Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu asante kwa darasa lako..

Mkuu naomba kuuliza..je video za YouTube ni nzuri kwa kujifunzia?

Na kama beginer nianze na dola ngap?
Swali makini sana!
Boss si mbaya ukacheki YouTube videos, zitakutoa tongo tongo kwa kiasi kikubwa sana. Hata mimi binafsi zimenisaidia.

Lakini... kila trader ana strategy yake ya kutrade, sasa ukicheki sana YouTube unaeza ukajikuta unafika point unachanganywa, huyu anasema tumia fibonacci, mwindine anasema tumia lagging indicators, mwingine anasema tumia support and resistance. Sasa unakua huelewi which is which.

Forex unaeza kuanza na kiasi chochote, inaendana na ntu na ntu. Lakini kadri unavyokuwa na balance kubwa ndivyo unavyokua na wigo mpana wa kutrade. Kuna vitu nikiongea hapa hautaelewa viko technical kidogo. But mimi na recommend usiwe na less than $200.

Kuhusu muda wa kuvuna: Forex unavuna kadri unavyotrade winning trades. Unaeza ukaanza na $200 ndani ya wiki 1 (siku 5) una profit ya $500. Na muda wowote unaweza ukawithdraw, unaweza leo ukatrade ukapiga profits $50 na ukaichomoa yote ukafanya mambo yako mengine.
 
Nice one hii kitu inaonekana ina chanllenges nyingi sana ndo maana nimeona ipo real, Cjaona mteremko wowote zaidi ya struggles. Mwanzoni mtu unaweza ona pesa ya mteremko lakini bila ku husltle hutopata kitu.

Thank u for this good thread na naomba niwaambie watu kamwe kama ni watu wa kitonga they wont make it with this opportunity.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom