mike2k
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 1,571
- 3,448
Kwa muktadha uliomkuta Mkuu Onta nina machache yakutoa ushauri hasa kwa roho zetu watanzania.
1. Mkuu Onta kwanza pole, lakini hongera kwa busara ulizokuwa nazo kwa mtu kama mm huyo jamaa ninge open taarifa zake kila mtu amuone kisha angeambulia matusi ya haja sana na kama ni mtu nafahamiana nae basi urafiki ni off on da spot. Umetufunza uvumilivu ila hapa natamani kununua kesi.
2. Kuna hatari naiona mbeleni hapo ila sina uhakika na magnitude yake. Baada yakuweka baadhi ya taarifa zako wazi, uwe makini kidogo mkuu sisi watanzania shetani alishahama nchi hii siku nyingi, aliona akiendelea kukaa tutamla kichwa. Hii wanayotaka kuileta watu wapumbavu ni vita.
Kuna wanaoona unajidai sana, unajisifu sana ingawaje si tabia zako, hawa hawashindwi kukugonga hata kwa gari ukipona basi utakuwa kilema wa maisha na kusitisha ndoto zako, ongeza umakini sana mkuu katika mienendo yako. Watanzania si watu wa sayari hii kwa roho mbaya.
3. Ofisi yako hakikisha unaifunga security camera kila kona, kila sehemu. Gari yako ifunge security camera. Kuna watu si wema hii itapunguza risk na itarahisisha vita hii.
Anayekumwilika mchana usiku mchome
Hiyo no 2 watz tuna maneno duh