Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Shukrani mkuu. Usinichoke. Kitabu change hakuna image. Nikiomba tena na imani utanisaidia
Download app nyngne ya kusoma vitabu kutoka google playstore km unatumia adroid. Izo image zitaonekana. Surely aina ya app unayotumia ndio kisababshi
 
ontario,
Mimi sijawahi fanya trading ya hii mambo. Nafikiria namna ya kujiunga, katika pekua pekua ya mtandao nimekutana na mataarifa kibao sasa sijui yupi ndo broker user friendly nianze kujifunza!.
Kuna brokers wanajiita XTRADE naweza pata recommendation yako, naona wananiandikia emails mfululizo.
 
Ushauri!

Huwezi jenga nyumba kama hujasomea uhandisi!

Kaa jifunze basics...vitabu viko humu download anza kusoma! Ukianza kuwaza broker saivi ni sawa na kuchungulia kaburi ungali kijana!

Ila kama una basics you are good to go!

Karibu!
 
Hongera sana mkuu kwa kuwa na moyo huo wa kusaidia wengine, Amini Amini, kwa njia hiyo utafanikiwa zaidi. Maana siri kuu ya mafanikio ya kweli ipo katika kutoa.
Achana na hao wenye roho za kwanini, hawapendi kuona wengine wakifanikiwa, wanajisikia fahari kuishi maisha ya anasa huku jirani zao wakikosa hata mlo wa siku.
UBARIKIWE ZAIDI NA ZAIDI
 
Ninachoweza kusema ni hongera kwa jitihada zako mkuu Ontario
 
Kaka tupo pamoja nasi tuko nyuma tunakuja pole pole..
 
Aiseee!!! Hata mi nitaweza kumbe
 
Kwa vielelezo alivyoonyesha Leo Ontario ,hao wapinzani wetu wa hii project TANZANIA FOREX CLUB ,wanatakiwa wajipange upya,inaonyesha hivyo ni vitu vichache tu alivyotuonyesha,nimehamasika sana Leo nimelala SAA 7:30 ucku,nawatakia ucku mwema
 
Asante mkuu...nitafanyia kazi!!
 
Mkuu bado napata tatizo...naona amount ya chini wameset 3000 usd na nashindwa kuedit...
Wewe umefanyeje kuweka 50usd? Vipi leverage unatumia ratio ipi?
 
Mkuu bado napata tatizo...naona amount ya chini wameset 3000 usd na nashindwa kuedit...
Wewe umefanyeje kuweka 50usd? Vipi leverage unatumia ratio ipi?

Unguza account mpaka ifike kiwango unachotaka. Nenda against trande ya market ili upoteze hela zipungue
 
sina mengi..nakuhimiza tu uzidi kujikaza baba
Huyu threader ni mtu wangu wa karibu sana na hili ndio jukwaa langu for years and I have been transformed here from the first place more than 6 years ago thanks to the JF now am in the process of what I got here and I live in the progress. So welcome
 
Mkuu ninapokusoma nasikia mwili kusisimka, ninapo yaona maneno yako yenye hekima na busara kiasi hiki.. Kamanda unamoyo wakipekee sana. Acha niwe na akiba ya maneno zaidi nikuuombe kwa mungu kile unachowawazia binadamu wenzako kifanikiwe..
 
Tokeaa nimepata jina la Mkuu Ontario basi nimezama google angalau kujua zaidi ebwana your genious man, I think your among the best and you are far away on inspiration huwezi kua mtu wa kawaida tu unafanya mambo makubwa like that
Keep on man na tunaomba usife moto kwa kila jambo hujui tu umetuhamasisha wa ngapi paka saizi Mimi kila nikiona andiko lako moto unasisimka
Nimekuidi almost 2 years lakini na kielemi ya darasani nadhani tuko sawa but kimaendeleo na uwezo wa kufikiria your too far yani hadi najiuliza Haya mambo mbona Mimi sikuyajua na wakati finance ndio nimesoma zaidi kumbe ni kuchukulia mambo katika jicho la 3 na fursa kama hizi lazima kuwe na muanzilishi

All in all endelea kutujuza nini kinaendelea and am waiting for the class huku Niki endelea kula nondo Mkuu paka tufike wote
Big up sana Mkuu ontario
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…