Kila broker na platform yake. Ukishafungua account. Kuna sehemu ya platform utachagua unayoipendaNaombeni kujua.. Nimevutiwa na Platform ya FXCM zaidi kuliko Metatrade.. Swali ni Je Kwenye hii pltform ya Fxcm nitampata huyu Broker anaitwa XM?? Ndio ninaye muamini lakin kama kuna Broker mwingine mzuri zaidi aliyeko FXCM naomba mnisadie nimjuie maana ndio niko mwishoni kufungua live account jumatatu ni lipie Bank... Nisije poteza Dollar 2000$ bure wapendwa msaada pls
Hope kuna maelezo kwenye hizo candlestick.Mkuu msaada tutani. Kuna hizi single candle pattern zinaonekana kama zipo same, lakini wamezigroup tofauti.
Doji, Hammers, spinning tops, shooting stars, twizzers.
Any word to them.?
Sawa hata ikiwa watu 10 sasa sie tutaokosa hii fursa anatuwaziaje kuipata?Ni watu 150 sio 300 tena!
Kwanini unasema "sisi tutakao kosa"? Umejuaje kama utakosa?Sawa hata ikiwa watu 10 sasa sie tutaokosa hii fursa anatuwaziaje kuipata?
Upepo wa pesaaaaaa.... ah nielewe bhana hilo sio swala la msingi hata ningesema "sisi tutaopata" nitajuaje kama nitapata kikubwa kujua mtu akikosa hii fursa atapataje darasa tena?Kwanini unasema "sisi tutakao kosa"? Umejuaje kama utakosa?
ONTALIO ni hivi kuna watu 300 watapata fursa ya kujiunga sasa kwa wale 300+ watapaje hili darasa ikiwa darasa limejaa na wana nia ya kujifunza? Angalia kwa upande wa pili Mkuu hata kwa malipo ili tufaidike wote
NI WAZO LANGU LAKINI
Nimekupata Mkuu kama kuna awamu sio mbaya nimekupataNi Ontario boss.
Watu wazembe kama wewe mtakuja kunisumbua darasani na kunichafulia jina. Uzi una post 2600 unashindwa kusoma, utaweza kumaliza page 660 ya Bible of a trader?!
Nilishatoka kwenye 300, nipo kwenye 150.
Kila mwenye nia ya kujifunza na kubadili knowledge into reality ndio watakaopata fursa ya kunijoin. Sitaki kuwa kama syllabus za Kibongo mtu anasoma miaka 17-20 lkn akitoka shule hajui nini kinafata. I want real traders - na real traders mpk sasa atakua anajua ABC kuhusu forex. Hakuna nafasi nitakazotoa kama sanda kalawe.
Pili haya mafunzo hayatakuwa ya batch 1, nitakua sijafanya kitu - sawa na kusema nitakua nimetengeza tu gap kati ya have and have not. Hiki kitu ni continuous, baada ya batch ya kwanza itakuja ya 2, ya 3, ya 4... mpaka tunafika batch 10 hivi by mwisho wa mwaka - lkn hawa itabidi wachangie ela ya AC na umeme.
Na kama alivyopendekeza ndugu yangu Bavaria, wanafunzi wa batch za mwanzo mwanzo nataka tuanze as soon as possible ili hadi kufika Dec tupange trip ya kwenda Capetown au Durban, yani tunabook SA Airways yote, tunaenda vacation kujipongeza (I'm only happy when the whole team is winning). Tukifika hatua hiyo nahisi watu wataelewa nini namaanisha. Kuanzia mwakani sasa kila kichwa kitakua ada kama ya CPA au school of law. Ndipo tutakapoweza kufungua branch Mwanza, Arusha, Mbeya, Dodoma nk.
Ni Ontario boss.
Watu wazembe kama wewe mtakuja kunisumbua darasani na kunichafulia jina. Uzi una post 2600 unashindwa kusoma, utaweza kumaliza page 660 ya Bible of a trader?!
Nilishatoka kwenye 300, nipo kwenye 150.
Kila mwenye nia ya kujifunza na kubadili knowledge into reality ndio watakaopata fursa ya kunijoin. Sitaki kuwa kama syllabus za Kibongo mtu anasoma miaka 17-20 lkn akitoka shule hajui nini kinafata. I want real traders - na real traders mpk sasa atakua anajua ABC kuhusu forex. Hakuna nafasi nitakazotoa kama sanda kalawe - watoto wenye akili za kiInstagram hii kitu haitawahusu, I need serious people who know what life means.
Pili haya mafunzo hayatakuwa ya batch 1, nitakua sijafanya kitu - sawa na kusema nitakua nimetengeza tu gap kati ya have and have not. Hiki kitu ni continuous, baada ya batch ya kwanza itakuja ya 2, ya 3, ya 4... mpaka tunafika batch 10 hivi by mwisho wa mwaka - lkn hawa itabidi wachangie ela ya AC na umeme.
Na kama alivyopendekeza ndugu yangu Bavaria, wanafunzi wa batch za mwanzo mwanzo nataka tuanze as soon as possible ili hadi kufika Dec tupange trip ya kwenda Capetown au Durban, yani tunabook SA Airways yote, tunaenda vacation kujipongeza (I'm only happy when the whole team is winning). Tukifika hatua hiyo nahisi watu wataelewa nini namaanisha. Kuanzia mwakani sasa kila kichwa kitakua kinalipia ada kama ya CPA au school of law. Ndipo tutakapoweza kufungua branch Mwanza, Arusha, Mbeya, Dodoma nk.
Ontario hongera..Ni Ontario boss.

True bruvkwa hiyo wewe kipimo chako cha utajiri ni mpaka uhojiwe na forbes? ......forbes ni fraud tu utashangaa wanamsifia sana MO kupita Bahresa jiulize why
Nani kawaambia Ontario ameanzisha group la whatsup???mkuu ni add kwa watsapp group ~0624022356
[emoji115] [emoji134]Naombeni kujua.. Nimevutiwa na Platform ya FXCM zaidi kuliko Metatrade.. Swali ni Je Kwenye hii pltform ya Fxcm nitampata huyu Broker anaitwa XM?? Ndio ninaye muamini lakin kama kuna Broker mwingine mzuri zaidi aliyeko FXCM naomba mnisadie nimjuie maana ndio niko mwishoni kufungua live account jumatatu ni lipie Bank... Nisije poteza Dollar 2000$ bure wapendwa msaada pls
[emoji38] [emoji38] [emoji38] aseee.. we hayo majibu yako kama mtu mgonjwa anaweza hata akafa[emoji38] [emoji38] [emoji38]Nani kawaambia Ontario ameanzisha group la whatsup???
[emoji134] Samahanini [emoji125][emoji38] [emoji38] [emoji38] aseee.. we hayo majibu yako kama mtu mgonjwa anaweza hata akafa[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Sio mimi[emoji115] [emoji115][emoji134] Samahanini [emoji125]