukwaani watachangia, nadhani hata boss ONTARIO anatumia hii ukitazama vizuri pale juu.
Aisee thanks a lot, yaan ww unafaa kuwa kwenye dawati la huduma kwa wateja kule metetrader, co yule mama nimezozana nae weeee mwisho hakunisaidia chcht zaidi ya kuulizana maswali amayo ni nje ya mada. Hii nikitulia nitaifanyia kazi en kama kuna maswali mengine nitakutafuta mkuu. ONTARIO hawezi kukuacha kwny batch ya kwanza asee. Ucku mwema trader.
 
Pamoja mkuu, umenipa matumaini zaidi kuniita trader 🙄🙄🙄. Im just a baby trader in fact.
 
Duu hii breakout iliyotokea kwenye GBP/USD right after 23;00 GMT2+ ukiwa nakamtaji kwenye acc ungekusanya pips za kutoshaView attachment 521446
Aisee hii nimeishuhudia live mkuu nikatamani ningekuwa nimeweka order (getting short) hata kama ni demo ningepata nguvu mara mia....ila nashukuru nimeshaelewa namna ya kucheza na SL & TP sasa hakuna trade nitakayoweka bila hizo order😀😀..ngoja nirudi chimbo mkuu
 
Graph, graph yake kiroho ipo chini ndo maana hawezi kuwaelewa hao had anawaita scammers, I pray that his days should not be numbered.

Hehe mkuu usijali, sihitaji kuombewa kabisa nipo perfectly ok. Nilizaliwa na dini leo sina, hamna cha roho kua chini wala juu, huwezi kuelewa ukiwa ndani ya kifungo cha dini, we endelea kuamini mungu wako ndiye wa kweli kati ya miungu 3000 ambayo inapingana.

Ila tusibadili mada turudi kwenye mambo ya forex, wewe una account tayari?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom