Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Aisee kwa hili nikwambje tuu hakuna muda maalumu wa kusubria. Bei inaweza panda ama kushuka muda wowote ule toka ufanye biashara.
So kujua ni muda gani utakaa long ama short inategemea na strategy yako kama wewe ni short term ama long term trader
Pamoja mkuu ngoja tuendelee kujifunza.. Usisichoke viswali vyetu..!
 
Kwa Wale waliohitaji kile kitabu pakueni hicho hapo nimekiweka japo sina uhakika kama ndio chenyewe alichomaanisha ONTARIO

Tuendeleze mapambano na Forex.

Rgds,

Huntsman
 
Attachments

I have got something in my life, asante sana mkuu, nimekuelewa kwa kias, je hivyo vitabu kwenye bookshop za bongo je vinaweza kupatikana. Once i get a knowledge i will know how and where to start.
 
Jamani nipo na demo account nahitaji msaada was kuset Stop loss na Top profit kwenye MT4 halafu naomba kujua namna ya kuzitumia supports na resistance line kwenye kupredict future outcomes. Thanks sana kwa elimu hii hope tutaplay vinzuri na kufundisha vizazi vijavyo.
 
Mkuu ONTARIO tunasubiri kwa shauku juu ya issue ya kitabu chenye maujanja ya kupiga wanasema mpunga (a million dollar book) "mastering technical analysis for smarter traders" ili tukitua tu mjengoni uwe kama unasukuma mlevi.

Then December as proposed ndani ya SA Airways to Capetown.

Kwa kidogo nilichojifunza naendelea kuscalp yaani nadonoa donoa taratibu kama mchwa but the overall profit is convincing

Hii ni tangu asubuhi mpaka SAA 7 mchana huu
Screenshot_20170614-131600.png
 
Itabidi nikawatafute maana FNB hapa nilipo hawana branch!!

Poa poa, Vipi makamuzi yanaendeleaje.? Maana toka weekend sijagusa kitabu kabisa, kuna kazi za muhimu zimeibuka hapa basi ikawa tafrani
Pamoja mkuu ngoja tuendelee kujifunza.. Usisichoke viswali vyetu..!

Hakuna noma, Mimi mwenyewe ni mwanafunzi kama wewe. Yakitushinda tutayaelekeza kwa pro.
 
Aisee kwa hili nikwambje tuu hakuna muda maalumu wa kusubria. Bei inaweza panda ama kushuka muda wowote ule toka ufanye biashara.
So kujua ni muda gani utakaa long ama short inategemea na strategy yako kama wewe ni short term ama long term trader

Mkuu naona umekwiva sasa, niko chimbo pia, napitia pitia nyanga hapa, nitakutafuta kwa maswali pia mkuu ili tujadili kwa pamoja.
 
Jamani nipo na demo account nahitaji msaada was kuset Stop loss na Top profit kwenye MT4 halafu naomba kujua namna ya kuzitumia supports na resistance line kwenye kupredict future outcomes. Thanks sana kwa elimu hii hope tutaplay vinzuri na kufundisha vizazi vijavyo.
Read books mkuu upate maarifa zaidi. Kila kitu kimeandikwa kuhusu Resistance and Support, Retrechments and Revisals.
Kama huelewi kitu si ukimbilie youtube?
Nashangaa mtu anavyosema hawezi kufanya kitu fulani wakati youtube ni hazina ya kutosha kujifunza.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom