Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,119
- 4,779
Aisee baada ya kusoma sana kitabu nikasemangoja nijipumzishe na video tutorial za Joseph Nemeth. Yaani naona kama anataka kufuta kabisa kile nilichokielewa kupitia katika kitabu. Hahahahahaaaaa.
Naona anatumbukizia tena mambo ya Heiken Ashi charts hapa, na anaita Candlesticks chart presentation ni bullshit. Ila ngoja nikomae na vyote, nitachambulia mbele ya safari
CC: Bavaria, Ontario.
Naona anatumbukizia tena mambo ya Heiken Ashi charts hapa, na anaita Candlesticks chart presentation ni bullshit. Ila ngoja nikomae na vyote, nitachambulia mbele ya safari
CC: Bavaria, Ontario.