Nadhani Complex ameeleza hapo juu lakini kwa nyongeza tu,kama uliweka SL na TP katika order yako huna haja ya kuclose manualy, itajifunga yenyewe pale price itakapo hit TP AU SL, whichever goes first. Japo kuna wakati ukiona market ina move against you basi unaweza amua kufunga order kabla ya kufikia SL ili ku minimize loss(Not sure if its a good idea,wazoefu watatusaidia) na kufanya hivo nenda kwenye mstari wa SL au TP,right click na chagua close.(check picha hapo chini)
Kuhusu LOT,conventional/standard size ni 100,000 currency(your account base currency) so unavosema una trade kwa volume ya 0.03 maana yake unaunatumia 3000 (100,000x0.03) japo kuna brokers ambao wana set Lot size kwenye micro account kuwa 1,000 currency kwahiyo kwa case hii 0.03 Lot volume maana yake umetumia 30 currency kwenye position uliyofungua
View attachment 521779 .