Contact your nearest FNB branch.Bavaria
Katika comments zako za nyuma, ulipata kusema umekuwa ukitumia FNB (Bank) katika trading.
Concern yangu ni kwamba; wakati nafanya deposit kwa broker, akaniambia VISA card yangu haiko 3D secured, hivyo napaswa ku-authorise kwa kuweka exactly amount ambayo deducted from my account.
FNB bado hawako na 3D secure ya kadi.
WEWE NA (WENGINE WENYE UZOEFU) ULITUMIA NJIA GANI?
Tunakomaa hapa
Nawaza kama hii ingekua real Ac,, haka ni kamchezo ka masaa machache tuu.! Wakuu tukomae mambo yanawezekana sana..!
Nawaza kama hii ingekua real Ac,, haka ni kamchezo ka masaa machache tuu.! Wakuu tukomae mambo yanawezekana sana..!
Oooh! inakua na madhara gani mkuu.!In real account haishauriwi kucheza ulivyocheza. Hiyo size ni kubwa sana kuichezea. Na pros hawachezi kwa namna ulivyocheza hapo.
Oooh! inakua na madhara gani mkuu.!
hilo group la watsaap lipo?uniunge naloBetter ujiunge group la WhatsApp la humu utapata ABC ya hii kitu.
kitabu cha astrofx kipo page namba ngapi humu?nikipakue,nisaidie mkuuZiko page 206!
Wana EURO mnaionaje? Naona inanipaisha. Nilikuwa nasoma Wall Street Journal la leo linasema Euro ina rebound.
WSJ/ FT wanoko wanalipisha content za articles zao. Lakini hizi habari zipo zimejaa mtandaoni.Mkuu ebu tupia hyo link ya Wall street journal na sisi tuwe tunafaidi uhondo...si unajua.Mkuu wengine ni wageni Kabisa kwenye hzi ishu...kama hutojali lkn...
Asante