Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kiasi mkuu, I thank GOD kwa kunifungua ufahamu japo naona bado ni hatua ya mwanzo sana wala sistahili pongezi.I know I have to study hard and practise more.
Shukrani za dhati zimwendee ONTARIO, I really owe this guy.
Uko sahihi kabisa! Jamaa ametufungua macho kwa kweli!!

Hongera sana mkuu ONTARIO

Tuko pamoja!!
 
Huelewi nini?
Strategy ni kusoma neno kwa neno na kuelewa.
Kama huelewi kitu nenda youtube download video za kutosha uangalie.
Mkuu Proffesor kama jina lako linavyojinasibu ...

Am not a guru...ila kuhusu strategy nnachojua hata kama ukipewa hujajiweka sawa kuhusu basics zake bila shaka itakupiga chenga...offcaurse zipo zinazozwa...ila nini maana ya kusoma??

Kama bavaria alivyosema...ni muhimu ukasipitia. Kuna kitabu cha astrofx wameziweka na kwa profesa kama wewe najua utatumia nusu saa tu kuzielewa!!

Kama usipoelewa hamia youtube ziko video zinaelezea viziri tu!!

Najua hautakwama mkuu prof!!
 
Reactions: MC7
Shukrani Boss, Vitabu vingine ni vipi ulivyotumia wewe, nataka niviandae ili darasa likianza niwe niko full
 
Mkuu mm bado mchanga kweli kwenye forex...ila kidogo kidogo naanza kuielewa lugha ya forex.

Naomba soma page no 14 ya ASTROFX....Fundamental Analysis/Economic data releases..nadhani ulichokishuhudia ndicho kimetolewa angalizo hapo.
nimeelewa hata mimi
 
So mkuu hapa nimeelewa zaidi ukichanganya na Astro fx inaleta maana
hii bizness inahitaji mentor

kwa maana hyo ingekua ni news ya kuigusa ulaya yote hapa tungeshuhudia positive mfano BREXIT ama france rally election, issue kama zile za mambomu kama nimeelewa vyema mkuu.
 

Kwa beginer sishauri zaidi kutrade NEWS. Sio salama kwasababu huwezi jua market movers wana digest vipi hizo news.
 

Mkuu najiungaje hilo group la telegram...muongozo please
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…