king bankuye
New Member
- Jun 4, 2017
- 4
- 1
Nadhani anazungumzia Leverage.Kuwa na mentor ni sawa na mama ako anapokushika mkono unapojaribu kusimama na kuanza kutembea.. Kwahiyo, yeye anakuongoza kwenye kila kitu kwenye forex.
Broker hawezi kufanya hiyo biashara ya kukukopesha hela hata siku moja..
Angalia hiyo size ya balance ambayo unaweza ukaitumua kama collateral yako.Leo nimekaa nikawa najiuliza! INAKUAJE MTU UNACHOMA ACCOUNT?? yaani unapata hasara?!!
So far nnavyojua huwezi kuuza bila wewe mwenyewe kwa kichwa chako kubonyeza kitufe cha SELL au BUY!
Ivi kama nikiona nachezea negative red which means ni hasara....nikaacha mpaka ije ipande au ishuke irudi kwenye blue then ni excute order kwa faida...inakua kosa??
Sasa kwann mtu uuze au ununue kwa hasara?? Wakati unaweza kuacha ukashuka weee then badae ikapanda thamani ili uuze kwa faida??
Cheki huu mfano...
Hizi ni positions kama tatu hivi na zote zina loss ...ziko kwenye red!
Kwa hapo sintauza wala kuuza mpaka thamani ipande au ishuke ili niuze kwa faida...ikiwa kwenye blue!!
Embu nielewesheni wakuu...INAKUAJE UNAPATA LOSS AU UNACHOMA ACCOUNT???
Labda nakosea...naomba mnieleweshe wadau!!
Waao..."It's ain't fun, Am ain't happy until my whole team is winning". Wiki inaisha kwa amani kabisa. Enjoy the weekend big Bosses in Town. # Faith # Hope
hiyo USD 1000 unayo kweli au mikwara tuKama Nina USD 1000 nianzie wapi? Yaani naanza kufanya nini cha kwanza wakati naanza hiyo biashara?
Mhe. habari za jioni hii!, leo nina haya maswali madogo ili j.2 au 3 nianza ku practice kikamilifu.Njua boss ONTARIO utakuwa umesha collect hizo pipiz 🙄🙄
hiyo balance ni interm of USD ?Wakuu shughuli yenyewe ndio hii faida nazani ipo lakini jinsi ya Ku limit loss ndio tatizo nazani wakuu mtanipa maelezo kidogo
Mhe. habari za jioni hii!, leo nina haya maswali madogo ili j.2 au 3 nianza ku practice kikamilifu.
1. Je niki open position kwa bei flani wakati gani ni sahihi ku close position, mf nipo long en bei ikapanda toka ile niliyotumia ku open position, itanipasa kusubiri ile expiry optn au naweza tu close pale tu bei inapokuwa imepanda?
2. Na close vipi hizi position?
3. Nina buy say EUR/USD kuna kiasi kinaungua toka kwny quote currency kwnd base currency, so unapo close trade t mnc
kile kiasi kilichopo kwny base currency kinajirudisha kwny counter au kinarudishwa vipi?
4. Hizi lots/ volume mf. 0.01, 1.00, 0.03 n.k how do we convert 'em into whole number, mf iwe 10000, 300 etc.
Shukrani mkuu naamini nikifika hzo chapter nitaelewa zaidi.Kwa mujibu wa theory, Indications za kuclose deal zipo nyingi haswa kaama umeset graph idisplay katika candlesticks. Kuna kwa kuangalia patterns kama vile shooting stars, Doji, Hammers nk. Pia kuna kuangalia vitu kama Flags,Triangles nk. Kiufupi ni Technical analysis based stuffs ndo zitakuashiria ni wapi pa kuingia katika trade na wapi utoke katika trade.
All of these vipo katika kitabu elekezi.
Duuh hiyo $899 ni sawa na 2,005,000TSH.Kwa hiyo Mlinzi anayepokea sh150,000 kwa mwezi,itambidi afanye kazi kwa mwaka mzima na mwezi mmoja ili aweze kufikia pesa hiyo uliyoipata kwa dk chache tu.Duh! kweli maisha umeyapatia Mzeebaba.Mimi nilisema sitaingia sokoni kwa siku ya jana, sikuwa nimefanya analysis afu sikutaka kudandia fundamentals... lakini nikahakikisha leo nacompensate muda wa jana.
Nilikua nasoma kitabu fulani kinaitwa Understanding Bitcoin - Cryptography, engineering, and economics, mida kama ya Saa 7 usiku nikasema nifungue charts. Nikamkuta GBP kadondoka yupo sakafuni, kifo cha mende, nikasema sasa nijilipue na lot size ya tembo nipande nae juu kidogo. Sekunde 5 tu, tayari nipo kwenye blues, nikagonga zangu mshahara wa Bank manager wa mwezi. Nikafunga kitabu, nikazima taa, nikalala.
Ila maelezo yake kwa mtu makini, maelezo yanajitosheleza, Tatizo watu wanaharaka sana, wanaona wamecheleeewa.Kuna matapeli watapiga hela kupitia hii kitu
As long as Ontaria ataendelea kuwa Anonymous wajanja watapiga hela na watu watalia
Ombi ni Ontario ajireveal
Japan no need to rush so much taratibu japo hao watuu wapoo naomba Mungu aniepushe nao wasije wakatake advantage ya ugeni wangu (foregner#1)Ila maelezo yake kwa mtu makini, maelezo yanajitosheleza, Tatizo watu wanaharaka sana, wanaona wamecheleeewa.
Yes Mkuuhiyo balance ni interm of USD ?