Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Wakuu huko Canada pametokea nini, kuna tukio lolote?? maana shilingi yao naona imeshuka ghafla sana dakika chache zilizopita!! ukiangalia pair zote ambazo zina canadian dolar, the trend is just the same!!! yaani within dakika mbili, imeshuka utazani jiwe linarushwa kutoka kwenye ndege hahahaa!! take a look...

View attachment 529426
Nilikuwa nacheck global economic calender,Hiyo ilikuwa sababu ya inflation rate news leo muda wa 12:30 pm GMT (15:30 kwa time zone yetu).Inflation imeshuka kutoka 1.6% to 1.3%
 
Thanx kwa ushuri mkuu, nina demo 2 hiyo nyingine ina 3000USD na 1:1O leverage, hii iko close to reality.
Uko sahihi mkuu kuna nyingine unaweza ku adjust amount ila nyingi ya chini ni hiyo 3000usd au euro... Fungua hiyo uendelee kupractice mkuu!!
 
Uko sahihi mkuu!! Ila in reality kwa research niliyofanya huwezi kukuta pure ENC broker!! Wengi wanakua mixture ya enc na stb....
Kwa utafiti wako.. yupi umemuona ECN... maana nilimwamin sana XM kumbe nae n market maker dahhh nmesikitika sana
 
Mimi sijui chochote ila nimesoma maelezo mengi na kufurahishwa nayo. Naomba mtu wa kunielewesha zaidi ili nijiunge members. Tafadhari ni pm au nitext 0684 04 32 22.
 
Kwa utafiti wako.. yupi umemuona ECN... maana nilimwamin sana XM kumbe nae n market maker dahhh nmesikitika sana
Huna haja ya kusikitika! wangekua wabaya wasingekua sokoni mpaka sasa! so far, they have the best customer care services!!

Ila soma hii Email yao!!!
Capture1.PNG

Soma hizi review zao...

Capture1.PNG

Angalia hapo kwenye red na blue!!
Source: XM (XM.com) Forex Broker Review - Best Trading Conditions

Haya soma hii kutoka kwenye Forex trading bible!
Capture22.PNG

My take: Being a market marker is not a bad thing, if only you, as a customer, understand the risks!!

Kwa kifupi wengi wanajinadi kama ECN ila in reality sio! Mi naona bora hawa ambao wako wazi kwamba ni market makers kuliko wanaojificha kwenye kivuli cha ecn!

Kazi kwako mkuu!!
 
Hi there,I'm back again. Natumai wote tunakwenda safi kabisa na tunazidi kuongeza knowledge. Speed yangu ilikuwa kali mno nikajikuta naishi unhealthy & stressful life ukizingatia kuwa natumia soft copy kitu ambacho si salama kwa macho ya mtumiaji. Tuwe makini Dear TRADERS, afya ni muhimu pia. Una study bila ku athiri/kuathiri kwa kiwango kidogo shughuli zako za kila siku. UKiweza kuprint uwe na hard copy inaweza kukusaidia kama unatumia muda mwingi kusoma,hasa usiku. All the best
2fcecbebf4b7651bf2d632a7e9d894ee.jpg

Soft copy ni hatari kwa afya ya macho
 
Kiukweli kamwanga nimekapata ila nimejisajili kwenye forex.com na wamenipa dau kuwa la dollar 50,000 ila kiwango cha chini unachoweza kuzungusha ni dollar 1000,mwenye kujua forex yenye dau dogo la hata dollar 200 atupie hapa
 
Huna haja ya kusikitika! wangekua wabaya wasingekua sokoni mpaka sasa! so far, they have the best customer care services!!

Ila soma hii Email yao!!!View attachment 529526

Soma hizi review zao...

View attachment 529514
Angalia hapo kwenye red na blue!!
Source: XM (XM.com) Forex Broker Review - Best Trading Conditions

Haya soma hii kutoka kwenye Forex trading bible!
View attachment 529528

My take: Being a market broker is not a bad thing, if only you understand the risks!!

Kwa kifupi wengi wanajinadi kama ECN ila in reality sio! Mi naona bora hawa ambao wako wazi kwamba ni market makers kuliko wanaojificha kwenye kivuli cha ecn!
Kazi kwako mkuu!!
Unajua mkuu broker ambaye unapopata loss yeye anapata faida huyo n mbaya sana.... n kama mchawi vile.... maana kufilisika kwako ndo furaha yake na ana make huge profits.. so naona kama sio wazur kbsaaa
 
Lakini lazima ujiulize kama market markers ni wabaya why do they still extist??

To be honesty with you, hao xm ndio nnao trade nao na sijaona shida so far!! Ila choice is yours mkuu, ndio maana wakawa wako wengi!!! angalia hawa wanajiita octafx, jpmarkets (hawa wameniboa kwenye customer care yao, nimetuma email since last week mpaka leo wako kimya).

Tickmil inaonyesha ni wazuri na nilitaka trade nao ila nikijaribu ku deposit pesa inasumbua, nadhani wana deposit charges so nikawapiga chini nikarudi kwa xm brokers!!
 
Kiukweli kamwanga nimekapata ila nimejisajili kwenye forex.com na wamenipa dau kuwa la dollar 50,000 ila kiwango cha chini unachoweza kuzungusha ni dollar 1000,mwenye kujua forex yenye dau dogo la hata dollar 200 atupie hapa
Kama unataka wa kiwango kidogo kuna real/live accounts ambazo brokers wanakupa kiasi kidogo cha pesa (sio lazima u deposit) ukishafungua account, then unaweza fungua alafu ukafanyia mazoezi pesa watazokupa!!

Mara nyingi wanatoa 30USD, angalia/google hawa brokers kama tickmill brokers na xm brokers so far ndio nnawajua!!
 
Happy weekend ahead big bosses

Hi traders, hope you've all been having a perfect week, and looking forward to a fantastic weekend. Am sending love from mine to yours - baada ya misukosuko.

Soon, very soon in deed nitafungua uzi mpya kuhusu nini kinafuata. We are getting started very soon bosses, hope moderators hawataunganisha uzi.

Nitatoa criteria za kupata ile offer niliyotoa ya watu 150... pia nimekaa na kufikiria upya, hapo awali nilipromise free classes kwa watu 300, baadae nikabadilisha hadi watu 150, nimeona nifanye mabadiliko mengine.

Kwa siku I think kutakua na sessions mbili tu... ambayo session 1 itakua na masaa matatu. Kila session itachukua wanafunzi 50 (nimedesign royal classes) yani mazingira safi yatakayoruhusu maximum bond kati ya mentors/facilitators na wanafunzi. Kitu kama hiki hapa (this is just a sample)
ff3238419640a5d4ce6454d33ef560a0.jpg

So kwa maana hiyo nitaanza na wanafunzi 100. Lakini kwakua nilitoa ahadi ya wanafunzi 300, let me fulfil my promise. Hao 100 wakimaliza mafunza nitachukua 100 wengine wa free, then 100 wengine wa free. It's gonna be super interesting.

Still nasisitiza tuendelee kusoma... Read more than you trade.

●●Nimebadili avatar na kueka picha yangu, msidhani nimekua hacked.

Salute bosses - cheers cheers!!

===============================

:::Edited:::

Baada ya muda kati ya wanafunzi wangu wa mwanzoni kabisa, nitafanya selection ya cream kwajili ya kuendeleza mapambano. So the best students will join my amazing team. Tutachukua watu kama wa5 then watakaa na mentors for like 3 months kujua forex in out, kama kutakua na haja tutawasafirisha mara kwa mara to SA kupata mafunzo na skills za ziada, kisha tutashirikiana kufungua more branches. I need Dar kuwe na Branches 3 kabla ya December. Then tutamove mikoani.

Enjoy ur weekend & take care!
 
Goodluck Ninja.

Hope hao watu 300 hawatakuangusha..

Utakuwa umewasaidia vijana wenzako wengi sana..
 
U gotta a battalion ..........Be confident
 
Nice move!

Acha sisi tuendeleze mashambulizi ya angani wewe komaa na ya ardhini hapo dsm ili kwa pamoja tumfurumushe huyu adui anayejiita UMASKINI!!

Naimani kuna mafanikio makubwa mbeleni!!

Kama ilivyo mbegu iliyo jangwani na inayongoja mvua inyeshe ili iote, basi na sisi wenye uhai na pumzi tusikate TAMAA katika kazi na katika kumuomba Mungu!!

Tuko pamoja arifu na nikutakie kila la heri mkuu!!
 
Happy weekend ahead big bosses

Hi traders, hope you've all been having a perfect week, and looking forward to a fantastic weekend. Am sending love from mine to yours - baada ya misukosuko.

Soon, very soon in deed nitafungua uzi mpya kuhusu nini kinafuata. We are getting started very soon bosses, hope moderators hawataunganisha uzi.

Nitatoa criteria za kupata ile offer niliyotoa ya watu 150... pia nimekaa na kufikiria upya, hapo awali nilipromise free classes kwa watu 300, baadae nikabadilisha hadi watu 150, nimeona nifanye mabadiliko mengine.

Kwa siku I think kutakua na sessions mbili tu... ambayo session 1 itakua na masaa matatu. Kila session itachukua wanafunzi 50 (nimedesign royal classes) yani mazingira safi yatakayoruhusu maximum bond kati ya mentors/facilitators na wanafunzi. Kitu kama hiki hapa (this is just a sample)
ff3238419640a5d4ce6454d33ef560a0.jpg

So kwa maana hiyo nitaanza na wanafunzi 100. Lakini kwakua nilitoa ahadi ya wanafunzi 300, let me fulfil my promise. Hao 100 wakimaliza mafunza nitachukua 100 wengine wa free, then 100 wengine wa free. It's gonna be super interesting.

Still nasisitiza tuendelee kusoma... Read more than you trade.

●●Nimebadili avatar na kueka picha yangu, msidhani nimekua hacked.

Salute bosses - cheers cheers!!

===============================

:::Edited:::

Baada ya muda kati ya wanafunzi wangu wa mwanzoni kabisa, nitafanya selection ya cream kwajili ya kuendeleza mapambano. So the best students will join my amazing team. Tutachukua watu kama wa5 then watakaa na mentors for like 3 months kujua forex in out, kama kutakua na haja tutawasafirisha mara kwa mara to SA kupata mafunzo na skills za ziada, kisha tutashirikiana kufungua more branches. I need Dar kuwe na Branches 3 kabla ya December. Then tutamove mikoani.

Enjoy ur weekend & take care!

Mkuu Ontario Mungu azidi kukupatia afya na uzima tele Nakufuatilia kwa ukaribu sana na ninasubiri kwa hamu hizo criterials i really want to be among the first batch and i can't wait. Let me keep on diging the books Boss thank you for this great opportunity boss.
 
Happy weekend ahead big bosses

Hi traders, hope you've all been having a perfect week, and looking forward to a fantastic weekend. Am sending love from mine to yours - baada ya misukosuko.

Soon, very soon in deed nitafungua uzi mpya kuhusu nini kinafuata. We are getting started very soon bosses, hope moderators hawataunganisha uzi.

Nitatoa criteria za kupata ile offer niliyotoa ya watu 150... pia nimekaa na kufikiria upya, hapo awali nilipromise free classes kwa watu 300, baadae nikabadilisha hadi watu 150, nimeona nifanye mabadiliko mengine.

Kwa siku I think kutakua na sessions mbili tu... ambayo session 1 itakua na masaa matatu. Kila session itachukua wanafunzi 50 (nimedesign royal classes) yani mazingira safi yatakayoruhusu maximum bond kati ya mentors/facilitators na wanafunzi. Kitu kama hiki hapa (this is just a sample)
ff3238419640a5d4ce6454d33ef560a0.jpg

So kwa maana hiyo nitaanza na wanafunzi 100. Lakini kwakua nilitoa ahadi ya wanafunzi 300, let me fulfil my promise. Hao 100 wakimaliza mafunza nitachukua 100 wengine wa free, then 100 wengine wa free. It's gonna be super interesting.

Still nasisitiza tuendelee kusoma... Read more than you trade.

●●Nimebadili avatar na kueka picha yangu, msidhani nimekua hacked.

Salute bosses - cheers cheers!!

===============================

:::Edited:::

Baada ya muda kati ya wanafunzi wangu wa mwanzoni kabisa, nitafanya selection ya cream kwajili ya kuendeleza mapambano. So the best students will join my amazing team. Tutachukua watu kama wa5 then watakaa na mentors for like 3 months kujua forex in out, kama kutakua na haja tutawasafirisha mara kwa mara to SA kupata mafunzo na skills za ziada, kisha tutashirikiana kufungua more branches. I need Dar kuwe na Branches 3 kabla ya December. Then tutamove mikoani.

Enjoy ur weekend & take care!
Nice Move boss..

Salute!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom