hindustan
Senior Member
- Oct 15, 2014
- 184
- 181
hii ni real?,Wadau cjui nakosea wp,nafungua orders lkn zote zinaishia kwny pending hlf zinapotea![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii ni real?,Wadau cjui nakosea wp,nafungua orders lkn zote zinaishia kwny pending hlf zinapotea![]()
Mbona kama naona ina zero balance??Wadau cjui nakosea wp,nafungua orders lkn zote zinaishia kwny pending hlf zinapotea![]()
Nina shauku kubwa ya kucheki video za interview za huyu bwana....nisearch jina gani ili niweze kumwona?????mkuu hongera , nimefanikiwa kuangalia video zako za interview youtube , no wonder you did what you did , wewe ni mtu wa kipekee sana, God bless you brother
Wadau cjui nakosea wp,nafungua orders lkn zote zinaishia kwny pending hlf zinapotea![]()
Hongera Mkuu dah hapo kwenye chartKiasi mkuu, I thank GOD kwa kunifungua ufahamu japo naona bado ni hatua ya mwanzo sana wala sistahili pongezi.I know I have to study hard and practise more.
Shukrani za dhati zimwendee ONTARIO, I really owe this guy.
Nimejaribu ku apload picha ila naona uwezo wa simu umekwama. Google wamepigwa fine na Euro kama bilion kadhaa za Euro, source page ya Fox Tv kama unaeza ingia page ya Fox fb ujionee mkuu.Wakuu kama mmeshaanzisha group la whatsApp kwa ajili ya kuelimishana, nami naomba kujumishwa. Hii knowledge ni muhimu sana. Namba yangu ni 0766 454217
Mazee, kwa ushauri tu, ukianza na live account hakikisha unatumia hela ambayo uko tayari kuipoteza, ukiingia kichwakichwa kwa kutegemea faida tu utaweza kulia.Sooon ntaanza real acc baada ya mazoez ya kutosha ya demo.. nataka nijilipue .. maana ukiwa real acc huku wasoma utaelewa kilazima tu....
Aisee, leo dola imekumbwa na nini.? Maana naona dolar leo imekuwa dhaifu dhidi ya cureency nyingine.
Mkuu ona hiyo quote yangu apo juu ndio chanzo cha Usd kushuka na imetokea kama 6min ago.
Aisee nimecheki, Ila hiyo si sababu inaonekana.
baada ya kufuatilia nimeona issue ipo kwa Janeth yellen (Federal reserve chairman) na Draghi (ECB chairman) on Euro issues. Nimeangalia hapa nimeona sababu haswa ni policy ya kuongeza interest rates katika dollar. Yellen anatarajiwa kutoa statement 1700 GMT, So kwa muono wangu mpaka muda huo, tutegemee noise za kutosha katika market hususan zinazohusu USD.
Issue ya google inaweza kuwa minor sana katika impact ya dollar. Aisee hapa kuna pair mbili za USD nimezifungua naona hazipo on my side. Ila ngoja nikomae mpaka huo muda wa Bi Yellen kutoa hiyo statement yake, kama akaunti kuungua na iungue tuu.
Mazee kwa sasa nikupumua kidogo. Jana Yen ilinipaisha halafu ikaninyoa kisawasawa sina hamu nayo. Sasa hivi nina some very conservative positions mpaka Feds waseme.Aisee nimecheki, Ila hiyo si sababu inaonekana.
baada ya kufuatilia nimeona issue ipo kwa Janeth yellen (Federal reserve chairman) na Draghi (ECB chairman) on Euro issues. Nimeangalia hapa nimeona sababu haswa ni policy ya kuongeza interest rates katika dollar. Yellen anatarajiwa kutoa statement 1700 GMT, So kwa muono wangu mpaka muda huo, tutegemee noise za kutosha katika market hususan zinazohusu USD.
Issue ya google inaweza kuwa minor sana katika impact ya dollar. Aisee hapa kuna pair mbili za USD nimezifungua naona hazipo on my side. Ila ngoja nikomae mpaka huo muda wa Bi Yellen kutoa hiyo statement yake, kama akaunti kuungua na iungue tuu.
Nataka nianze na demo account but nimefungua forex com wanasema ni trial ya 30 days vipi hzo zikiisha ntafanyaje ili niendelee na hyo demo?Sooon ntaanza real acc baada ya mazoez ya kutosha ya demo.. nataka nijilipue .. maana ukiwa real acc huku wasoma utaelewa kilazima tu....
Mazee kwa sasa nikupumua kidogo. Jana Yen ilinipaisha halafu ikaninyoa kisawasawa sina hamu nayo. Sasa hivi nina some very conservative positions mpaka Feds waseme.