Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Boss you are still in the game. Nani kasema umetupwa?! Nani kasema umri unajali?! Wapi kuna hiyo sheria. Wewe kuweza kununua smartphone, kua na account JF na kusoma hii thread automatically unakua kijana dakika 0.

Unamfahamu mzee mwenzako anaitwa Warren Buffet?? Ni mdingi haswaa ana miaka ya kutosha yawezekana kakuzidi mbali, lkn yy ni 1 ya traders nguli na successful zaidi duniani. Miaka yote yeye ni tajiri namba 3 dunia nzima. Pia kuna mzee mwenzako huyu ndie kichaaa katika hii game anaitwa George Soros, huyu ni mbwaaa. Ipo siku nitaweka thread jukwaa la Intelligence kumhusu huyu kiumbe aliyewahi kutikisa uchumi wa nchi za Uingereza ndani ya siku 1 akagonga $ 1 bil ndani ya masaa machache mwaka 1990 mpk viongozi wakamuomba awe mpole. Hebu pata picha thamani ya $ mwaka huo.

Boss! Bado damu inachemka.
 
Naomba darasa litakapo anza, nij umuishwe niwe kati ya hao 300.
 
Hivi mkuu kwa ambao wapo nje ya Tz utawashirikisha kwenye hiyo offer ya wanajf maana nimeona target yako ni TZ.??
 

Thanks
 
Heri ukose mali kuliko akili, ubarikiwe kwa kumshauri vyema
 
mkuu Ontario na mimi nifunze..nifanye mwanafunzi wako..natamani kuchapa dili za mkwanja mrefu kama huo..mtaji tayari ninao...
 
Mkuu kwanini usitoe hayo material tu? Kwani ni lazima ufundishe mwenyewe, sisi wengine tushazoea kukomaa wenyewe si sekondari si chuo....
Bado siamini eti hizo ni nondo ngumu sana kuzielewa, labda kama una agenda nyingine tofauti na hii!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…