Pamoja mkuu ngoja tuendelee kujifunza.. Usisichoke viswali vyetu..!Aisee kwa hili nikwambje tuu hakuna muda maalumu wa kusubria. Bei inaweza panda ama kushuka muda wowote ule toka ufanye biashara.
So kujua ni muda gani utakaa long ama short inategemea na strategy yako kama wewe ni short term ama long term trader
Itabidi nikawatafute maana FNB hapa nilipo hawana branch!!
Pamoja mkuu ngoja tuendelee kujifunza.. Usisichoke viswali vyetu..!
Aisee kwa hili nikwambje tuu hakuna muda maalumu wa kusubria. Bei inaweza panda ama kushuka muda wowote ule toka ufanye biashara.
So kujua ni muda gani utakaa long ama short inategemea na strategy yako kama wewe ni short term ama long term trader
Mkuu naona umekwiva sasa, niko chimbo pia, napitia pitia nyanga hapa, nitakutafuta kwa maswali pia mkuu ili tujadili kwa pamoja.
Hehehehee, bado tunachechemea hapa. Ila tutafika tuu.
I have seen the same same approach, never stake what you can't afford to lose.
Ila huku si kama kule. Kule ni dhahama aisee.
Sure sure, nilipita kwenye nondo za huku nikakutana nayo hiyo nikakumbuka hiyo term.
Mkuu kwa anaehitaji kuanza hiyo biashara anaanzaje mkuu.
Hao backlays sitaki hata kuwasikia. Nitajaribu Standard chatered! Thanks!Standard Chartered?
Barclays?
Read books mkuu upate maarifa zaidi. Kila kitu kimeandikwa kuhusu Resistance and Support, Retrechments and Revisals.Jamani nipo na demo account nahitaji msaada was kuset Stop loss na Top profit kwenye MT4 halafu naomba kujua namna ya kuzitumia supports na resistance line kwenye kupredict future outcomes. Thanks sana kwa elimu hii hope tutaplay vinzuri na kufundisha vizazi vijavyo.
Upo wapi mkuu?Hao backlays sitaki hata kuwasikia. Nitajaribu Standard chatered! Thanks!