Nilikuwa nacheck global economic calender,Hiyo ilikuwa sababu ya inflation rate news leo muda wa 12:30 pm GMT (15:30 kwa time zone yetu).Inflation imeshuka kutoka 1.6% to 1.3%Wakuu huko Canada pametokea nini, kuna tukio lolote?? maana shilingi yao naona imeshuka ghafla sana dakika chache zilizopita!! ukiangalia pair zote ambazo zina canadian dolar, the trend is just the same!!! yaani within dakika mbili, imeshuka utazani jiwe linarushwa kutoka kwenye ndege hahahaa!! take a look...
View attachment 529426
Uko sahihi mkuu kuna nyingine unaweza ku adjust amount ila nyingi ya chini ni hiyo 3000usd au euro... Fungua hiyo uendelee kupractice mkuu!!Thanx kwa ushuri mkuu, nina demo 2 hiyo nyingine ina 3000USD na 1:1O leverage, hii iko close to reality.
Kwa utafiti wako.. yupi umemuona ECN... maana nilimwamin sana XM kumbe nae n market maker dahhh nmesikitika sanaUko sahihi mkuu!! Ila in reality kwa research niliyofanya huwezi kukuta pure ENC broker!! Wengi wanakua mixture ya enc na stb....
Nitakuja na jibu soon!! Nangojea majibu yao!!Kwa utafiti wako.. yupi umemuona ECN... maana nilimwamin sana XM kumbe nae n market maker dahhh nmesikitika sana
Currency trading for DummiesKitabu gani hiko ulchomaliza Mkuu Mpiga Nyoka?
Huna haja ya kusikitika! wangekua wabaya wasingekua sokoni mpaka sasa! so far, they have the best customer care services!!Kwa utafiti wako.. yupi umemuona ECN... maana nilimwamin sana XM kumbe nae n market maker dahhh nmesikitika sana
Hi there,I'm back again. Natumai wote tunakwenda safi kabisa na tunazidi kuongeza knowledge. Speed yangu ilikuwa kali mno nikajikuta naishi unhealthy & stressful life ukizingatia kuwa natumia soft copy kitu ambacho si salama kwa macho ya mtumiaji. Tuwe makini Dear TRADERS, afya ni muhimu pia. Una study bila ku athiri/kuathiri kwa kiwango kidogo shughuli zako za kila siku. UKiweza kuprint uwe na hard copy inaweza kukusaidia kama unatumia muda mwingi kusoma,hasa usiku. All the best
Safi sana mkuu, naona umetengeneza portfolio la FX hapo.
Soft copy ni hatari kwa afya ya macho
Unajua mkuu broker ambaye unapopata loss yeye anapata faida huyo n mbaya sana.... n kama mchawi vile.... maana kufilisika kwako ndo furaha yake na ana make huge profits.. so naona kama sio wazur kbsaaaHuna haja ya kusikitika! wangekua wabaya wasingekua sokoni mpaka sasa! so far, they have the best customer care services!!
Ila soma hii Email yao!!!View attachment 529526
Soma hizi review zao...
View attachment 529514
Angalia hapo kwenye red na blue!!
Source: XM (XM.com) Forex Broker Review - Best Trading Conditions
Haya soma hii kutoka kwenye Forex trading bible!
View attachment 529528
My take: Being a market broker is not a bad thing, if only you understand the risks!!
Kwa kifupi wengi wanajinadi kama ECN ila in reality sio! Mi naona bora hawa ambao wako wazi kwamba ni market makers kuliko wanaojificha kwenye kivuli cha ecn!
Kazi kwako mkuu!!
Lakini lazima ujiulize kama market markers ni wabaya why do they still extist??Unajua mkuu broker ambaye unapopata loss yeye anapata faida huyo n mbaya sana.... n kama mchawi vile.... maana kufilisika kwako ndo furaha yake na ana make huge profits.. so naona kama sio wazur kbsaaa
Kama unataka wa kiwango kidogo kuna real/live accounts ambazo brokers wanakupa kiasi kidogo cha pesa (sio lazima u deposit) ukishafungua account, then unaweza fungua alafu ukafanyia mazoezi pesa watazokupa!!Kiukweli kamwanga nimekapata ila nimejisajili kwenye forex.com na wamenipa dau kuwa la dollar 50,000 ila kiwango cha chini unachoweza kuzungusha ni dollar 1000,mwenye kujua forex yenye dau dogo la hata dollar 200 atupie hapa
Happy weekend ahead big bosses
Hi traders, hope you've all been having a perfect week, and looking forward to a fantastic weekend. Am sending love from mine to yours - baada ya misukosuko.
Soon, very soon in deed nitafungua uzi mpya kuhusu nini kinafuata. We are getting started very soon bosses, hope moderators hawataunganisha uzi.
Nitatoa criteria za kupata ile offer niliyotoa ya watu 150... pia nimekaa na kufikiria upya, hapo awali nilipromise free classes kwa watu 300, baadae nikabadilisha hadi watu 150, nimeona nifanye mabadiliko mengine.
Kwa siku I think kutakua na sessions mbili tu... ambayo session 1 itakua na masaa matatu. Kila session itachukua wanafunzi 50 (nimedesign royal classes) yani mazingira safi yatakayoruhusu maximum bond kati ya mentors/facilitators na wanafunzi. Kitu kama hiki hapa (this is just a sample)
So kwa maana hiyo nitaanza na wanafunzi 100. Lakini kwakua nilitoa ahadi ya wanafunzi 300, let me fulfil my promise. Hao 100 wakimaliza mafunza nitachukua 100 wengine wa free, then 100 wengine wa free. It's gonna be super interesting.
Still nasisitiza tuendelee kusoma... Read more than you trade.
●●Nimebadili avatar na kueka picha yangu, msidhani nimekua hacked.
Salute bosses - cheers cheers!!
U gotta a battalion ..........Be confidentHappy weekend ahead big bosses

===============================
:::Edited:::
Baada ya muda kati ya wanafunzi wangu wa mwanzoni kabisa, nitafanya selection ya cream kwajili ya kuendeleza mapambano. So the best students will join my amazing team. Tutachukua watu kama wa5 then watakaa na mentors for like 3 months kujua forex in out, kama kutakua na haja tutawasafirisha mara kwa mara to SA kupata mafunzo na skills za ziada, kisha tutashirikiana kufungua more branches. I need Dar kuwe na Branches 3 kabla ya December. Then tutamove mikoani.

Enjoy ur weekend & take care!

Nice Move boss..Happy weekend ahead big bosses