Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Forex unalipa na inaingizia bank faida kubwa baada ya mikopo hata watu wengine wanafanya black market.
 
Mkuu usinipite kwa hao 300 niwe next from mtu wa mwisho kutoka sasa
 
Hala hala, msije mkatepeliana tuu huko whatsapp na kulishana matango pori. Maana naona kasi ya kudisclose namba za simu kwa ajili ya whatsapp imepamba moto.
taadhari ni muhimu maana humu muhusika Otario hakusema kuundwe group la watsup au kuwe na group mambo yote yatakuwa exposed hapahapa jukwaani sasa mkitapeliwa huko msije kuchafua watu humu. tusiwe na papala 1 step at a time..
 
Katika ku trade.. Click and deal nimeimaster (in both theory na katika demo) vzr tu na nagain vifaida japo loss za hapa na pale napata, natumia scalping(short term)...
Hii ya orders theory yake nimeielewa.... Tatizo ni kwenye kupractice kwenye demo.. Nashindwa kuiset vzr... Nikiset numba of pips kabla hazijafika ile order inaclose position..
Ukizingalitia hii ya order unaweza kutrade uku unaendelea na kazi zingine za ofisiView attachment 521211
Hiyo ni app gani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom