Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
mkuu kuna tofauti gn kati y market maker na hawa ECN/STP. Wp wazur zaidi kwa uzoefu wakoNB: Kabla hujajiunga na broker, make sure unajua ni broker wa aina gani! Ni Market marker au ECN/STP...
Inategemea na wewe objectives zako...so far ecn/stp ndio wako friendly kuliko market makers!!mkuu kuna tofauti gn kati y market maker na hawa ECN/STP. Wp wazur zaidi kwa uzoefu wako
Nadhani strategy utakayotumia itasaidia kukuweka kwenye safe area kati gambling na investment.Technical analysis and fundamental analysis won't guarantee profit.
They may be perfect tools in assisting you to make correct decisions but unfortunately this is not the case all time.
Kwahiyo nayo inaelementi za ubashiri, tena wa kiwango cha juu.
Nielezee kidogo tena.
Ukiangalia kwa undani bila kuwa bias utaona pia speculating is not investing.
Ambapo hapa members wameshaona Fx ni some form of investment for their money.
Watu wanauliza leverage kwenye Fx. Maana yake profit and loss is highly magnified.
And it's very unfortunate that most retail traders lose money.
Ndiyo maana ni volatile market.
Kanuni za economics zinatambua investment kwa sifa zake.
Mosi unapata faida in long term basis (na ikiwa short term inaweza kuwa zaidi ya 3 months strictly speaking). Tofauti na forex ambapo trader anatafuta faida kwa muda mfupi kadiri itawezekana.
Pili katika investment risk ya kupoteza ni chini au non existent. Kwenye forex unatrade on margin basis.
Kwamba risk ni kubwa sana na pia faida ni kubwa sana.
Lakini angalizo muhimu ni kuwa more than 60% wanapoteza. And this is conservative record.
Je hii inaashiria nini?
Kwahizo sifa hapo juu ni safe kusema trading forex is some form of gambling.
What you think?
Aisee naona USD inaanza kujitutumua hapa. Naona inaanza kupata some value. Ngoja niendelee kusubiria.
Going Short, short selling ni kuuza currency ambazo huna.Acha ni practice nilicho soma, nitarekebishwa Kama nimeingia Chaka
Going long (buying pair) ni kununua pair yaani unauza currency iliyo na thamani ndogo (counter currency) na kununua iliyo na thamani kubwa (ambazo mostly ni USD, GBP, EUR) ili baadae thamani yake ikipanda uuze mfano USD/JYN unauza japanese Yen (JYN) ili ununue dola ya kimarekani (USD) uje kuuza baadae ikipanda
Getting short (selling pair) ni kuuza pair yaani unauza currency yenye thamani kubwa(base currency) na kununua currency yenye thamani ndogo kwenye mfano wa wa USD/JYN unauza USD kununua JYN ili JYN ikishuka zaidi utumie hiyohiyo JYN kununua USD Ila kwasababu itakuwa imeshuka thamani Ina maana utapata USD nyingi zaidi ya kile kiasi ulichonunulia JYN kabla JYN haijashuka
Nimekua warned kuhusu demo, demo ni demo kuna mtu niliuomba anitume real trading chart nifanye comparison, japo hajatuma alinambia niwe aware na demoMazee, kwa ushauri tu, ukianza na live account hakikisha unatumia hela ambayo uko tayari kuipoteza, ukiingia kichwakichwa kwa kutegemea faida tu utaweza kulia.
Nilishawahi kunyolewa USD 5,000 katikakipindi cha siku chache sana.
Pia kama unaweza kuanza kidogokidogo kuusoma mchezo ni vizuri zaidi. Nimekuja kugundua data za demo (not market data, market participation data) ziko a bit unrealistic kwa sababu watu wanatumia demo money, si hela zao, kwa hiyo demo ona kama unatumia kujifunza kutumia platform tu. Unaweza kushangaa account ya demo mambo yako yanakuendea vizuri sana wakati account live inabuma.
Unaionaje Yen leo? Imeanguka sana inawezekana sasa ni wakatimzuri wa kununua, lakini pia inaweza isirudi kwenye chart juu karibuni.Nimekua warned kuhusu demo, demo ni demo kuna mtu niliuomba anitume real trading chart nifanye comparison, japo hajatuma alinambia niwe aware na demo
Leo kama ulibet against kusell euro kwa kutegemea itashuka bila kujua kuna news fulani imekula kwako. Nilikuwa nacheza na practice account huku na speculate kwamba USD itabanda against Euro kwa hiyo nikawa nauza Euro nanunua USD. Ebwanee kumbe kuna jamaa anaitwa Mario Draghi ndo mkuu wa benki ya umoja wa ulaya katoa speech leo , Euro imeshoot kwa kiwango ambacho haijashoot karibu miezi kumi...Yaani Mimi nilikuwa na practice kwa kucheki ceiling na floor. Hapo nimejifunza kitu kimoja kikubwa sana jinsi kuna news zina impact kubwa kwenye forex trading. Mimi mahesabu yangu yalikuwa kwamba Eoro against dollar ceiling ingekuwa 1.207 baada ya hapo nilitegemea ishuke..sasa kitu kimetoboa ceilingUnaionaje Yen leo? Imeanguka sana inawezekana sasa ni wakatimzuri wa kununua, lakini pia inaweza isirudi kwenye chart juu karibuni.
Yellen kasema benki za US ziko imara, hilo linaweza kuifanya dollar iwe na nguvu sana leo.
USD/JPY - Live Rate, Forecast, News and Analysis
Leo kama ulibet against kusell euro kwa kutegemea itashuka bila kujua kuna news Fulani imekula kwako. Nilikuwa nacheza na practice account bila speculate kwamba USD itabanda against Euro kwa hiyo nikawa nauza Euro nanunua USD. Ebwanee kumbe kuna jamaa katoa speech leo , Euro imeshoot kwa kiwango ambacho hajashoot karibu miezi kumi...Yaani Mimi nilikuwa na practice kwa kucheki ceiling na floor. Hapo nimejifunza kitu kimoja kikubwa sana jinsi kuna news zina impact kubwa kwenye forex trading.
upo na live account? Mafuta na Gold sio sana unless kuna extreme changes in prices then ndo hapo zinaweza kuwa na significant effect kwenye price lakini hauna guarantee ya correlation ila kuna muda zinaingiliana has ahapo prices zinapochange kwenye commodity significantly. Mfan tukiongelea mafuta unless una deal na mataifa yanaimport na export mafuta..Naona strong pairs zinaenda zaidi na masoko kama matano ambayo yanachukua zaidi ya asilimia 90 ya transactions na none of these are affected much by oil prices...Viongozi ni wa kikanda zaidi (economic zones) au nchiEuro sijaigusa kipindi,nilikuwa na deal na Aussie na Yen.
...
Both live and demo.upo na live account?
For how long umekuwa una trade?Both live and demo.
Off and on since 2007. Nilinyolewa vizuri sana kwenye financial crisis na ETFs nikawa ninaheshimu sana hizi habari, nikawa na concentrate kwenye real estate na 401(k). Nimeanza ku trade tena seriously mwaka huu.For how long umekuwa una trade?