Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hello guys am new here but would like to know much about forex trading infact nataka kuifanya iwe ndo ajira yangu naomba msaada wenu
>> Kwa sasa tuna assignment mbili zilizojiri kupitia hii thread.
1. Kusoma vitabu neno kwa neno kwa kuelewa (download attachment)
2. Kufanya mazoezi kwa DEMO account
>> Wakati tunasubiri mwongozo na taratibu za mafunzo toka kwa ONTARIO
 

Attachments


Lakini mkuu wewe umeshakua mkubwa sasa hasa kwenye mambo ya kuinsipire watu kwenye biashara na mungu akisaidia hilo darasa la forex litakaloanza soon before 15,june mungu akijalia kwa muamko huu kinaweza kuja kua chuo kikubwa cha forex tanzania mbeleni mi nashauri utumie tu jina halisi na picha uwe verified kuepusha watu wengine kufanya utapeli kupitia jina lako, MWISHO KABISA NAOMBA USINISAHAU KWENYE HAO 150 KWANZA NAIMANI NTAKUA BALOZI MZURI WA FX.
 
Ndo maana tunashauriwa tufanye biashara kama graph utakuwa UPTRADE or Lower trade na si katika considerlation (no difinitive Direction)
na kama utazingingatia higher high na higher low katika uptrade
Lower higher lower low katika downtrade.. Huwezi pata loss kirahisii
 

Kwa coment hii itabidi nikualike futari aisee.
 
Nimekuelewa mkuu!!

Lakini mpaka nimenunua au kuuza ni kwamba nilipitia trend ya graphs kila dakika so niliporidhika nikauza au kununua!
 
Mkuu

Sijui kama naweza kusema kitu kuhusu hili kwa vi- knowledge tunavyoendelea kuviokota huku tukisubiri...

Hapo kwenye urefu wa utambi (The longest between the two) kutumika kama kiashirio cha next candlestick move nadhani umechanganya.

Candlestick itakayofata itakua opposite na the previous longest na sio kama ulivyosema kwamba zitamove on the same direction
Mfano: sellers wanapokua wanaipush price chini (below opening or closing position) lakini mwisho wakashindwa kumaintain ile level ya maximum price fall ( automatically forming a downward tail) hii inaonyesha walishindwa kumaintain kwa sababu bullish waliwazidi nguvu. Kwa hiyo assumption ni kwamba kwa kua bears walizidiwa, probably wataendelea kuzidiwa in the next candlestick (momentum) hivyo itamove against the longest tail ambayo kwa case hii ilikua downwards tail!

Kwa hiyo mara nyingi the candlestick will move opposite the previous longest wick
 
Nilijua tu!!! lazima watu watapigwa kupitia ID yako!!!
 

Boss embu funguka zaidi hapa kuhusu higher high na higher low

Pamoja na lower higher Lower low
 

This makes sense kabisa. Hata hivyo tayari watu wengi wana kufahamu tayari kwa sura
 
Kweli, Ontario sasa ni muda wa kuwa verified user.
 
Na chakuongezea mkuu,hiyo miradi ya kupiga watu so rahisi ukute vitabu vinavyoelekeza jinsi ya kushiriki,tena vitabu zaidi ya 500,course ambayo inafundishwa vyuo vikuu(kwa wanaosoma biashara),na unashiriki kila hatua unapigwaje?DECI,D9 unaambiwa tu weka hela utafuata faida baada ya muda fulani,ni tofauti mno na Forex. Kabla mtu hujabisha tafiti.
 
"It's ain't fun, Am ain't happy until my whole team is winning". Wiki inaisha kwa amani kabisa. Enjoy the weekend big Bosses in Town. # Faith # Hope
mkuu wangu naona mambo yanazidi kunyooka..najuta kwa nini sikufaham kuhusu forex mbeleni kabla sijapoteza hela zangu katika biashara za kawaida...nashukuru sana mkuu...
 
Kuna matapeli watapiga hela kupitia hii kitu
As long as Ontaria ataendelea kuwa Anonymous wajanja watapiga hela na watu watalia

Ombi ni Ontario ajireveal
 
"It's ain't fun, Am ain't happy until my whole team is winning". Wiki inaisha kwa amani kabisa. Enjoy the weekend big Bosses in Town. # Faith # Hope
Mkuu ninavyokufatilia kwa karibu acha tu

Natamani tu kusikia msg yako ya CALL FOR TRAINING

May the Almighty God be with you in all the process and protect you.

Glory to Yhwh
 
Dah, Hii kitu kweli ni addictive. Nimejikuta naacha 50% ya my duties, nakomaa na hiki kitabu tuuu.

Huku DOJI, pale SHOOTING STAR, kulia kuna HAMMER, kushoto kuna FLAG.

Mdogomdogo tunasonga, Mwishoni tutakuja kufika tuu.
 
Duh sio mashara!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…