Lodrick Thomas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 1,339
- 2,431
Hii mambo si ya kitoto...lazima tusome vitabu hapa!! Hii haikwepeki!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu inaonekana na wewe una kauzoefu kidogo .....Now we are talking the same language.. Hii inaitaji u'devote muda na uwe more than active day in day out.. Na hicho ndicho nilishauri pia kwenye post yangu ya kwanza kabisa..
Sio sana mkuu, pamoja na kwamba nimeanza muda mrefu sijaifanya serious kama alivyofanya mkuu Ontario..Mkuu inaonekana na wewe una kauzoefu kidogo .....
Mnao quote mnatusumbua tunaotupia app, baati yako nimeanza mfungoI am in boss
Binafsi nimeanza kuisoma mtandaoniHii mambo si ya kitoto...lazima tusome vitabu hapa!! Hii haikwepeki!
Inaonesha una idea juu ya hii kitu mkuu, vipi, ilikujihusisha na hii biashara kuna hitaji lakua na app?, au unafungua account mtandaoni ili uwe na profile yako, AsanteMkuu thanks kwa uzi huu, NGOJA NIANDIKE KWA CAPITAL LETTERS~UKIANZA TU ANZA NA MIMI, baada ya kumaliza elimu ya chuo nilipata kufwatilia sana hii kitu pamoja na kudownload videos za huyu youngest millionaire SANDILE SHEZI kwa wakat huo cjui kwa sasa, na kusoma sana baadh ya APPS zilizopo play store kwa kujifunza, ilinibid nipractice sana kwny demo account kwa kutumia BINARY OPTION~IQ option things was running smoothly but kutokana na research zang nikakutana na baadh ya comments zikisema BINARY its a SCUM nkasita kudeposite ili nideal na real account.
Ni kitu ambayo bado ipo kwny damu and good enough nilikuw nakutana na platform zngne lakin walikuw wanadai THERE IS NO CURRENT BROKER IN UR COUNTRY. Also nilijaribu kucontact na ''ETORO" via email nikijua as the among of the best brokers but nikaona kuna umuhimu wa Elimu zaid juu ya kuijua hii kitu.
As you said hili swala linafanyika kwa kificho sana I was so surprised wakat IQ option wananiambia wana 12,000 Customers from Tz huku nikiwa sijawah kusikia hii kitu ikiwa promoted in either way hapa nchn,
Thnks 4 coming bro I will be in touch with this thread ili Twende sawa.