Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Pia kabla ya kuingia online hii imekaaje kwenda pale kariakoo kununua dola alafu kwenda kuiuza huwezi kuanza hivyo?

Unaweza Ila utakuwa una deal na exchange kati ya USD na TZS peke yake (tunaita pair ya USD/TZS), lakini kwenye real time online forex una pair nyingi ambazo unaweza kuuza/kununua kwa wakati mmoja hivyo una maximize profit.

Ukinunua dola kariakoo ukauze tegeta ni faida ndogo sana utapata ukilinganisha na mtaji utakao uweka lakini pia hiyo faida pengine itaishia kwenye kulipia nauli ya kutoka karikoo kwenda tegeta. Wakati online forex huhitaji nauli, unagonga profit ukiwa umekaa kwenye kochi lako
 
Pia kabla ya kuingia online hii imekaaje kwenda pale kariakoo kununua dola alafu kwenda kuiuza huwezi kuanza hivyo?
Thats another form of forex...lakini kwanini ukomplicate mambo?? Yani umepewa pikipiki upande mlima wewe unataka baiskeli??

Kwa case yako unaweza nunua dola ukakaa nazo ukingoja pesa ya tz ishuke thamani dhidi ya dola mfano...ukinunua dola leo kwa 2200 kesho ikifika 2300 uuze!! Hii inaitwa holding strategy!! Sasa hapa utangoja sana mpaka dola ipamde na wenda ikashuka ukiwa unangoja!

All in all forex ya online ndio a new sheriff in town mi amigo!!

¡Muchas gracias!
 
6a4697256deb7ba7e16664a1bba1e6d8.jpg
 
Mkuu me bwana nimejaribu kuicheki hii kitu nimeielewa ila tatizo linakuja kwenye hizi mambo za pesa jinsi ya kuweka na jinsi ya kutoa ndo zinamipiga chenga. Nimetumia demo account kula zoezi n baadhi ya technics nimizielewa nadhan sasa ni muda wa kuvaa jezi halisi ilo akili izidi kukaa sawa. Msaada wangu ni hapo tu hz logistics nzima za plmzumguko wa pesa kwenye kuweka na kutoa. Hope nitapata msaada wako. Asante
Nimefikia hapa nimekwama nimekutana link kibao cjui ipi ni rahisi kutumia
36aef999a512337be0527cf0fdafef8b.jpg
 
Mkuu asante kwa kutufumbua macho na kututoa matongotongo ,ingekuwa ni vema na haki ukalist vile vitabu vya mwanzo ukashare majina kwenye uzi huu,ingawa vingine nimeviona hapo mezani! unachelwa mkuu dunia iko fasta,
tuanze chungulia
-https://www.xm.com/register/account/demo_success?lang=en

-https://www.mql5.com/?utm_campaign=WebInstaller&utm_medium=special&utm_source=installer&utm_link=4f524ea894a8b4983c66f82fc0aa9c94&utm_codepage=1033&utm_gid=8880820277071774679&utm_uniq=9CDB2E32-D1D1-T-170610

-http://richpips.com/forex/forex-indicators/

TUANZE KUSOMA NA KUULIZA MASWALI
 
Nadhani Complex ameeleza hapo juu lakini kwa nyongeza tu,kama uliweka SL na TP katika order yako huna haja ya kuclose manualy, itajifunga yenyewe pale price itakapo hit TP AU SL, whichever goes first. Japo kuna wakati ukiona market ina move against you basi unaweza amua kufunga order kabla ya kufikia SL ili ku minimize loss(Not sure if its a good idea,wazoefu watatusaidia) na kufanya hivo nenda kwenye mstari wa SL au TP,right click na chagua close.(check picha hapo chini)
Kuhusu LOT,conventional/standard size ni 100,000 currency(your account base currency) so unavosema una trade kwa volume ya 0.03 maana yake unaunatumia 3000 (100,000x0.03) japo kuna brokers ambao wana set Lot size kwenye micro account kuwa 1,000 currency kwahiyo kwa case hii 0.03 Lot volume maana yake umetumia 30 currency kwenye position uliyofunguaView attachment 521779 .
Thanks boss, hapo nimeelewa vizuri sana.
 
Hapo kwa mimi nilifungua XM account. Na doccuments nilizotumia kama proof of residence ni bank statement. Maana nina akaunt moja ya NBC nilijisajili na E-statement, kila mwisho wa mwezi wananitumiaga email ya bank statement katika PDF format, nami hiyohiyo PDF nikaichukua na kuwafowardia XM na wamenifungulia, na wakanipa bonus yangu ya USD 30.
Kuwa na visacard inatosha kufanya manunuzi kwny mtandao? Au kuna process zingine za kufuata?
 
Nimevutiwa na huu uzi. Naomba kama kuna kundi la whatsapp kwa ajili ya mafunzo, naomba kuwekwa. Pia nahitaji kujua wapi naweza kununua hivyo vitabu kwa mafunzo zaidi na kupata knowledge.

0715-240140
 
Nadhani Complex ameeleza hapo juu lakini kwa nyongeza tu,kama uliweka SL na TP katika order yako huna haja ya kuclose manualy, itajifunga yenyewe pale price itakapo hit TP AU SL, whichever goes first. Japo kuna wakati ukiona market ina move against you basi unaweza amua kufunga order kabla ya kufikia SL ili ku minimize loss(Not sure if its a good idea,wazoefu watatusaidia) na kufanya hivo nenda kwenye mstari wa SL au TP,right click na chagua close.(check picha hapo chini)
Kuhusu LOT,conventional/standard size ni 100,000 currency(your account base currency) so unavosema una trade kwa volume ya 0.03 maana yake unaunatumia 3000 (100,000x0.03) japo kuna brokers ambao wana set Lot size kwenye micro account kuwa 1,000 currency kwahiyo kwa case hii 0.03 Lot volume maana yake umetumia 30 currency kwenye position uliyofunguaView attachment 521779 .

Mkuu kwa metatrade 4 demo standard size ni ngapi
 
Kinacho matter ni platform unayotumia rather than a broker, mimi natumia MT4 kwenye PC na nina Demo account tatu kutoka kwa brokers tofauti FXopen,FXCM na WForex na njia ya kuweka SL/TP ni ileile.Naenda sehemu ya new order,juu kushoto kisha hiyo TAB hapo juu itafunguka ndio utajaza parameters zako.
View attachment 521110
Nimekupata vilivyo braza kaka..
 
Hellouw naweza kua added katika grup la watsap plz 0788210045
A new member in jf but nmekua mfatiliaji wa jf as a guest mda kidogo and nko interested and motivated in this
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom