Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu hiki kitabu ungekiweka Stationery yoyote tu hata huko huko Bagamoyo nitakifata na kukipiga copy. Au kiweke stationery yoyote ya karibu na ulipo mimi najitolea kukifata na kukipiga copy then atakayetaka copy atakuja maeneo ya jirani na CBE anatoa copy anakamua mzigo.

Inaonekana hakuna tena cha copy boss, softcopy ya kitabu kimeshawekwa humu. Tunasubiri tuu ontario akithibitishe kama content zake ni sawa na za hicho kitabu.
 
Kimekubali kufunguka mkuu Mungu akubariki naenda kutoa hard copy Sasa namaliza dummies chap naingia hiki
 
hahaa...pia mimi kule mwanzomwanzo wa uzi huu nlikuwa najihisi niko tayari kuingia market live..mkuu Ontario alinizima kwa kaswali kasimple sana..mkuu Bavaria alinisaidia sana maana hata lot size sikuwa nafahamu ni kitu gani..
Daah Mkuu viswali vimenishinda vyote Haina budi kuanza kitabu upya
 
MIMI NAOMBA VITABU VYOTE 3 ULIVYOPENDEKEZA UKAVIWEKE STATIONERY ILI TUNAOTAKA KUWA NA HARDCOPY TUVIPATE HAPO ,MIMI NIKO TAYARI KUVILIPIA VYOTE
 
A MILLION DOLLAR BOOK BY astroFX RECOMMENDED BY Pro Fx trader ONTARIO.

Wadau niwapendao sana ninafuraha sana kitabu nimekisakanyua mtandaoni mpaka nimekipata bureeee kabisa tena soft copy.

Tangu saa moja hv sikuwa online nimerudi home saa sita hv usiku ikabidi nipitie uzi pendwa FOREX nikasoma tangu nilipoishia awali na kukuta kaka ONTARIO ameachia jina, cover page na table of content ikabidi nisakanye internet. hv saa 7 usiku huu ndo kitu kinatick hichoo. Nimeona nisifaidi peke yangu niwapandishie hapa jukwaani ili sote tufaidike.

Yaani natamani nisilale nilianzishe na kitabu hiki pendwa sana lakini akili imechoka nitaanza nikiamka mdogo mdogo nikiwa job.

Kitabu hiki kinafunguka kwa password

Password: forexwinners.net


WE ARE PROUD OF YOU ONTARIO.
Mkuu Mbona watu wenye roho nzuri tumeanza kuongezeka hapa Tz?Mungu akubaliki sana ngoja nianze kushusha nondo trna
 
Daaah mzigo huo
 

Attachments

  • Screenshot_2017-06-16-09-28-27.png
    Screenshot_2017-06-16-09-28-27.png
    165.6 KB · Views: 64
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom