Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
NB: Kabla hujajiunga na broker, make sure unajua ni broker wa aina gani! Ni Market marker au ECN/STP...
mkuu kuna tofauti gn kati y market maker na hawa ECN/STP. Wp wazur zaidi kwa uzoefu wako
 

Attachments

  • upload_2017-6-27_18-21-39.png
    upload_2017-6-27_18-21-39.png
    46.3 KB · Views: 96
  • upload_2017-6-27_18-22-9.png
    upload_2017-6-27_18-22-9.png
    46.3 KB · Views: 92
Bada
Technical analysis and fundamental analysis won't guarantee profit.

They may be perfect tools in assisting you to make correct decisions but unfortunately this is not the case all time.

Kwahiyo nayo inaelementi za ubashiri, tena wa kiwango cha juu.
Nielezee kidogo tena.

Ukiangalia kwa undani bila kuwa bias utaona pia speculating is not investing.

Ambapo hapa members wameshaona Fx ni some form of investment for their money.

Watu wanauliza leverage kwenye Fx. Maana yake profit and loss is highly magnified.

And it's very unfortunate that most retail traders lose money.

Ndiyo maana ni volatile market.

Kanuni za economics zinatambua investment kwa sifa zake.

Mosi unapata faida in long term basis (na ikiwa short term inaweza kuwa zaidi ya 3 months strictly speaking). Tofauti na forex ambapo trader anatafuta faida kwa muda mfupi kadiri itawezekana.

Pili katika investment risk ya kupoteza ni chini au non existent. Kwenye forex unatrade on margin basis.

Kwamba risk ni kubwa sana na pia faida ni kubwa sana.

Lakini angalizo muhimu ni kuwa more than 60% wanapoteza. And this is conservative record.

Je hii inaashiria nini?

Kwahizo sifa hapo juu ni safe kusema trading forex is some form of gambling.

What you think?
Nadhani strategy utakayotumia itasaidia kukuweka kwenye safe area kati gambling na investment.

Forex trading ni investment kwa professional traders ambao wanauelewa mzuri wa forecasting factors na risk management.

Kwa mfano ,softicated forex traders hufuatilia price movement kwenye stock exchanges, au derivative exchanges n.k

Ukiangalia kwa makini unakuta hii sio kitu ya kila mtu kufanya.
 
Acha ni practice nilicho soma, nitarekebishwa Kama nimeingia Chaka

Going long (buying pair) ni kununua pair yaani unauza currency iliyo na thamani ndogo (counter currency) na kununua iliyo na thamani kubwa (ambazo mostly ni USD, GBP, EUR) ili baadae thamani yake ikipanda uuze mfano USD/JYN unauza japanese Yen (JYN) ili ununue dola ya kimarekani (USD) uje kuuza baadae ikipanda

Getting short (selling pair) ni kuuza pair yaani unauza currency yenye thamani kubwa(base currency) na kununua currency yenye thamani ndogo kwenye mfano wa wa USD/JYN unauza USD kununua JYN ili JYN ikishuka zaidi utumie hiyohiyo JYN kununua USD Ila kwasababu itakuwa imeshuka thamani Ina maana utapata USD nyingi zaidi ya kile kiasi ulichonunulia JYN kabla JYN haijashuka
Going Short, short selling ni kuuza currency ambazo huna.

Kwa mfano una anticipate currency ya China itashuka thamani in the next two weeks. Wewe unaziuza ktk forward contract kwa bei ya juu kulinganisha na bei unayoanticipate.

Sasa siku unayotakiwa kudeliver hizo Chinese currencies, sababu huna.unazinunua sokoni at the cheaper spot rate na kumpatia muusika unakuwa umepiga hela.

Hii practice ni illegal nchi nyingi sana, huko China wiki Jana kuna watu wametupwa jela, makampuni kupigwa fine na mengine kufutiwa leseni sababu walifanya hako ka mchezo sometimes mwaka Jana.
 
Mazee, kwa ushauri tu, ukianza na live account hakikisha unatumia hela ambayo uko tayari kuipoteza, ukiingia kichwakichwa kwa kutegemea faida tu utaweza kulia.

Nilishawahi kunyolewa USD 5,000 katikakipindi cha siku chache sana.

Pia kama unaweza kuanza kidogokidogo kuusoma mchezo ni vizuri zaidi. Nimekuja kugundua data za demo (not market data, market participation data) ziko a bit unrealistic kwa sababu watu wanatumia demo money, si hela zao, kwa hiyo demo ona kama unatumia kujifunza kutumia platform tu. Unaweza kushangaa account ya demo mambo yako yanakuendea vizuri sana wakati account live inabuma.
Nimekua warned kuhusu demo, demo ni demo kuna mtu niliuomba anitume real trading chart nifanye comparison, japo hajatuma alinambia niwe aware na demo
 
Nimekua warned kuhusu demo, demo ni demo kuna mtu niliuomba anitume real trading chart nifanye comparison, japo hajatuma alinambia niwe aware na demo
Unaionaje Yen leo? Imeanguka sana inawezekana sasa ni wakatimzuri wa kununua, lakini pia inaweza isirudi kwenye chart juu karibuni.

Yellen kasema benki za US ziko imara, hilo linaweza kuifanya dollar iwe na nguvu sana leo.

USD/JPY - Live Rate, Forecast, News and Analysis
 
Unaionaje Yen leo? Imeanguka sana inawezekana sasa ni wakatimzuri wa kununua, lakini pia inaweza isirudi kwenye chart juu karibuni.

Yellen kasema benki za US ziko imara, hilo linaweza kuifanya dollar iwe na nguvu sana leo.

USD/JPY - Live Rate, Forecast, News and Analysis
Leo kama ulibet against kusell euro kwa kutegemea itashuka bila kujua kuna news fulani imekula kwako. Nilikuwa nacheza na practice account huku na speculate kwamba USD itabanda against Euro kwa hiyo nikawa nauza Euro nanunua USD. Ebwanee kumbe kuna jamaa anaitwa Mario Draghi ndo mkuu wa benki ya umoja wa ulaya katoa speech leo , Euro imeshoot kwa kiwango ambacho haijashoot karibu miezi kumi...Yaani Mimi nilikuwa na practice kwa kucheki ceiling na floor. Hapo nimejifunza kitu kimoja kikubwa sana jinsi kuna news zina impact kubwa kwenye forex trading. Mimi mahesabu yangu yalikuwa kwamba Eoro against dollar ceiling ingekuwa 1.207 baada ya hapo nilitegemea ishuke..sasa kitu kimetoboa ceiling
 
Leo kama ulibet against kusell euro kwa kutegemea itashuka bila kujua kuna news Fulani imekula kwako. Nilikuwa nacheza na practice account bila speculate kwamba USD itabanda against Euro kwa hiyo nikawa nauza Euro nanunua USD. Ebwanee kumbe kuna jamaa katoa speech leo , Euro imeshoot kwa kiwango ambacho hajashoot karibu miezi kumi...Yaani Mimi nilikuwa na practice kwa kucheki ceiling na floor. Hapo nimejifunza kitu kimoja kikubwa sana jinsi kuna news zina impact kubwa kwenye forex trading.

Euro sijaigusa kipindi,nilikuwa na deal na Aussie na Yen.
Kuna sehemu nimetaja hilo hapo awali, nikasema investment ya forex si ku bet au kamali, inatakiwa ufuatilie indicators na news.

Vitu kama.

Bei ya mafuta ikoje na wazalishaji wa mafuta ni nani na wanatumia hela gani?

Bei ya dhahabu ikoje na wazalishaji wa dhahabu ni nani na wanatumiahela gani? Benki kuu gani zina dhahabu sana?

Viongozi gani wakubwa wa Benki Kuu kubwa duniani, IMF, World Bank wana maongezi gani na maongezi hayo yataathiri vipi soko?

Wapi kuna political unrest na zitaathiri vipi soko?

Fedha gani huwa zinakwenda pamoja kwa sababu za kisoko? Mara nyingine fedha kama Australian Dollar na Chinese Yuan huwa zinaenda pamoja kutokana na chumi za mashariki ya mbali kufungamana sana.

Muda gani ni mzuri wa ku trade kwa kuangalia masoko ya New York, London, Singapore, Tokyo yanavyokuwa wazi na kuruhusu watu wengi zaidi wa trade.

Muda gani katika saa yoyote (dakika) ni mzuri zaidi kununua, mara nyingi kunakuwa na patterns za hourly rallies on the hour, unaweza kuzi note na kuzi avoid.

Dakika kama hii 59 ya saa unaweza kuona kitu kinapanda tu, kumbe ni hourly rally ambayo dakika chache baadaye inashuka tena.

Sasa hivi inavyoandikanaona Yen inapanda kwa hourly rally, ingawa Yen imeuawa sana leo.Ukijichuza kununua sasa, baaada ya dakika 15 inashukatena.

Mambo mengi sana ya kujifunza.
 
Euro sijaigusa kipindi,nilikuwa na deal na Aussie na Yen.


...
upo na live account? Mafuta na Gold sio sana unless kuna extreme changes in prices then ndo hapo zinaweza kuwa na significant effect kwenye price lakini hauna guarantee ya correlation ila kuna muda zinaingiliana has ahapo prices zinapochange kwenye commodity significantly. Mfan tukiongelea mafuta unless una deal na mataifa yanaimport na export mafuta..Naona strong pairs zinaenda zaidi na masoko kama matano ambayo yanachukua zaidi ya asilimia 90 ya transactions na none of these are affected much by oil prices...Viongozi ni wa kikanda zaidi (economic zones) au nchi
 
For how long umekuwa una trade?
Off and on since 2007. Nilinyolewa vizuri sana kwenye financial crisis na ETFs nikawa ninaheshimu sana hizi habari, nikawa na concentrate kwenye real estate na 401(k). Nimeanza ku trade tena seriously mwaka huu.

Mostly binary options Forex on www.nadex.com.I am trying to get into www.forex.com but I need to familiarize myself with their interface.

Ukiwa na roho nyepesi unaweza kulia.
 
769f8e8378bdd49b8891fa0873411541.jpg


Nilitaka niunguze account sema nikaanza scalping

Ilikua poa mana niliweza kutumia indicator japo nacked traders wananambia nifanye technical analysis.

Nimeelewa emotional trading ipoje
Nimeelewa kuwa trading is learning (hzo ni nondo za vitabu viwili, labda 20% tu ya knowledge, mainly naked forex na currency for dumies) bado Astro FX
Nimeelewa buy/sell
Nimeelewa SL/TP
Nimeelewa Stochastic, Bollinger band
Nimeelewa shooting stars, Kangaroo tails
Ila
Sijaelewa engulfing candles zinafanyaje kazi kwenye scalping
Sijaelewa catalyst zote hapa mentor anahusika na training practice
Sijaelewa analysis
Sijaelewa association ya minor zone na scalping
Sijaelewa kufanya real trading (bado ni demo)
Sijaelewa back testing
Sijaelewa kuset daily trends kulingana na R/S zone
Sijaelewa perfect currencies Kwa ajili ya scalping
Sijaelewa best time to trade nikiwa Tanzania (Time zone vs Market trend)
Sijaelewa namna ya kudeal na sideway trend
Sijaelewa management ya account
Sijaelewa buy/sell limit/stop (on progress)

717c1b46956690ee781a77185e53fd68.jpg


MORE KNOWLEDGE IS ON THE BOOKS
 
unaanza lini kutoa mafunzo,lakini kuna wahindi nao wanatoa hizo training hapa bongo kwa 400 a week,kwa hiyo utakuwa umetusaidia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom