Mm nilimwacha kumsikiliza pale tu aliposema usitumie stop loss hapo nilinawa mikono kabisaAisee baada ya kusoma sana kitabu nikasemangoja nijipumzishe na video tutorial za Joseph Nemeth. Yaani naona kama anataka kufuta kabisa kile nilichokielewa kupitia katika kitabu. Hahahahahaaaaa.
Naona anatumbukizia tena mambo ya Heiken Ashi charts hapa, na anaita Candlesticks chart presentation ni bullshit.
CC: Bavaria, Ontario.
Ht mm nafanyaga hivyo,ila lot kubwa mkuu!Leo nimekaa nikawa najiuliza! INAKUAJE MTU UNACHOMA ACCOUNT?? yaani unapata hasara?!!
So far nnavyojua huwezi kuuza bila wewe mwenyewe kwa kichwa chako kubonyeza kitufe cha SELL au BUY!
Ivi kama nikiona nachezea negative red which means ni hasara....nikaacha mpaka ije ipande au ishuke irudi kwenye blue then ni excute order kwa faida...inakua kosa??
Sasa kwann mtu uuze au ununue kwa hasara?? Wakati unaweza kuacha ukashuka weee then badae ikapanda thamani ili uuze kwa faida??
Cheki huu mfano...
Hizi ni positions kama tatu hivi na zote zina loss ...ziko kwenye red!
Kwa hapo sintauza wala kuuza mpaka thamani ipande au ishuke ili niuze kwa faida...ikiwa kwenye blue!!
Embu nielewesheni wakuu...INAKUAJE UNAPATA LOSS AU UNACHOMA ACCOUNT???
Labda nakosea...naomba mnieleweshe wadau!!
Unaweza kufanya manunuzi kama iko activatedMsaada hapa plz
Mm nilimwacha kumsikiliza pale tu aliposema usitumie stop loss hapo nilinawa mikono kabisa
Unaakili sana, ila inahitaji ukishanunua usubir mpaka zipande uuze upate lile ongezeko kama faida, ila zikishuka pole, so umerahisihiwa na forex kufanya yote hayo online mkuu, ila pia kumbuka Beaural de change za bongo hawakawii kukupa dola feki au zilizo expire, then baadae bi kilio. lakini pia utatrade TSH na pair nyinginePia kabla ya kuingia online hii imekaaje kwenda pale kariakoo kununua dola alafu kwenda kuiuza huwezi kuanza hivyo?
Brokers wote na kwa platform zote standard lot ni ileile yaani 100,000 base currencies,kuhusu demo I'm not very sure ila nadhani demo account nyingi kama sio zote zinatumia hiyo standard japo ukihamia sasa kwenye Live/ Real trading acounts, brokers wengine wamerahisisha kwa kuweka kitu kinaitwa Micro/Mini accounts ambako lot imekuwa redifined na kuitwa micro Lot yaani 1,000 base currencies ili kufit matumizi ya watu wenye account hizo ndogondogo,So nikiwa nataka nicheze 100USD katika micro account nitajaza 0.1 volume badala ya kujaza 0.001.Mkuu kwa metatrade 4 demo standard size ni ngapi
Nimekuelewa vyema mkuu.... UbarikiweBrokers wote na kwa platform zote standard lot ni ileile yaani 100,000 base currencies,kuhusu demo I'm not very sure ila nadhani demo account nyingi kama sio zote zinatumia hiyo standard japo ukihamia sasa kwenye Live/ Real trading acounts, brokers wengine wamerahisisha kwa kuweka kitu kinaitwa Micro/Mini accounts ambako lot imekuwa redifined na kuitwa micro Lot yaani 1,000 base currencies ili kufit matumizi ya watu wenye account hizo ndogondogo,So nikiwa nataka nicheze 100USD katika micro account nitajaza 0.1 volume badala ya kujaza 0.001.
Kuna watu huwa wana trade against the trend na kadhalika. Kuna trading styles tofauti na platforms au rules tofauti kulingana na una trade nini na wapi. Ni muhimu ku-perfect trading styles zako na ujue ipi inafaa wapi, otherwise hao kina Buffet etc. wana huge and diverse portfolio, FX is probably a negligible option for them. Hawahangaiki na hizi FX trading platforms zinazozungumzwa humu.hahahahaaa, halafu anakutolea mfano kuwa Warren Buffet, George Soros and Co kuwa hawatrade the way we think.
Nilipata the same problem nilivoipakua kwa mara ya kwanza but ukienda on forex site yenyewe pale juu kulia kuna sehem imeandikwa Chat, ingia then anza mazungumzo afu then mueleze shida yako na kama unatatizo any where utamueleza, sio outomated mashine so uliza maswal hapo, afu ukimaliza kuna sehem imeandikwa take chat receipt, itaingia kwenye e-mail yako , ni lugha ya kiinglish ndio inatumikaMkuu mbona nikitaka ku register kwenye mt4 wanazingua?? Yaani nikiweka ID yangu nikiweka na email inasema "registration failed"!! Nakosea nini??
Bavaria
Please add me to. 0754542940 nataka kujifunza.Please add me to WhatsApp group 0756415808
Yes. Ziuzwe. Kitu kizuri ni sharti kigharamiwe. Tunaomba CDs pleaseNaunga mkono hoja
Class session atakazokuwa nazo ONTARIO , zirekodiwe kitaalam, ziwe edited, iwe ni package yenye somo lililokamili kwa mtu kuweza kujifunza, na CD hizo ziuzwe (ili kurudisha cost zitazotumika kuzalisha hizi CD) kwa utaratibu utakao uweka ontario na team yake.
Nina hakiki wengi watanufaika na hizi CD mahala popote atakapokuwa.
Mambo ya CDs tushaachana nayo, fungua tovuti weka subscriptions mtu alipie aweze kutazama video.Yes. Ziuzwe. Kitu kizuri ni sharti kigharamiwe. Tunaomba CDs please