Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.

Inaonekana hakuna tena cha copy boss, softcopy ya kitabu kimeshawekwa humu. Tunasubiri tuu ontario akithibitishe kama content zake ni sawa na za hicho kitabu.
 
Kimekubali kufunguka mkuu Mungu akubariki naenda kutoa hard copy Sasa namaliza dummies chap naingia hiki
 
hahaa...pia mimi kule mwanzomwanzo wa uzi huu nlikuwa najihisi niko tayari kuingia market live..mkuu Ontario alinizima kwa kaswali kasimple sana..mkuu Bavaria alinisaidia sana maana hata lot size sikuwa nafahamu ni kitu gani..
Daah Mkuu viswali vimenishinda vyote Haina budi kuanza kitabu upya
 
MIMI NAOMBA VITABU VYOTE 3 ULIVYOPENDEKEZA UKAVIWEKE STATIONERY ILI TUNAOTAKA KUWA NA HARDCOPY TUVIPATE HAPO ,MIMI NIKO TAYARI KUVILIPIA VYOTE
 
Mkuu Mbona watu wenye roho nzuri tumeanza kuongezeka hapa Tz?Mungu akubaliki sana ngoja nianze kushusha nondo trna
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…