spea mkononi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2015
- 345
- 324
wabongo bana kujitia tunajua ndo kunakotufelisha, hapo ungepaswa kuuliza nmeshafeli anamaanisha nn ila kwa kujifanya unajua hamna utakachokipata. anyways tunatofautiana sana kifikraDuuu Jinmtu! Namaanisha hao watu 300 wa mwanzoni,umejuaje nimeshafeli? Anyway jina tu lenyewe ni jini,tangu lini jini likataka mafanikio ya mtu!
Usituchagulie cha kufanya...Hii biashara ni ngumu Kuliko wengi mnavyofikiri. Inahitaji elimu ya movement za fedha. Wala Sio siri na kwamba mabenki hayataki watu wajue, ni uongo. Usifanye kama vile utapata utajiri kesho, hasara mfululizo ni jambo la kawaida kwenye forex. Ila kwa wanaoendelea kujifunza hatimaye huweza kupata faida. Uwe tayari kupoteza pesa kabla ya kupiga pesa kama utabahatika. Biashara hii imekaribiana Sana na kamari
mashabiki wa Liver bana kwahio ulishindwa kabisa kupitia baadhi ya post huko nyuma.....😕😕Mkuu kwa anaehitaji kuanza hiyo biashara anaanzaje mkuu.
[emoji3] [emoji2]mashabiki wa Liver bana kwahio ulishindwa kabisa kupitia baadhi ya post huko nyuma.....😕😕
Umefungwa ufahamu wewe, huu ni mtazamo tu, wala si kukuchagulia cha kufanya. Biashara njemaUsituchagulie cha kufanya...
Asantee endelea kupitia uziii utapata mwangaaa mzuriiii kuliko kudandia tren kwa mbeleee ukipitia post zote utajifunzaa kituuuuUmefungwa ufahamu wewe, huu ni mtazamo tu, wala si kukuchagulia cha kufanya. Biashara njema
wahenga walisemaUmefungwa ufahamu wewe, huu ni mtazamo tu, wala si kukuchagulia cha kufanya. Biashara njema
Kwenye maisha jambo lipi hali involve risking? We ndo akili yako ipo kwa box.. kutoka tu point A to B ni hatar unaweza hata kubutuliwa ukafia mbali, kwenye bzness hasara zipo me nilishafunga maduka mara kadhaa lakini sikukata tamaa sana sana nilijifunza nilipokosea nikasimama tena na bado naendelea, hata kuzaa nowdays ni shida haina gurantee watoto watakuae, kuoa/kuolewa nako yale yale etc etc... we vip? Unaishi dunia ipi mpaka uko na comfort zone kiivo? Utakua unaishi bush huko na probably unafundisha shule ya msingi huko unona umeshamaloza unasubiri @60 upate milion 70 kiinua mgongo [emoji16][emoji16]Umefungwa ufahamu wewe, huu ni mtazamo tu, wala si kukuchagulia cha kufanya. Biashara njema
Nimefanya hii kitu sana kuliko unavyodhani mkurupukaji wewe. Warning ni kitu chema tu isipokuwa kwa mjinga. Forex haijaanza janaAsantee endelea kupitia uziii utapata mwangaaa mzuriiii kuliko kudandia tren kwa mbeleee ukipitia post zote utajifunzaa kituuuu
This is jf. Tuna share mtazamo, you peak what you want. Otherwise acha ujuhawahenga walisema
pilipili usiyoila..........
The one thing you don't understand ni kuwa, sijakukataza kufanya, ila nakuonesha na upande wa pili. Uwepo wa risk ni jambo moja na kuingia ukiwa umeshajua risk involved ni jambo jingine. Acha kujitoa ufahamu, comment yangu ni fare kabisa na haina haja kuendeleza mjadala hivi mkapotosha mada husika. Usipende kusikia mazuri tu, lazima isikie na negatives ili ujipange. Stop fooling yourself, hakuna jipya chini ya juaKwenye maisha jambo lipi hali involve risking? We ndo akili yako ipo kwa box.. kutoka tu point A to B ni hatar unaweza hata kubutuliwa ukafia mbali, kwenye bzness hasara zipo me nilishafunga maduka mara kadhaa lakini sikukata tamaa sana sana nilijifunza nilipokosea nikasimama tena na bado naendelea, hata kuzaa nowdays ni shida haina gurantee watoto watakuae, kuoa/kuolewa nako yale yale etc etc... we vip? Unaishi dunia ipi mpaka uko na comfort zone kiivo? Utakua unaishi bush huko na probably unafundisha shule ya msingi huko unona umeshamaloza unasubiri @60 upate milion 70 kiinua mgongo [emoji16][emoji16]
Si bure unahitaji maombezi mazito!!
Ushauri:
Maisha si lelemama amka na amsha akili tafta fursa mpya kila siku, jifunze kwa wenzako, jenga mtandao na watu mbali mbali upate mambo mapya i.e kama ontario alivotupatia elimu ya forex etc etc..
Hata alieandika uzi huu hakusema ni kitu rahisi.. we unadhan kusoma word to word vitabu vyote vile ni simple? Hakuna anaekurupuka, ametoa miongozo wacha watu waifate wajifunzeNimefanya hii kitu sana kuliko unavyodhani mkurupukaji wewe. Warning ni kitu chema tu isipokuwa kwa mjinga. Forex haijaanza jana
Usizuie mchango, heshimu mawazo ya wengine. Ni hilo tuHata alieandika uzi huu hakusema ni kitu rahisi.. we unadhan kusoma word to word vitabu vyote vile ni simple? Hakuna anaekurupuka, ametoa miongozo wacha watu waifate wajifunze
Nimekusoma Nyenyere.. Tuendelee na shule ya Forex.Usizuie mchango, heshimu mawazo ya wengine. Ni hilo tu