Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Wadau cjui nakosea wp,nafungua orders lkn zote zinaishia kwny pending hlf zinapotea
Mbona kama naona ina zero balance??

Tuma picha inayoonyesha margin, margin level na equity!! otherwise kuna dalili umetia kiberiti akaunti(I pray isiwe hivyo)!
 
mkuu hongera , nimefanikiwa kuangalia video zako za interview youtube , no wonder you did what you did , wewe ni mtu wa kipekee sana, God bless you brother
Nina shauku kubwa ya kucheki video za interview za huyu bwana....nisearch jina gani ili niweze kumwona?????
 
Wakuu kama mmeshaanzisha group la whatsApp kwa ajili ya kuelimishana, nami naomba kujumishwa. Hii knowledge ni muhimu sana. Namba yangu ni 0766 454217
 
Kiasi mkuu, I thank GOD kwa kunifungua ufahamu japo naona bado ni hatua ya mwanzo sana wala sistahili pongezi.I know I have to study hard and practise more.
Shukrani za dhati zimwendee ONTARIO, I really owe this guy.
Hongera Mkuu dah hapo kwenye chart
 
Aisee, leo dola imekumbwa na nini.? Maana naona dolar leo imekuwa dhaifu dhidi ya cureency nyingine.
 
Wakuu kama mmeshaanzisha group la whatsApp kwa ajili ya kuelimishana, nami naomba kujumishwa. Hii knowledge ni muhimu sana. Namba yangu ni 0766 454217
Nimejaribu ku apload picha ila naona uwezo wa simu umekwama. Google wamepigwa fine na Euro kama bilion kadhaa za Euro, source page ya Fox Tv kama unaeza ingia page ya Fox fb ujionee mkuu.
 
Sooon ntaanza real acc baada ya mazoez ya kutosha ya demo.. nataka nijilipue .. maana ukiwa real acc huku wasoma utaelewa kilazima tu....
Mazee, kwa ushauri tu, ukianza na live account hakikisha unatumia hela ambayo uko tayari kuipoteza, ukiingia kichwakichwa kwa kutegemea faida tu utaweza kulia.

Nilishawahi kunyolewa USD 5,000 katikakipindi cha siku chache sana.

Pia kama unaweza kuanza kidogokidogo kuusoma mchezo ni vizuri zaidi. Nimekuja kugundua data za demo (not market data, market participation data) ziko a bit unrealistic kwa sababu watu wanatumia demo money, si hela zao, kwa hiyo demo ona kama unatumia kujifunza kutumia platform tu. Unaweza kushangaa account ya demo mambo yako yanakuendea vizuri sana wakati account live inabuma.
 
Aisee, leo dola imekumbwa na nini.? Maana naona dolar leo imekuwa dhaifu dhidi ya cureency nyingine.

Mkuu ona hiyo quote yangu apo juu ndio chanzo cha Usd kushuka na imetokea kama 6min ago.
 
Reactions: MC7
Mkuu ona hiyo quote yangu apo juu ndio chanzo cha Usd kushuka na imetokea kama 6min ago.

Aisee nimecheki, Ila hiyo si sababu inaonekana.

baada ya kufuatilia nimeona issue ipo kwa Janeth yellen (Federal reserve chairman) na Draghi (ECB chairman) on Euro issues. Nimeangalia hapa nimeona sababu haswa ni policy ya kuongeza interest rates katika dollar. Yellen anatarajiwa kutoa statement 1700 GMT, So kwa muono wangu mpaka muda huo, tutegemee noise za kutosha katika market hususan zinazohusu USD.

Issue ya google inaweza kuwa minor sana katika impact ya dollar. Aisee hapa kuna pair mbili za USD nimezifungua naona hazipo on my side. Ila ngoja nikomae mpaka huo muda wa Bi Yellen kutoa hiyo statement yake, kama akaunti kuungua na iungue tuu.
 
Sawa mkuu Let's wait usisahau kuleta kamrejesho baada ya kutoa ilo tamko lao.
 
Mazee kwa sasa nikupumua kidogo. Jana Yen ilinipaisha halafu ikaninyoa kisawasawa sina hamu nayo. Sasa hivi nina some very conservative positions mpaka Feds waseme.
 
Sooon ntaanza real acc baada ya mazoez ya kutosha ya demo.. nataka nijilipue .. maana ukiwa real acc huku wasoma utaelewa kilazima tu....
Nataka nianze na demo account but nimefungua forex com wanasema ni trial ya 30 days vipi hzo zikiisha ntafanyaje ili niendelee na hyo demo?
 
Mazee kwa sasa nikupumua kidogo. Jana Yen ilinipaisha halafu ikaninyoa kisawasawa sina hamu nayo. Sasa hivi nina some very conservative positions mpaka Feds waseme.

Ulikua una trade na Yen mda gani na ulifungua chart ya mda gani boss?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…