Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Naombeni kujua.. Nimevutiwa na Platform ya FXCM zaidi kuliko Metatrade.. Swali ni Je Kwenye hii pltform ya Fxcm nitampata huyu Broker anaitwa XM?? Ndio ninaye muamini lakin kama kuna Broker mwingine mzuri zaidi aliyeko FXCM naomba mnisadie nimjuie maana ndio niko mwishoni kufungua live account jumatatu ni lipie Bank... Nisije poteza Dollar 2000$ bure wapendwa msaada pls
Kila broker na platform yake. Ukishafungua account. Kuna sehemu ya platform utachagua unayoipenda
 
Mkuu msaada tutani. Kuna hizi single candle pattern zinaonekana kama zipo same, lakini wamezigroup tofauti.

Doji, Hammers, spinning tops, shooting stars, twizzers.

Any word to them.?
Hope kuna maelezo kwenye hizo candlestick.
Au unataka kujua nini hasa?
 
Kwanini unasema "sisi tutakao kosa"? Umejuaje kama utakosa?
Upepo wa pesaaaaaa.... ah nielewe bhana hilo sio swala la msingi hata ningesema "sisi tutaopata" nitajuaje kama nitapata kikubwa kujua mtu akikosa hii fursa atapataje darasa tena?
 
ONTALIO ni hivi kuna watu 300 watapata fursa ya kujiunga sasa kwa wale 300+ watapaje hili darasa ikiwa darasa limejaa na wana nia ya kujifunza? Angalia kwa upande wa pili Mkuu hata kwa malipo ili tufaidike wote
NI WAZO LANGU LAKINI

Ni Ontario boss.

Watu wazembe kama wewe mtakuja kunisumbua darasani na kunichafulia jina. Uzi una post 2600 unashindwa kusoma, utaweza kumaliza page 660 ya Bible of a trader?!

Nilishatoka kwenye 300, nipo kwenye 150.

Kila mwenye nia ya kujifunza na kubadili knowledge into reality ndio watakaopata fursa ya kunijoin. Sitaki kuwa kama syllabus za Kibongo mtu anasoma miaka 17-20 lkn akitoka shule hajui nini kinafata. I want real traders - na real traders mpk sasa atakua anajua ABC kuhusu forex. Hakuna nafasi nitakazotoa kama sanda kalawe - watoto wenye akili za kiInstagram hii kitu haitawahusu, I need serious people who know what life means.

Pili haya mafunzo hayatakuwa ya batch 1, nitakua sijafanya kitu - sawa na kusema nitakua nimetengeza tu gap kati ya have and have not. Hiki kitu ni continuous, baada ya batch ya kwanza itakuja ya 2, ya 3, ya 4... mpaka tunafika batch 10 hivi by mwisho wa mwaka - lkn hawa itabidi wachangie ela ya AC na umeme.

Na kama alivyopendekeza ndugu yangu Bavaria, wanafunzi wa batch za mwanzo mwanzo nataka tuanze as soon as possible ili hadi kufika Dec tupange trip ya kwenda Capetown au Durban, yani tunabook SA Airways yote, tunaenda vacation kujipongeza (I'm only happy when the whole team is winning). Tukifika hatua hiyo nahisi watu wataelewa nini namaanisha. Kuanzia mwakani sasa kila kichwa kitakua kinalipia ada kama ya CPA au school of law. Ndipo tutakapoweza kufungua branch Mwanza, Arusha, Mbeya, Dodoma nk.
 
Kila mwenye nia ya kujifunza na kubadili knowledge into reality ndio watakaopata fursa ya kunijoin. Sitaki kuwa kama syllabus za Kibongo mtu anasoma miaka 17-20 lkn akitoka shule hajui nini kinafata. I want real traders - na real traders mpk sasa atakua anajua ABC kuhusu forex. Hakuna nafasi nitakazotoa kama sanda kalawe.

Pili haya mafunzo hayatakuwa ya batch 1, nitakua sijafanya kitu - sawa na kusema nitakua nimetengeza tu gap kati ya have and have not. Hiki kitu ni continuous, baada ya batch ya kwanza itakuja ya 2, ya 3, ya 4... mpaka tunafika batch 10 hivi by mwisho wa mwaka - lkn hawa itabidi wachangie ela ya AC na umeme.

Na kama alivyopendekeza ndugu yangu Bavaria, wanafunzi wa batch za mwanzo mwanzo nataka tuanze as soon as possible ili hadi kufika Dec tupange trip ya kwenda Capetown au Durban, yani tunabook SA Airways yote, tunaenda vacation kujipongeza (I'm only happy when the whole team is winning). Tukifika hatua hiyo nahisi watu wataelewa nini namaanisha. Kuanzia mwakani sasa kila kichwa kitakua ada kama ya CPA au school of law. Ndipo tutakapoweza kufungua branch Mwanza, Arusha, Mbeya, Dodoma nk.
Nimekupata Mkuu kama kuna awamu sio mbaya nimekupata
 
It sounds great, congrats big boss
Wacha tuendelee kupambana na vitabu tusubir training
 
Ni Ontario boss.

Watu wazembe kama wewe mtakuja kunisumbua darasani na kunichafulia jina. Uzi una post 2600 unashindwa kusoma, utaweza kumaliza page 660 ya Bible of a trader?!

Nilishatoka kwenye 300, nipo kwenye 150.

Kila mwenye nia ya kujifunza na kubadili knowledge into reality ndio watakaopata fursa ya kunijoin. Sitaki kuwa kama syllabus za Kibongo mtu anasoma miaka 17-20 lkn akitoka shule hajui nini kinafata. I want real traders - na real traders mpk sasa atakua anajua ABC kuhusu forex. Hakuna nafasi nitakazotoa kama sanda kalawe - watoto wenye akili za kiInstagram hii kitu haitawahusu, I need serious people who know what life means.

Pili haya mafunzo hayatakuwa ya batch 1, nitakua sijafanya kitu - sawa na kusema nitakua nimetengeza tu gap kati ya have and have not. Hiki kitu ni continuous, baada ya batch ya kwanza itakuja ya 2, ya 3, ya 4... mpaka tunafika batch 10 hivi by mwisho wa mwaka - lkn hawa itabidi wachangie ela ya AC na umeme.

Na kama alivyopendekeza ndugu yangu Bavaria, wanafunzi wa batch za mwanzo mwanzo nataka tuanze as soon as possible ili hadi kufika Dec tupange trip ya kwenda Capetown au Durban, yani tunabook SA Airways yote, tunaenda vacation kujipongeza (I'm only happy when the whole team is winning). Tukifika hatua hiyo nahisi watu wataelewa nini namaanisha. Kuanzia mwakani sasa kila kichwa kitakua kinalipia ada kama ya CPA au school of law. Ndipo tutakapoweza kufungua branch Mwanza, Arusha, Mbeya, Dodoma nk.

Ni kweli mkuu...pia hata Moshi ufungue manake juzi nimepata uhamisho kikazi naelekea Kilimanjaro kesho..hivyo siyo mbaya Moshi tukawa na branch huko..nitakuwakilisha vizuri sana kule.
 
Ni Ontario boss.

Watu wazembe kama wewe mtakuja kunisumbua darasani na kunichafulia jina. Uzi una post 2600 unashindwa kusoma, utaweza kumaliza page 660 ya Bible of a trader?!

Nilishatoka kwenye 300, nipo kwenye 150.

Kila mwenye nia ya kujifunza na kubadili knowledge into reality ndio watakaopata fursa ya kunijoin. Sitaki kuwa kama syllabus za Kibongo mtu anasoma miaka 17-20 lkn akitoka shule hajui nini kinafata. I want real traders - na real traders mpk sasa atakua anajua ABC kuhusu forex. Hakuna nafasi nitakazotoa kama sanda kalawe - watoto wenye akili za kiInstagram hii kitu haitawahusu, I need serious people who know what life means.

Pili haya mafunzo hayatakuwa ya batch 1, nitakua sijafanya kitu - sawa na kusema nitakua nimetengeza tu gap kati ya have and have not. Hiki kitu ni continuous, baada ya batch ya kwanza itakuja ya 2, ya 3, ya 4... mpaka tunafika batch 10 hivi by mwisho wa mwaka - lkn hawa itabidi wachangie ela ya AC na umeme.

Na kama alivyopendekeza ndugu yangu Bavaria, wanafunzi wa batch za mwanzo mwanzo nataka tuanze as soon as possible ili hadi kufika Dec tupange trip ya kwenda Capetown au Durban, yani tunabook SA Airways yote, tunaenda vacation kujipongeza (I'm only happy when the whole team is winning). Tukifika hatua hiyo nahisi watu wataelewa nini namaanisha. Kuanzia mwakani sasa kila kichwa kitakua kinalipia ada kama ya CPA au school of law. Ndipo tutakapoweza kufungua branch Mwanza, Arusha, Mbeya, Dodoma nk.
Ontario hongera..
Ngoja ne me nichangie baada ya kukaa kimya kea mda huku nikifatilia kitab ulichirecomend.. nimekomaa nacho kwelikweli na bado naendelea inshort count me inn maelekezo yako yalieleweka though naona majoruty haoa wamengangana na mamneno kibao badala ya kuanza.na assignments kwanza.

Keep it up bro.. me ngoja nijifue ili hata kama kitakua na short interview ya kupima uelewa niifaulu kwanza.

Shukrani.
 
Naombeni kujua.. Nimevutiwa na Platform ya FXCM zaidi kuliko Metatrade.. Swali ni Je Kwenye hii pltform ya Fxcm nitampata huyu Broker anaitwa XM?? Ndio ninaye muamini lakin kama kuna Broker mwingine mzuri zaidi aliyeko FXCM naomba mnisadie nimjuie maana ndio niko mwishoni kufungua live account jumatatu ni lipie Bank... Nisije poteza Dollar 2000$ bure wapendwa msaada pls
[emoji115] [emoji134]
 
Asante sana mkuu Ontario,nimefatilia uzi wako tokea day 1 na nimeisha a za kuzijua ABC za Forex,Mie naishi Zanzibar,na nikwambie ukweli kuwa Watu waliopo huku zenji na waofatilia jamiiforum hasa Uzi huu (nawafahamu wachache) tunatamani sana uje zenji japo kwa darasa la siku 1 tu,Tupo tayari kuchangia gharama bro,naomba kuwasilisha ombi letu
 
Ontario's last post inakupa hamasa fulani hivi ya kuendelea kukazana.
Binafsi am doing hard to reschedule my schedules, kusoma vitabu ili ni fit-in kwenye hii coming forex training.
I hope I'll be there.
Big up mkuu ONTARIO
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom