Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kuwa na mentor ni sawa na mama ako anapokushika mkono unapojaribu kusimama na kuanza kutembea.. Kwahiyo, yeye anakuongoza kwenye kila kitu kwenye forex.

Broker hawezi kufanya hiyo biashara ya kukukopesha hela hata siku moja..
Nadhani anazungumzia Leverage.
 
Leo nimekaa nikawa najiuliza! INAKUAJE MTU UNACHOMA ACCOUNT?? yaani unapata hasara?!!

So far nnavyojua huwezi kuuza bila wewe mwenyewe kwa kichwa chako kubonyeza kitufe cha SELL au BUY!

Ivi kama nikiona nachezea negative red which means ni hasara....nikaacha mpaka ije ipande au ishuke irudi kwenye blue then ni excute order kwa faida...inakua kosa??

Sasa kwann mtu uuze au ununue kwa hasara?? Wakati unaweza kuacha ukashuka weee then badae ikapanda thamani ili uuze kwa faida??

Cheki huu mfano...
163746a9eb3e66923adfcc205c610c9a.jpg

Hizi ni positions kama tatu hivi na zote zina loss ...ziko kwenye red!

Kwa hapo sintauza wala kuuza mpaka thamani ipande au ishuke ili niuze kwa faida...ikiwa kwenye blue!!

Embu nielewesheni wakuu...INAKUAJE UNAPATA LOSS AU UNACHOMA ACCOUNT???

Labda nakosea...naomba mnieleweshe wadau!!
Angalia hiyo size ya balance ambayo unaweza ukaitumua kama collateral yako.
Unadhani in real acc unaweza deposits that amount.?
Kama unaweza saw a kwa trading hiyo huwezi unguza. Ila say balance yako ili kua USD 10,000.
Yaani hapo acc ingekua ishaungua mda. Ungekua huna kitu!![emoji15]
 
"It's ain't fun, Am ain't happy until my whole team is winning". Wiki inaisha kwa amani kabisa. Enjoy the weekend big Bosses in Town. # Faith # Hope
Waao...
Hatua kubwaa. Ombi langu kwako ni kupeana taarifa mapema kabla ya training kuanza si unajua tena huku makazini tujipange.....
Afe kipa afe beki if God wishes natamani sana hiyo training
 
Wakuu nimejaribu kuendana na kasi ya hiki swala kwakweli nimepata kitu kidogo cha kueleza

1.naomba ufafanuzi zaidi kuhusu swala l stop loss aisee kwa mt4 unawekaje stop loss

2. Ni swali tu mfano una trade alafu una place order kwa mfano and then ukaju kwamba Uko close order utapata loss je huwezi kuendelea kusubiri paka utakapo kuja kuona una close kwa faida?yani kusubiri hata Siku 2 na kuendekea je faida zake na hasara zake ni nini?

3.kwa nini Uko place order tu lazima ianzia kwenye negative! Ni Mimi tu au wapi nakosea naomba muongozo

4.ukiwa una trade kwenye negative lakini kuna order zingine una close kwenye profit na ikiangalia profit inaongezeka vipi hii imekaaje?yani mfano kwenye real acc hiyo Itakua ni profit kweli au labd inatumika SBB ni demo tu

Katika yote napenda kuwa muwazi pia baada ya kula nondo kutoka kwenye vitabu na pi kufatilia mafunzo zaidi YouTube ninegundua hiki jambo ni jema sana na ni kitu cha kawaida kwa mtu aliesona na kuelewa vizuri

Pia katika hiki tamaa haihitajiki kabisa kwakweli Nili trade hadi kufika $2000 lakini gafla sijui ilifanyaje nikajikuta nime close order kwa hasara kubwa

Na mwisho natoa heshima kwa Mkuu Ontario na wazee wa kazi wngine kwanza kwa kutufunbua macho na pia ushauri unaowekwa humu ukiufata tu unaweza kuanza Ku trade hadi kwenye demo alafu mentor akija kazi inakua nyepesi kama kumsukuma mlevi vile

NB nimepata faida kwenye demo hadi nikataka iwe real account
[emoji3] [emoji2] [emoji1]
Mkuu Ontario tunahitaji mentorship mana bila hiyo unaweza kuhisi unapiga faida kumbe ww ndio mtoa faida kwa wenzio

Pia shukrani za zati kwako Mkuu ngoja tuendelee kula nondo tukiingia darasani ni action tu
 
Njua boss ONTARIO utakuwa umesha collect hizo pipiz 🙄🙄
Mhe. habari za jioni hii!, leo nina haya maswali madogo ili j.2 au 3 nianza ku practice kikamilifu.
1. Je niki open position kwa bei flani wakati gani ni sahihi ku close position, mf nipo long en bei ikapanda toka ile niliyotumia ku open position, itanipasa kusubiri ile expiry optn au naweza tu close pale tu bei inapokuwa imepanda?
2. Na close vipi hizi position?
3. Nina buy say EUR/USD kuna kiasi kinaungua toka kwny quote currency kwnd base currency, so unapo close trade t mnc
kile kiasi kilichopo kwny base currency kinajirudisha kwny counter au kinarudishwa vipi?
4. Hizi lots/ volume mf. 0.01, 1.00, 0.03 n.k how do we convert 'em into whole number, mf iwe 10000, 300 etc.
 
Nafatilia sana huu uzi ila Chale zinanicheza sana....ila ngoja wakati ndo utakuwa shahidi.....[emoji40]
 
Wakuu shughuli yenyewe ndio hii faida nazani ipo lakini jinsi ya Ku limit loss ndio tatizo nazani wakuu mtanipa maelezo kidogo
 
Attachments

  • Screenshot_2017-06-09-17-21-40.png
    Screenshot_2017-06-09-17-21-40.png
    37.3 KB · Views: 76
Mhe. habari za jioni hii!, leo nina haya maswali madogo ili j.2 au 3 nianza ku practice kikamilifu.
1. Je niki open position kwa bei flani wakati gani ni sahihi ku close position, mf nipo long en bei ikapanda toka ile niliyotumia ku open position, itanipasa kusubiri ile expiry optn au naweza tu close pale tu bei inapokuwa imepanda?
2. Na close vipi hizi position?
3. Nina buy say EUR/USD kuna kiasi kinaungua toka kwny quote currency kwnd base currency, so unapo close trade t mnc
kile kiasi kilichopo kwny base currency kinajirudisha kwny counter au kinarudishwa vipi?
4. Hizi lots/ volume mf. 0.01, 1.00, 0.03 n.k how do we convert 'em into whole number, mf iwe 10000, 300 etc.

Kwa mujibu wa theory, Indications za kuclose deal zipo nyingi haswa kaama umeset graph idisplay katika candlesticks. Kuna kwa kuangalia patterns kama vile shooting stars, Doji, Hammers nk. Pia kuna kuangalia vitu kama Flags,Triangles nk. Kiufupi ni Technical analysis based stuffs ndo zitakuashiria ni wapi pa kuingia katika trade na wapi utoke katika trade.

All of these vipo katika kitabu elekezi.
 
Shukrani mkuu naamini nikifika hzo chapter nitaelewa zaidi.
 
Mimi nilisema sitaingia sokoni kwa siku ya jana, sikuwa nimefanya analysis afu sikutaka kudandia fundamentals... lakini nikahakikisha leo nacompensate muda wa jana.

Nilikua nasoma kitabu fulani kinaitwa Understanding Bitcoin - Cryptography, engineering, and economics, mida kama ya Saa 7 usiku nikasema nifungue charts. Nikamkuta GBP kadondoka yupo sakafuni, kifo cha mende, nikasema sasa nijilipue na lot size ya tembo nipande nae juu kidogo. Sekunde 5 tu, tayari nipo kwenye blues, nikagonga zangu mshahara wa Bank manager wa mwezi. Nikafunga kitabu, nikazima taa, nikalala.
c9a6e9fb75a0c81da5000d8b8da94c38.jpg
Duuh hiyo $899 ni sawa na 2,005,000TSH.Kwa hiyo Mlinzi anayepokea sh150,000 kwa mwezi,itambidi afanye kazi kwa mwaka mzima na mwezi mmoja ili aweze kufikia pesa hiyo uliyoipata kwa dk chache tu.Duh! kweli maisha umeyapatia Mzeebaba.
 
Kuna matapeli watapiga hela kupitia hii kitu
As long as Ontaria ataendelea kuwa Anonymous wajanja watapiga hela na watu watalia

Ombi ni Ontario ajireveal
Ila maelezo yake kwa mtu makini, maelezo yanajitosheleza, Tatizo watu wanaharaka sana, wanaona wamecheleeewa.
 
Ila maelezo yake kwa mtu makini, maelezo yanajitosheleza, Tatizo watu wanaharaka sana, wanaona wamecheleeewa.
Japan no need to rush so much taratibu japo hao watuu wapoo naomba Mungu aniepushe nao wasije wakatake advantage ya ugeni wangu (foregner#1)
 
Niunganishen group LA whatsap jamani nimesoma A to Z naomba nami niingie kwenye hii elim maana itatuweka huru kuliko sport betting

Namba yangu 0756415808
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom