Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu somo limeeleweka, Tafadhali naomba nafasi ya kuwemo kwenye list ya hao 300 nahitaji kupata shule zaidi na kuingia katika biashara
 
Now we are talking the same language.. Hii inaitaji u'devote muda na uwe more than active day in day out.. Na hicho ndicho nilishauri pia kwenye post yangu ya kwanza kabisa..
Mkuu inaonekana na wewe una kauzoefu kidogo .....
 
Mkuu Ontario, aisee tupo pamoja kwenye hii safari. Nami ni mmoja wao tutakua pamoja...hii inaonyesha haina ujanja ujanja
 
Thanks bro very good idea inamotivate yaani ni kama naona mpunga huu hapa lkn panahitajika training ya kina na guidance hope nitakuwa miongoni mwa watu wa mwanzo kupata training.
 
iko poa ngoja na mimi nivitafute hivyo vitabu ili by the time unaanzisha hapa bongo niwe wa kwanza ale santee
 
Nimekuwa nikiufatilia huu uzi kwa muda mrefu sana...huku nikijiongezea maarifa lakini pia nimegundua kitu ambacho kinawatofautisha vijana wa kiTanzania na wa mataifa mengine.....

Kwanza kabisa kwa ninachokiona humu ni dhahiri kuwa vijana ni wazito kwenye kujifunza na wavivu wa kutafuta taarifa hasa katika ulimwengu huu wa sasa wa taarifs kiganjani.....

Mtoa mada amefanya msaada mkubwa sana wa kukutoa kizani.....jambo ambalo halikuwa hata akilini mwako......kinachotakiwa ni wewe kutumia uwezo wako binafsi wa kujiongezea maarifa juu ya jambo hilo....alafu baadae uje umwambie muhusika kuwa umekwama wapi.....!!

Pili mhemko kwenye hili umekuwa mkubwa kwa kuwa kuna neno HELA au PESA.......

Msamiati HELA unavuta utayari wa watu wengi kutokana na mahitaji yake.......

Lakini pia vijana wanatakiwa wajue kuwa mambo mazuri hayapatikani kiurahisi....hii ni story ya matokeo ya kazi ngumu aliyopitia mtoa mada hadi kufikia hapo alipo.....

Ni kama filamu nzuri ambayo imekuwa nzuri baada ya kukatwa vipande vibaya na kuachwa vizuri na hatimaye filamu kuonekana nzuri.....

Hili jambo sio la kuliendea kwa pupa kwa kuwa linataka utulivu wa halii ya juu wa mwili na akili huku ukijitahidi kuwa na subira na uvumilivu na sio kukurupuka.....

Mwisho niwatakie heri vijana kuelekea kwenye utajiri....najua mambo yakiwa nyookea sitakosa hela ya gahawa.......
 
Inaonesha una idea juu ya hii kitu mkuu, vipi, ilikujihusisha na hii biashara kuna hitaji lakua na app?, au unafungua account mtandaoni ili uwe na profile yako, Asante
 
Lets say yote ni faida tupu ukiacha hiyo ya kuchoma akaunti hasara gani nyingine ipo katika hii biashara ?
 
Reactions: MC7
I want in nazani uweke mizani yako sawa utakapo anza kutafuta wapi wa kutrain
 
Thanks kwa kutufumbua macho mkuu kwenye hii biashara ya forex.

naomba na mie unichukue kwenye hao 300.

this is interesting, count me in.
 
anza kutupia technics watu tuna njaa na mawazo kupiga hela hatukuwa nayo sasa ndo umetuamsha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…