Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
MTAFITI MUELEWA KWANZA HULITENDEI HAKI JINA LAKO,MTAFITI GANI UNAKUWA MVIVU WA KUSOMA ,MASWALI ULIYOULIZA MAJIBU YAPO NDANI YA UZI NA COMMENTS ZA WADAU ,NAKUSHAURI USIKURUPUKE SOMA,HUU UZI NI TOFAUTI NA NYUZI ZINGINE,SOMA SOMA SOMA BILA KUJA NANI KATUPIA COMMENTS
 
Inabidi baadae ufanyike usaili ili wajulikane waliokuwa serious na wasiokuwa serious...
Hayo ni mawazo yangu tu, na cha kuongezea nadhani branch zingine zikianza kufunguliwa basi walimu na wasimamizi watatoka kwenye hao hao wanafunzi wa mwanzo..
Count me in Boss.
 
Watu wa Zenji tupo pamoja sana...

Unajua Zenji ni kama my 3rd home, nikihitaji ku_relax na kumeditate hua nakuja Zenji sehemu 1 inaitwa Prison Island, nililipa kama 40,000 kutoka stone town kwa private boat kama dakika 25 hivi. Huko ni patamu sana sana kurelax, ni kama miami fulani hivi.

Kama Zenji mkijikusanya mkafika at least 50 naweza kupanga na mentors wangu tuje weekend 1 kupiga story nanyi hapo Prison island. Siku 2 haziwezi kutosha kwa training hasa ukizingatia ni weekend, coz hua market imefungwa. Mkiweza kujimobilize zaidi tunaweza kuja kupiga kambi ya wiki 1 huko.

Baadae kdg labda in Aug tutaanza kuzunguka kwenye mikoa ya Mbali mbali km mwamko utakua mzr. Mfn Bukoba, tunaeza kuongea na uongozi wa shule km Rugambwa au Ihungo tufanye evening classes na watu wa B.K, lkn itategemea nitakua ninaweza kuwalipa mentors wangapi... Najua ndani ya Hii project naweza kupata wanafunzi makini na wenye motisha ya kusaidia watu, tuwe tunazunguka kuwafikia wanaume wa mikoani.
 
Mkuu God bless u sana.. Napata nguvu sana nnapoona una moyo na vijana wa kitanzania tusonge mbele!! You're so visionary and so am i.. Ulivosema mambo ya kukodi ndege ts like nlijiona niko ndani teyar yan tunaelekea SA hahaa.. Kwa hii nguvu nliopata wacha nkaendelee na Dolan mzee wa Dummies huku nkisubiri good news from you brother!!
 
Ni kweli kabisa Prison Island ni sehemu nzuri sana kurelax,Mie ni tour guide hapa Zanzibar kwa hiyo huwa nawatembeza watalii kwenda sehemu mbali mbali za kisiwa hiki kuona vivutio vilivyopo,na prison island ni sehemu nzuri sana,nitajitahidi sana kulifanyia kazi suala la kumobilize watu ili tuweze kunufaika, Asante sana kwa moyo uliouonyesha hadi sasa wa kutaka kuwasaidia na kuwaelimisha watu juu ya Forex,Kama ukitaka kuja zenji ktk shughuli zako za kikazi au kibinafsi unaweza kuwasiliana na mimi,I will a great help to you ktk mambo madogo madogo hapa kisiwani,you can count on me hapa zenji,Ngoja nianze kazi ya kumobilize watu,Ubarikiwe katika jina la Bwana
 
Mr.[HASHTAG]#ONTARIO[/HASHTAG], I salute you and i wish you well.
Hakika unajua ninin unafanya na ni ninaimani mwaka huu ukiisha utakua hatua kubwa sana nipo begakwabega na huu uzi japo nimekuwa sichangii sana hii ni kwa sababu nipo komaa na vitabu ili nipate nondo za kutosha ili nikihizuria darasa niwe tayari ina concept za kutosha juu ya hii mambo.
 

Hii sasa inaanza kutupa matumaini ata sisi wanaume wa mikoani kama tukikosa hiyo nafasi ya bure ya 150 basi tunaweza hata kufaidika na hiyo ziara ya kulipia ya mikoani.
 
Hii sasa inaanza kutupa matumaini ata sisi wanaume wa mikoani kama tukikosa hiyo nafasi ya bure ya 150 basi tunaweza hata kufaidika na hiyo ziara ya kulipia ya mikoani.
Mm nadhani wanaume wa mikoani km mtu unawz kujipanga ukahudhuria sio mby,nadhani flexibility tu hapa,tukomae wanaume wa mikoani tusipitwe na hili.
 
Naanza somo kesho
Nalipia course ili nielewe
Ontario akianza ikitokea nitakuwa nimeelewa.
Nitamtumia yeye kama mentor
 
Jamini mimi sitaki kuelewa ONTARIO anataka watu wangapi wakuanzia nachoangalia hapa ni lini darasa linaanza nakujipanga kutoka huku nilipo haraka na mapema nitakua kituoni kusubiri usahili wa watakao takiwa kuanza .. Siamini kama Ontario atakua na roho mbaya kiasi hicho cha kunizuia kuingia darasani,, tena nikiwa nimetokea mkoani.. Naeendelea kufaatitia naamini cjachelewa.
 
Jaman Nani alishawahi kutumia binary option ie IQ OPTION maana mm nmeliwa dola Kama 80 hadi Sasa.


HV hzi binary nazo ni nzuri kujifunzia@ONTARIO and others who are legends
 

Neno la faraja sana kwangu wakati nikivuta pumzi ili kuivaa subtopic ya momentum oscillators ambayo kwa mujibu wa wengi wanasema ndo moyo na engine ya forex. Pamoja sana
 
Hope kuna maelezo kwenye hizo candlestick.
Au unataka kujua nini hasa?

Nilikuwa nahitaji kujua kama kuna specialitu yoyote inayowatofautisha hao jamaa katika application zao. Maana nikiangalia tabia zao, naona kama zinafanana na zinakaribiana.

halafu in addition, Nimeanza hapa kusoma momentum oscillator, Wanasema inakuwa displayed in a small window at the bottom of charting systems. Sasa nikicheki MT4 system yangu naona bilabila hapa.
 
Neno la faraja sana kwangu wakati nikivuta pumzi ili kuivaa subtopic ya momentum oscillators ambayo kwa mujibu wa wengi wanasema ndo moyo na engine ya forex. Pamoja sana
Unasoma kitabu gani ndugu?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…