Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hizo time frames zinasaidia kwenye analysis. Kuna kitu kinaitwa Top Down Analysis, manake unaangalia trend ya pair yako kuanzia monthly, weekly, daily, H4 or H2/H1.

Aisee nahitaji badly tuition na clues za kuchora trend lines. Nadhani hili ndilo somo nililobakiza linalohitaji nguvu kubwa, na ndiyo milion dollar subject, masomo mengine ni ya kupiga brush tuu juujuu, na yanaeleweka ukiyasoma. Lakini hili la kuchora trend lines ni somo ambalo halipo katika sylabus, na naona ndo topic ngumu katika hii biashara

Hapa kwenye kuchora trend lines nahisi sina uwezo wa kujifundisha mwenyewe, na nahisi kuna maujanja ambayo yapo ambayo mtu huwezi kuyaelewa wewe kama wewe mwenyewe ukiwa newbie. Na naona kabisa inahitajika uwe na experience ili uweze kuelewa hii sekta ya kuchora trend lines

So kama kuna clue yoyote ambayo inampa mtu basic knowledge katika kuchora trend lines, where to start, what to look at, where to stop, what to do, when to look what n.k just give us some guidance.

Kwa maana kwa jinsi nilivyoobserve hili game, mnaweza kupewa same chart muifanyie analysis, ila mwisho wa siku kila mtu anaweza chora trend lines ambazo zikawa tofauti na mwenzake kwa jinsi anavyoona yeye. Na wote hao wanaweza kuwa wamechora sahihi.

Your guidance please katika hili.

CC : Bavaria, Ontario and other gurus.
 

Very Simple.

Ukitaka kuchora trend lines, unachora kwenye resistances and supports.

Ukishaweza kujua resistance au support ipo wapi, basi kazi umeshamaliza..

Au unaweza kutumia fibonacci kuangalia resistance au support..

Keep reading boy.
 
Very Simple.

Ukitaka kuchora trend lines, unachora kwenye resistances and supports.

Ukishaweza kujua resistance au support ipo wapi, basi kazi umeshamaliza..

Au unaweza kutumia fibonacci kuangalia resistance au support..

Keep reading boy.

I am aware of the floor and ceiling stuffs, hapo katika fibonacci napo ni mtihani mwingine. Where to start retracement nk.

Ila i hope all these will be answered katika visual illistration ya class na live trading analysis.

Kwa sasa ngoja niendelee kuzisaka video tutorials za haya mambo.
 
Wakuu bank gani kwa tanzania ni nzuri kwa forex trading?
 
je,ni lazima neckline iwe imeslunt kuelekea chini katika head and shoulder patterns?..na je,ni lazima neckline iwe imeslunt kuelekea juu katika inverse head and shoulder pattern?..

warriors wangu wa nguvu nifafanulieni
 
Hivi hili wazo/idea iliishia wadau au niliruka baadhi ya post
It sound superb
 
Dah!! Kiukweli trend line bangua kichwa nimekomaa nayo siku nne mfululizo aisee leo nimegusa Pivot point duuh nayo ni sheeda. Complex ukipata mdhamini wa kutufanyia upembuzi yakinifu kwenye hili naomba unishirikishe mkuu.
 
Aisee nitumie namba yako ya simu kupitia 0762202021 nimevutiwa sana na forex nataka kujua zaidi nakuifanya kwa nguvu sana
 
Piga shule hahaha..


Nakomaa mkuu ....ila naona kama naelewa sana...sasa napata wasiwasi Sijui ndo sielewi kabisa..hahahaaa

Kuna course moja nilisoma chuo ilikuwa unaitwa Quantum Chemistry... Sasa lecturer wake alikuwa na msemo wake kuwa "ukijiona unaelewa sana hii course jua kuwa huelewi Kabisa" sasa Sijui na mm ndo kinanitokea???ila sidhani..


Niliianza kupiga demo Jana saa saba usiku mpaka sasa nina mishahara ya wabunge kama wawili wa tz....


Sijui naweza kuichomoa hii pesa.... duuu naitaka sana yaani...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Very Simple.

Ukitaka kuchora trend lines, unachora kwenye resistances and supports.

Ukishaweza kujua resistance au support ipo wapi, basi kazi umeshamaliza..

Au unaweza kutumia fibonacci kuangalia resistance au support..

Keep reading boy.
Nimehangaika na trend line mda mrefu bila mafanikio..
Nilicho gundua shida ipo kwenye resistance and suport...

Naomba msaada wako kiongozi
 
This Sio mchezo hii Ni zaidi ya shule humu ndani imejaa kila kitu. Take one book soma elewa kabisa chukua kitabu kingine! This is not speculative trading, it's trading for those who have knowledge and strategies. Hapa hakuna mtihani wala test. Unajipima mwenyewe kwa kuchoma account. Mwisho wa siku ni wewe Na chart hakuna wa kumlaumu. Tuendelee kusoma na kupractice tutafika hakuna hela rahisi forex! Lazima tukubali kulipa gharama ya kusoma kupractice na kufundishwa. Na kujipa muda
 
Mkuu Ontario big up for good idea aisee nakukubali saaana tangu Uzi ule wa matrekta ya kukodi but kwenye hili umetisha zaid naomba niwe wa 299 kati ya nao mia tatu japo nipo mkoani nitakuja kwenye venue yoyote patakapo tajwa Mkuu


Asante
 
Thank you mkuu. This complete handbook goes to my must read list
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…