Singo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,204
- 1,143
mimi nimekipata ,shukraniMkuu kuwa patient kina 14MB hakiwezi kufunguka kama hakijawa downloaded completely.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi nimekipata ,shukraniMkuu kuwa patient kina 14MB hakiwezi kufunguka kama hakijawa downloaded completely.
Thanks MwalimuTayari kimewekwa hap juu.
Kazi nzuri kaka.Naona kinahitaji permission password ili niweze kubadilisha from password security to No security, ambayo mm sina.
Kwakuwa wengine wameweza pata jaribu tena uone kama itawezekana.
Usiwe na mashaka kitabu ndo chenyewe. Soma post ya ONTARIO ya Jana aliweka cover page, jina LA kitabu na table of content. Kula kitu kiko vilevile mpaka na Introduction ya page 1 ndani ya kitabu.mkuu ontario embu tuambie kitabu chenyew ndio hichiii tuanze kukaza msuli au vp baba
Mkuu hiki kitabu ungekiweka Stationery yoyote tu hata huko huko Bagamoyo nitakifata na kukipiga copy. Au kiweke stationery yoyote ya karibu na ulipo mimi najitolea kukifata na kukipiga copy then atakayetaka copy atakuja maeneo ya jirani na CBE anatoa copy anakamua mzigo.
Nimeshakiona Boss, thanksInaonekana hakuna tena cha copy boss, softcopy ya kitabu kimeshawekwa humu. Tunasubiri tuu ontario akithibitishe kama content zake ni sawa na za hicho kitabu.
weliiiiiiiInaonekana hakuna tena cha copy boss, softcopy ya kitabu kimeshawekwa humu. Tunasubiri tuu ontario akithibitishe kama content zake ni sawa na za hicho kitabu.
duh mbona kwa cm angu akionyeshi picha za graphsNaona kinahitaji permission password ili niweze kubadilisha from password security to No security, ambayo mm sina.
Kwakuwa wengine wameweza pata jaribu tena uone kama itawezekana.
Daah Mkuu viswali vimenishinda vyote Haina budi kuanza kitabu upyahahaa...pia mimi kule mwanzomwanzo wa uzi huu nlikuwa najihisi niko tayari kuingia market live..mkuu Ontario alinizima kwa kaswali kasimple sana..mkuu Bavaria alinisaidia sana maana hata lot size sikuwa nafahamu ni kitu gani..
Mkuu Mbona watu wenye roho nzuri tumeanza kuongezeka hapa Tz?Mungu akubaliki sana ngoja nianze kushusha nondo trnaA MILLION DOLLAR BOOK BY astroFX RECOMMENDED BY Pro Fx trader ONTARIO.
Wadau niwapendao sana ninafuraha sana kitabu nimekisakanyua mtandaoni mpaka nimekipata bureeee kabisa tena soft copy.
Tangu saa moja hv sikuwa online nimerudi home saa sita hv usiku ikabidi nipitie uzi pendwa FOREX nikasoma tangu nilipoishia awali na kukuta kaka ONTARIO ameachia jina, cover page na table of content ikabidi nisakanye internet. hv saa 7 usiku huu ndo kitu kinatick hichoo. Nimeona nisifaidi peke yangu niwapandishie hapa jukwaani ili sote tufaidike.
Yaani natamani nisilale nilianzishe na kitabu hiki pendwa sana lakini akili imechoka nitaanza nikiamka mdogo mdogo nikiwa job.
Kitabu hiki kinafunguka kwa password
Password: forexwinners.net
WE ARE PROUD OF YOU ONTARIO.
Du. Hebu tupia bas ilinasi tufanye practiseMmmh hii ni Binary Option, kitu tofauti, haihusiani na hii thread.
Hiyo ni Binary fision a.k.a kamali hiyo ni tofauti kabisa na ForexMkuu naomba unielezee hapa nini ni nini bro antario![]()
Hahahaa, MwanambuguluMkuu Mbona watu wenye roho nzuri tumeanza kuongezeka hapa Tz?Mungu akubaliki sana ngoja nianze kushusha nondo trna