Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kwa muktadha uliomkuta Mkuu Onta nina machache yakutoa ushauri hasa kwa roho zetu watanzania.
1. Mkuu Onta kwanza pole, lakini hongera kwa busara ulizokuwa nazo kwa mtu kama mm huyo jamaa ninge open taarifa zake kila mtu amuone kisha angeambulia matusi ya haja sana na kama ni mtu nafahamiana nae basi urafiki ni off on da spot. Umetufunza uvumilivu ila hapa natamani kununua kesi.

2. Kuna hatari naiona mbeleni hapo ila sina uhakika na magnitude yake. Baada yakuweka baadhi ya taarifa zako wazi, uwe makini kidogo mkuu sisi watanzania shetani alishahama nchi hii siku nyingi, aliona akiendelea kukaa tutamla kichwa. Hii wanayotaka kuileta watu wapumbavu ni vita.
Kuna wanaoona unajidai sana, unajisifu sana ingawaje si tabia zako, hawa hawashindwi kukugonga hata kwa gari ukipona basi utakuwa kilema wa maisha na kusitisha ndoto zako, ongeza umakini sana mkuu katika mienendo yako. Watanzania si watu wa sayari hii kwa roho mbaya.

3. Ofisi yako hakikisha unaifunga security camera kila kona, kila sehemu. Gari yako ifunge security camera. Kuna watu si wema hii itapunguza risk na itarahisisha vita hii.

Anayekumwilika mchana usiku mchome

Hiyo no 2 watz tuna maneno duh
 
Trade like a Pro

Najaribu pia kuangalia pair ya GBPJPY hapa nitatupia sakafu na paa, wenyewe wanaita floor and ceiling ama support and resistance.
3c4997e41214250ceb283a8e46739868.jpg


Nikichora hizo zones zangu, automatically zinanirudisha hadi Feb 2013 wakati price ilikua ktk hiyo zones. Price kwanza ikagusa paa, baadae ikaanza kushuka chini hadi ikagonga sakafu kisha ikapanda kwa mwendo wa kumsukuma mlevi.

Oct 2016 pia price ikarudi kwenye hiyo zone tena, ikatii support na resistance yangu, ikagonga paa, then ikashuka chini kwenye sakafu kisha ikapanda tena hadi kwenye paa. Na sasa imeshuka kwenye sakafu yangu... ninachokiona ni piga uwa galagaza lazima price ipande tena juu.

So hapa bila shaka GBPJPY itakua bullish so I expect to buy.

Mambo kama haya ndio tutahadithiana darasani wakuu.

Enjoy the week ahead beautiful people

GBPJPY.PNG


I see a short time sell setup before a strong bullish pattern..

Bado trend ina test the resistance line..

Kutakuwa na correction wave then ndo kuwe na strong bullish pattern..
 
Unachokisema nakijua vzr sana, umasikini naujua inside out, nimeuishi almost 80% ya maisha yangu. Nauchukia sana umasikini, ndio maana sitaki hata watu walionizunguka waingia ktk mtego wa kua masikini. Poverty damn sucks deep down!!

Sijaanza leo kuwashirikisha watu kile kidogo nnachokifahamu... I do this for love - hakuna anaenilipa, niseme hakuna anayeweza kunilipa. Kwa hii forex ningeweza kukaa zangu ndani nimezungukwa na screen nashusha zangu pips, kwa siku kulala na $3000 inanitosha sana - tena hata Bongo ningehama niende SA.

Lkn siku zotenajiuliza sana, kuna furaha gani kuaccumulate pesa zoooooote afu siku ukifa unaziacha watu wanazigombania. Kuna haja gani ya kuwa na pesa kwa nia ya kutafuta sifa watu wakulambe miguu na kukuona mfalme. Kuna faida gani kuzungukwa na majirani wasio na uhakika wa milo miwili kwa siku huku wewe mbwa wako anakula balanced diet - ni kama UCHAWI aisee. Hivi kuna haja gani mtu uondoke duniani kama ukivyokuja, yani hata ukifa hakuna anayesikitika... it's cr*p

Unajua bana mtu kua na pesa si kwamba yeye ni genius sana, ama talented or anything, it's just by the love of God (no disrespect for atheist/agnostic). Kama hiyo Love umepewa bila kulipia kwanini nawewe usisambaze just ROBO ya huo upendo??
4cfa6c3c4f89972c5ea6cac19d696ec3.jpg
Hapa nilikua nina miaka 21 (National museum theatre)
1134e4e1b013dcc8219fdf68126a8693.jpg
Hapa nilikua nina miaka 22 (ESRF).
una profile kubwa Haters wasikupe headache Bro
sina shaka na wewe japo sijawahi hata kukuona ILA uzi wako wa FX ndio uliniteka baada ya kuusoma na kukumbuka nilishawahi kuwaza sana trading

naamini you are going to leave legacy kubwa kwa watanzania.
 
Lodrick Thomas

Ahsante kwa ushauri
Naendelea kupekua mtandao.
Can you please recommend the Best book to start with.
Kuna hiki kinaitwa forex trade for dummies na kipya kimewekwa humu..hiki ndio ningekushauri kiko simple and straight!! Sikumbuki jina ila kipo humu!!
mwl. ict tunaomba msaada kile kitab kipya
 
With time i hope i ll be better. So far nimepitia MACD, RSI, Stochastic, EMA, SMA na DMA.

Hizo ichimoku, Bolinger ndo nazivutia kasi hapa weekend hii nikomae nazo, naona ndo zinafuata katika next chapter ya hiki kitabu nnachosoma.
Kitabu gani mkuu
 
GBPAUD.PNG


GBPAUD shows a very strong bearish setup..

It will have some correction waves then moving 200 pips lower and will correct again because it is a resistance level and dip 500 pips lower..

This is a probability, move your stop loss after every 50 pips..
 
XAGUSD.PNG


XAGUSD shows a temprary bearish setup. It can break the resistance line and dip to the 15.660 price or to 13.773 price then will show a very bullish setup.

OR The trend will not break, it will show a very strong bullish setup from the current price.
 

Attachments

  • XAGUSD.PNG
    XAGUSD.PNG
    9.6 KB · Views: 67
Fulltime traders utakuwa unapiga hela hadi unaumwa..
Utakuwa unawaza jinsi gani ya kutumia..
Ukiunguza account wenzako watakukopesha 1000$ za kurudi kwenye business.
Hapo nje mmepaki BMW za kutosha..
Weekends mtakuwa mnawaza wapi mkapumzike.
Au 10% ya hela mtakayotengeneza ijumaa mnawapelekea yatima na wasiojiweza. Au mnatafuta siku mnaenda kula na watoto yatima sehemu au kwenda nyumba za kulea wazee kuwapa misaada.
Mnarudisha kiasi fulani cha fedha yenu kwenye jamii.

Kwahiyo Lounge ni platform nzuri sana..
Enzi zetu tunaanza forex tulikuwa tunajificha chumbani, tunafanya analysis wenyewe na loss tukipata hatujui tunapataje.
It was a true try and error method.
Ila mkiwa kwenye Lounge ukipata loss wenzako watakuelekeza wapi unapata loss.

Aisee very important giving back to society in need. 100% thumbs up
 
Forex traders
Naombeni mnisaidie kiufahamu.
Nimefungua accounts 2 za demo, moja nliset $50 pia nikachagua leverage ya 1:200, account balance ikasoma $10,000 (kwa maana $50 *200)
Account ya pili nimeset $100 na leverage nikachagua 1:50, BUT account balance inasoma $100
HUU UTOFAUTI WA ACCOUNT BALANCE UNAKUAJE?
Sielewi elewi mwananchi mimi.
 
View attachment 526685

A very easy sell setup.


Mkuu Bavaria kwa nyie wenye real account kama mmetrade USD/JPY buy tangia soko lifunguliwe mtakuwa mmpiga mkwanja wa maana sana.

Sijui nitupie namba yangu hata unitumie za bia Mkuu..... maana?

Thanks God naanza kuielewa hii Biashara sasa...sijamaliza kusoma hata Kitabu kimoja ila naona nuru kubwaaaa mbeleni..

Asante kwa Mara nyingine Mkuu ONTARIO kwa moyo wako wa dhahabu.
 
Mkuu Bavaria kwa nyie wenye real account kama mmetrade USD/JPY buy tangia soko lifunguliwe mtakuwa mmpiga mkwanja wa maana sana.

Sijui nitupie namba yangu hata unitumie za bia Mkuu..... maana?

Thanks God naanza kuielewa hii Biashara sasa...sijamaliza kusoma hata Kitabu kimoja ila naona nuru kubwaaaa mbeleni..

Asante kwa Mara nyingine Mkuu ONTARIO kwa moyo wako wa dhahabu.
Piga shule hahaha..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom