Happy weekend ahead big bosses
Hi traders, hope you've all been having a perfect week, and looking forward to a fantastic weekend. Am sending love from mine to yours - baada ya misukosuko.
Soon, very soon in deed nitafungua uzi mpya kuhusu nini kinafuata. We are getting started very soon
bosses, hope moderators hawataunganisha uzi.
Nitatoa criteria za kupata ile offer niliyotoa ya watu 150... pia nimekaa na kufikiria upya, hapo awali nilipromise free classes kwa
watu 300, baadae nikabadilisha hadi watu 150, nimeona nifanye mabadiliko mengine.
Kwa siku I think kutakua na sessions mbili tu... ambayo session 1 itakua na masaa matatu. Kila session itachukua wanafunzi 50 (nimedesign royal classes) yani mazingira safi yatakayoruhusu maximum bond kati ya mentors/facilitators na wanafunzi. Kitu kama hiki hapa (this is just a sample)
So kwa maana hiyo nitaanza na wanafunzi 100. Lakini kwakua nilitoa ahadi ya wanafunzi 300, let me fulfil my promise. Hao 100 wakimaliza mafunza nitachukua 100 wengine wa free, then 100 wengine wa free.
It's gonna be super interesting.
Still nasisitiza tuendelee kusoma... Read more than you trade.
●●Nimebadili avatar na kueka picha yangu, msidhani nimekua hacked.
Salute bosses - cheers cheers!!
===============================
:::Edited:::
Baada ya muda kati ya wanafunzi wangu wa mwanzoni kabisa, nitafanya selection ya cream kwajili ya kuendeleza mapambano. So the best students will join my amazing team. Tutachukua watu kama wa5 then watakaa na mentors for like 3 months kujua forex in out, kama kutakua na haja tutawasafirisha mara kwa mara to SA kupata mafunzo na skills za ziada, kisha tutashirikiana kufungua more branches. I need Dar kuwe na Branches 3 kabla ya December. Then tutamove mikoani.